Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tumia apps mbili Kwa wakati mmoja kwenye simu Yako
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

fahamu njia rahisi ya kuweza kutumia apps mbili Kwa wakati mmoja kwenye simu Kwa njia rahisi sana utaweza kutumia apps hizo Kwenye simu Yako

pia usisahau kupakua app inayoitwa split screen shortcut Kwenye simu Yako kama aina uwezo huo hapo juu

usisahau kutu follow kwenye page @bongotech255 Kwa maujanja mbalimbali kuhusu teknolojia Kwa lugha ya kiswahili ๐ŸŒŽ๐ŸŒŽ

subscribe kwenye chaneli yetu Kwa maujanja mengi ya Siri kwenye teknolojia

link hipo kwenye bio yetu au search YouTube #bongotech255 Sasa

#bongotech255 #fahamu #fahamuzaidi #split #screen #smartphone #tumia #apps #mbili #kwenye #simu #yako #maujanja #harmonize #ayotv #millardayoupdates #millardayosports #bongoupdatetrends #bongomitupio #bongo5updates #bongo5 #wasafitv #cloudstv #udaku #umbea #umbeaunalipa #misemo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

Badil simu Yako kuwa kwenye mfumo wa kompyuta 2021

Kama ulikua Unapenda kumiliki kompyuta na Hauna sio mbaya ukaifanya simu Yako kuwa kompyuta kabisa ๐Ÿ˜Š na kuendelezea ku enjoy au nini !!

Tizama sasa njia ya kubadili simu kuwa kompyuta ni rahisi sana ๐Ÿ™ˆ

Usisahau kutu follow Kwa maujanja mbalimbali zaidi @bongotech255

#smartphone #android #launcher #windows #windows10 #maujanja #fahamu #fahamuzaidi #badilimtazamo #harmonize #kondegang #teknolojia #techy #tech #novalauncher #windowlaunch #bongotech255 #bongotrendings #bongo5updates #bongo5 #udakutz #udakumagazine #umbeausioumiza #umbeawadunia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

mfahamu mtu aliyechezea simu yako bila wewe kujua

Kama ulikua unapata shida kumjua Nina anayechezea simu yako wakati wewe umeweka chaji | mahali Fulani basi Leo hii ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ utamkamata kizembe Sana tizama video hii

Kwa maujanja mbalimbali usisahau kutu follow @bongotech255

#bongotech255 #fahamu #fahamuzaidi #maujanja #watu #touch #smartphone #harmonize #kondegang #kondegang4everybody #wasafitv #wasafitv #cloudsdigitalupdates #efm #daresalaam #yanga #simba #reels #insta
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

fahamu maajabu haya kwenye simu yako
#bongotech255
#bongo #swahiliflix #swahiliinspiration #swahiliquotes #fahamu #fahamuzaidi #washikajizangu #umbea #umbeawadunia #pambanahaliyako #teknolojia #tech #elimubilamipaka #shure #bongofive #watapatatabusana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ #harmonize #kondegang4everybody #samia #bbcswahili #tehama Fahamu maajabu ya beta program kwenye simu

Unajua kuna kitu watu wengi hawakijui kuhusu beta program kwenye simu zetu yani " testing the program before realasing to the public"

Fanya majaribo ya app mbalimbali Kwenye simu yako kabla haijaachiwa public ๐Ÿ˜Š

Sikiliza makala hii kisha tuachie maoni yako

๐Ÿ”†Utaweza kuijua

๐Ÿ”†Utaweza kujua jinsi ya kujiunga

๐Ÿ”†Utaweza kujua jinsi ya kufix tatizo la beta program is full

Ulikua unaijua hii beta program au ndo unasikia sasa ?

#bongotech255 #fahamu #fahamuzaid ...
bongotech255 - Umewahi kujiuliza wapi utapata spea org za...
bongotech255

Umewahi kujiuliza wapi utapata spea org za laptop na kwa garama nafuu

Njoo @wikeltechnologies_tz ujipatie kwa bei poa kabisa Pia tunatuma mizigo mikoa yote kwa uaminifu mkubwa Tuna bidhaa zifuatazo ssd hdd ram vioo vya laptop flash keyboard mouse battery Na nyingine nyingi Tupo ilala machinga complex. Gorofa la upande wa kariakoo, gorofa ya kwanza room number E2-43 Ukifika tupigie ๐Ÿ‘‡ namba zetu ๐Ÿ‘‡mikoani tunatuma +255692630904 | +255765171270 @hyatz_computers #keyboard #tech #techupdate #technews #fahamuzaidi #bongotech255 #wikel #pcaccessories #pcrepair #laptoprepair
bongotech255 - Jipatie Mouse nzuri za Gaming kwa ajili ya...
bongotech255 - Home | Facebook

Jipatie Mouse nzuri za Gaming kwa ajili ya laptop au desktop yako kwa bei poa sana

Unaweza kutumia hata kawaida tu karibu @hyatzcomputers ujipatie kwa bei poa sana Warranty miezi SITA ikifa rudisha Mikoani mnatumiwa kwa uwaminifu mkubwa Watafute sasa @wikeltechnologies_tz @zirene_laptop_accessories_tz kwq Mahitaji Mbalimbali ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Wapigie ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ +255692630904 | +255765171270 #mouse #gamingmouse #mousepad #instatechnology #bongotech255 #fahamuzaidi
bongotech255 - Google ambao ni wamiliki wa app nyingi tu...
bongotech255 - Home | Facebook

Google ambao ni wamiliki wa app nyingi tu moja wapo Google maps, wameamua kuleta feature mpya ya kuweza kuwasaidia watu kuhusu tahadhari wakiwa barabarani.

Ikitokea mtu anapita kwenye eneo au barabara ambayo sio salama kwake basi google watamtumia ujumbe kama tahadhari ya Eneo alilopo inabidi hawe makini. Pia itakupa taarifa kuhusu barabara unayopita kama ni salama au lah ila mara nyingi inafanya kazi kwenye zile barabara ambazo unatumia mara nyingi kila siku kwenye shughuli zako za kimaisha. Itaweza kukuambia barabara inayopita endesha polepole au Kasi kama Kuna ujenzi mbele au lah. Itaweza kukutarifu eneo unalopita kama Kuna vibaka , matapeli kuwa makini na mali zako nk Unaionaje hii feature kwenye google maps !!! #google #googlemaps #bongotech255 #fahamuzaidi
Amazing Apps ambazo hujawai kutumia !!

Umeshawahi kujaribu izi Apps kwenye simu yako !!!!

Mwaka 2023 mwezi wa sita Leo nakuletea app Bora za kuwa nazo kwenye simu yako watanzania wengi hawazijui !!

Tm Whatsapp
Ukisikia mchanganyiko wa Whatsapp mods kuanzia Yowhatsapp, Plus & Gb Whatsapp ni Tm Whatsapp ni app Bora sana kuwa nayo kwenye simu kwani imepakuliwa na zaidi ya watu million 10 ikiwa na maajabu mengi

โ€ข utaweza ku freeze | pause | fake last seen
โ€ข Ina vpn proxy kuifungua Whatsapp zilizo fungwa
โ€ข unatuma message nyingi kwa watu wakati mmoja.
โ€ข sleep mode(utazuia intaneti kwenye Whatsapp)
โ€ข pia anti revoke unazuia ujumbe kufutwa kwenye Whatsapp yako nk

OTO music
Je unapenda kusikiliza kitu ikiwa na sauti ya kuvutia zaidi, basi tumia Oto music ikiwa wewe mpenzi wa kusikiliza Quran, nyimbo , injiri au kitu chochote kile kwa sauti yenye kupendeza tumia Otto
โ€ข muundo wake ni mzuri
โ€ข ni rafiki kila mtu anatumia
โ€ข ni offline hivyo huitaji bando
โ€ข unaweza soma lyrics ya kitu pia hata ku editi wewe mwenyewe nk.

Brave Private web browser
Ukiwa na hii app huko salama mtandaoni kwa asilimia 70% kwani ni ngumu kuathiliwa na virusi kwenye simu yako. Ni app nzuri sana ikiwa unapenda kupakua vitu mtandaoni.
โ€ข iko faster kutafuta kitu ni zaidi ya Chrome , Mozilla
โ€ข ulinzi wake ni mkubwa sana utakua salama ukitumia ivyo zile link au website hatarishi utazuiwa kuingia.
โ€ข private browsing hakuna mtu atakayeweza kupata access ya vitu ulivyotafuta nk

goClean : Pop up ad dector
Ikiwa unahitaji kutafuta app ambayo Ina spy vitu vyako kwenye simu Basi Tumia hii ni nzuri sana kwani utajua kama Kuna app inafuatilia mambo yako bila wewe kujua kuanzia Ile spy camera pamoja na kuzuia matangazo.

1Tap cleaner (clear cache)
Je una wasiwasi na simu yako kuishiwa na nafasi basi 1Tap cleaner ni app nzuri kuwa nayo kwenye simu yako kwani inakusaidia kuongeza nafasi kupitia ku clear app zote ulizotumia ili kuipa nguvu zaidi simu kuondoa tatizo la kujaa kwa haraka zaidi.
clear apps
clear all cache file
uninstall apps nk

Ziko telegram search #bongotech255 au gusa link ๐Ÿ‘‡
https://t.me/bongoTechs255

#bongotech255 #fahamuzaidi #Fahamu #Maujanja #tanzania #apps
Kampuni ya Google Leo imetambulisha simu zao mpya aina ya Google pixel 8 series zimekuja na Teknolojia ya AKILI bandia ndani yake inayomsaidia mtumiaji kutumia simu kwa amani.

Google mwaka huu wanaendelea kutisha kwani wametoa simu zenye muonekano wa kipekee pamoja na feature mbalimbali nzuri za kupendeza ndani yake.

Ngoja tuanze na 8 pixel specs:
๐Ÿ‘‰ Display ya Oled + 120Hz ikiwa na 6.2inches
๐Ÿ‘‰ Processor chipset ya Google Tensor G3
๐Ÿ‘‰ Ram 8Gb + storage 128Gb mpaka 256Gb
๐Ÿ‘‰ Main Camera 50mp + 12mp (ultra wide) + video 4k resolution
๐Ÿ‘‰ Selfie Camera 10.5Mp + Auto panaroma
๐Ÿ‘‰ Android 14 version + 7 year support update
๐Ÿ‘‰ Battery Lipo 4575mah + 27W + 18wireless reverse charging

Series mpya ya Google pixel 8 ziko za aina mbili Google pixel 8 na 8 pro. Kwenye Pixel 8 imekuja zikiwa na rangi zifuatazo ๐Ÿ‘‡
- Peony Rose
- Grey
- Obsidian Black ๐Ÿ–ค

Wakati Google pixel 8 pro zimekuja zikiwa na rangi zifuatazo ๐Ÿ‘‡
- Sky blue
- Porcelain
- obsidian black

Gharama zake 8 pixel ni 1.75milion
Wakati Google pixel 8 pro 2.5milion zote ni bei za kuanzia.

#google #googlepixel #googlepixel8 #googlepixel8pro #fahamuzaidi #simumpya
Baada ya watumiaji wengi wa simu za iphone 15 kuweza kulalamika juu ya simu zao kupata sana joto kupita maelezo siku za nyuma apple wamerudi tena.

Hatimaye kampuni ya apple imeachia toleo jipya la iOS 17.0.3 kwa watumiaji wa iphone 15 kuweza kuondoa changamoto mbalimbali zinazowakabili Kwenye simu zao.

iOS 17.0.3 sio TU kwa watumiaji pekee wa iphone 15 pia wengine wanaweza Kufanya update kuweza kuondoa changamoto ya bugs, system overload na kupeleka simu kupata sana joto.

Kama simu Yako inapokea iOS 17 basi fanya update ๐Ÿ˜ upate feni ya kupooza maana zilizua na joto sio poa.

#ios17features #ios17 #simumpya #apple #appletanzania #bongotech255 #fahamuzaidi #iphone15series
Kama ulikua unasuburi kwa hamu juu ya ujio mpya wa toleo jingine la Game ya spider man basi weka on Notification kwani mwezi huu October ni moto.

Kampuni ya insomanic imetoa tarehe ramsi ya kuachiwa game mpya ya Spider man 2. Tarehe 20 /10 /2023 ila itatoka kwa watumiaji wa playstation kwanza.

Storyteller kwa ufupi ๐Ÿ‘‡
Wahusika wakuu Kwenye spider man ni peter parker na Miles Morales ambao utakutana nao Kwenye rangi mbili spider mweusi na mwekundu.

Spider mweusi anakua na uwezo wa kutoa mabawa sio poa. Kuna adui mmoja ni Venom anapiga na mwenye nguvu sana.

pia wahalifu wako wengi wa kila namna wanasumbua Kwenye jiji la new york city kila mmoja kwa upande wake anahitaji kuonekana shujaa kwa kupambana nao.

Kuna jamaa anaitwa kraven the hunter anavaa chuma vizito๐Ÿ˜ƒ anapiga huyo kuna wakati spider ๐Ÿ•ท๏ธ ataomba poa akanywe maji.

Pia Utakutana na maroboti Ina nguvu balaa , show sio ya kitoto kwa Sasa itaanza kupatikana kwa watumiaji wa playstation 5 TU.

Umeshawahi kucheza game ya spider man unazionaje?

#spiderman #spiderman2game #playstation5 #playstation #sonygames #ps5 #spiderman2 #technews #fahamuzaidi #bongotech255
๐— ๐—ท๐—ถ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—˜๐˜…๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐—น ๐—™๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฎ

Inawezekana ukawa unasema kompyuta unayotumia Ina SSD ndani kumbe kiwaulisia SSD iliyopo ndani ni fake ๐Ÿ˜ฒ Haina nguvu yoyote.

Kuna SSD zinauzwa ambazo ni External kwa nje sehemu ya kupitishwq data zimetengenezwa kwa mfumo wa Usb Type C au port ya kawaida ni mjihadhari baadhi ni fake.

Kwani zinakua zimeunganishwa memory card ambazo ni (micro SD cards) kwa ndani utazikuta ila kwa nje unaweza sema ni SSD kumbe memory card imeundwa kwa mfumo wa SSD ambazo spidi yake Kwenye kusafirisha data ni 2.0.

Ssd ambazo zimetengenezwa kama ilivyo M2 nvme ambazo ni External jihadhari wakati unanunua unaweza wekewa memory card ndani unaponunua kitu mtandaoni au kwq mtu jitahidi kukichunguza kabla ujaondoka nacho.

#ssd #ssdstorage #externalhdd #externalssd #pcaccessories #fahamuzaidi #tanzania #bongotech255