Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Teknolojia ni Yetu sote......!!!!

Hi ni nembo yetu mpya vipi ni nzuri ebu tuambie ?

Karibu kwenye ulimwengu wa teknolojia Kwa lugha ya kiswahili Karibu ujifunze maujanja mbalimbali kuhusu simu kompyuta apps games matatizo na suluhisho zake 😊.

Kupitia page yetu @bongotech255

Kama una matatizo kuhusu Instagram Karibu kwenye page yetu tutakusaidia kutatua shida mbalimbali kwenye page yetu πŸ€—.

Follow @bongotech255

#teknoloji #teknolojia #fahamu #fahamuzaidi #maujanja #bongo #bongotech255 #bongotrendings #bongocatmemes #bongoupdatetrends #logo #maujuzi #mafunzoyaurembo #harmony #techyaman #techy #tech
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Simu Yako hiko slow fanya hivi kuongeza Kasi Kwa haraka πŸ‘‡

Kama ulikua unapatwa na shida ya jinsi Gani ya kuongeza Kasi kwenye simu Yako basi jifunze Leo njia rahisi ya kufanya Ili kuongeza Kasi Kwa haraka 😊

Usisahau kutu follow Sasa @bongotech255

Follow @bongotech255

#bongo #bongomovie #bongotech255 #maujanja #fahamuzaidi #fahamu #ongeza #kasi #kwenye #simu #speed #accessories #information #faster #android #smartphone #bongΓ³ #bongotrendings #bongoupdatetrends #udakutz #teknolojia #techy
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tumia apps mbili Kwa wakati mmoja kwenye simu Yako
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

fahamu njia rahisi ya kuweza kutumia apps mbili Kwa wakati mmoja kwenye simu Kwa njia rahisi sana utaweza kutumia apps hizo Kwenye simu Yako

pia usisahau kupakua app inayoitwa split screen shortcut Kwenye simu Yako kama aina uwezo huo hapo juu

usisahau kutu follow kwenye page @bongotech255 Kwa maujanja mbalimbali kuhusu teknolojia Kwa lugha ya kiswahili 🌎🌎

subscribe kwenye chaneli yetu Kwa maujanja mengi ya Siri kwenye teknolojia

link hipo kwenye bio yetu au search YouTube #bongotech255 Sasa

#bongotech255 #fahamu #fahamuzaidi #split #screen #smartphone #tumia #apps #mbili #kwenye #simu #yako #maujanja #harmonize #ayotv #millardayoupdates #millardayosports #bongoupdatetrends #bongomitupio #bongo5updates #bongo5 #wasafitv #cloudstv #udaku #umbea #umbeaunalipa #misemo