〽︎ Teknolojia
💨 Redmi 15C kuanzia kesho tutakuwa nazo
Soma specifications zake alafu kwenye bei sasa.
Hizi Redmi C series ndio simu zenye bei ndogo zaidi sokoni kushinda Tecno, Infinix na Samsung zenye uwezo unaokaribiana.

💨 SAMSUNG WARRANTY TZ
▪️S25 (8+256) - 1.85 UK Stock
▪️S25 (8+256) - 2.1m
▪️S25+ (12+256) - 2.3m
▪️S25 Ultra (12+256) - 2.55m
▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A07 (4+64) - 345K
▪️A07 (4+128) - 380K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (8+256) - 550K
▪️A26 5G (6+128) - 650K
▪️A26 5G (8+256) - 750K
▪️A36 5G (6+128) - 850K
▪️A36 5G (8+256) - 950K
▪️A55 5G (8+256) - 950K
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.1M
💨 SAMSUNG WARRANTY TZ
▪️S25 (8+256) - 1.85 UK Stock
▪️S25 (8+256) - 2.1m
▪️S25+ (12+256) - 2.3m
▪️S25 Ultra (12+256) - 2.55m
▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A07 (4+64) - 345K
▪️A07 (4+128) - 380K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (8+256) - 550K
▪️A26 5G (6+128) - 650K
▪️A26 5G (8+256) - 750K
▪️A36 5G (6+128) - 850K
▪️A36 5G (8+256) - 950K
▪️A55 5G (8+256) - 950K
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.1M
🌐🚀 China yafanya mapinduzi ya teknolojia ya mawasiliano!
Kwa mara ya kwanza duniani, wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Peking na Chuo Kikuu cha Mji wa Hong Kong wameunda chip ya 6G “all-frequency” yenye uwezo wa kufanya kazi katika mawimbi yote kuanzia 0.5 GHz hadi 115 GHz.
⚡️ Chip hii inatumia teknolojia ya kisasa ya photonic-electronic fusion – ikichanganya mawimbi ya redio na mwanga kwenye kifaa kimoja – na inaweza kubadilisha frequency kwa kasi ya microsekunde 180 tu (haraka kuliko kufumba na kufumbua jicho 👁).
💾 Spidi yake ni ya kushangaza: zaidi ya 100 Gbps, sawa na kupakua filamu ya 50GB ya 8K ndani ya sekunde chache! Hii ni kasi mara mamia ya zaidi ukilinganisha na 5G ya sasa.
🌍 Zaidi ya spidi, chip hii inalenga kuboresha upatikanaji wa intaneti hata maeneo ya vijijini, milimani na hata chini ya bahari – ikiondoa pengo kati ya mijini na maeneo ya mbali.
✨ Hatua hii ni ishara ya jinsi dunia inavyoelekea kwenye...
View original post

❤1