Teknolojia
130 subscribers
3.84K photos
4.8K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Teknolojia ni Yetu sote......!!!!

Hi ni nembo yetu mpya vipi ni nzuri ebu tuambie ?

Karibu kwenye ulimwengu wa teknolojia Kwa lugha ya kiswahili Karibu ujifunze maujanja mbalimbali kuhusu simu kompyuta apps games matatizo na suluhisho zake 😊.

Kupitia page yetu @bongotech255

Kama una matatizo kuhusu Instagram Karibu kwenye page yetu tutakusaidia kutatua shida mbalimbali kwenye page yetu 🤗.

Follow @bongotech255

#teknoloji #teknolojia #fahamu #fahamuzaidi #maujanja #bongo #bongotech255 #bongotrendings #bongocatmemes #bongoupdatetrends #logo #maujuzi #mafunzoyaurembo #harmony #techyaman #techy #tech