Teknolojia
65 subscribers
1.39K photos
2.46K videos
82 files
10.1K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Weka voice note kwenye Whatsapp status #bongotech255
Je umeshindwa kuweka voice note kwenye status ya Whatsapp yako fahamu njia rahisi ya kuweza kuweka voice kwenye status yako

subscribe for more videos ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ our new channel

https://youtube.com/@bongotech255_

Old got suspended ๐Ÿ˜”

#whatsappstatus #whatsappvoicenote
#whatsapp #whatsappfeature2023 #bongotech255
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @download_it_bot

Weka voice note kwenye Whatsapp status #bongotech255
Je umeshindwa kuweka voice note kwenye status ya Whatsapp yako fahamu njia rahisi ya kuweza kuweka voice kwenye status yako

subscribe for more videos ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ our new channel

https://youtube.com/@bongotech255_

Old got suspended ๐Ÿ˜”

#whatsappstatus #whatsappvoicenote
#whatsapp #whatsappfeature2023 #bongotech255
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tumia Akili bandia kwenye Whatsapp yako how to use Chat Gpt AI on Whatsapp 2023
Hivi unajua unaweza kutumia akili bandia kwenye Whatsapp yako kwa kuweza kuuliza maswali mbalimbali na ukapata majibu

#artificialintelligence #whatsappfeature2023 #bongotech255 #teknolojia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Websites hatari zilizopo kwenye darkweb | Usijaribu kuingia !! #bongotech255
Please subscribe for more videos ๐ŸŒ๏ธโ€โ™‚๏ธ

#darkweb #darkwebwebsite #dangerouswebsite
#bongotech255 #tanzania #darkwebhorrorstories
bongotech255 - Twitter kuna Nini Tena ??

Hello wana...

bongotech255 - Home | Facebook

Twitter kuna Nini Tena ??

Hello wana teknolojia ya #bongotech255 mubalikiwe sana kwa kuendelea kutufuatilia kupitia mitandao Yetu mbalimbali ya kijamii. Sasa tunapatikana Twitter karibuni sana kule kutakua na thread za kikubwa zaidi karibuni sana tuweze kujifunza teknolijia kwa pamoja Tunatumia jina la #bongotech255 link iko kwenye insta story Yetu gusa sasa tukajifunze vitu vya kikubwa๐Ÿ˜„ zaidi Naimani ๐Ÿ˜Štunajitahidi kuwajuza Yale tunayoyajua au Wana familia mnasemaje !! #bongotech255 #twitterquotes #twitter #swahilitech #bongo #tanzania #teknolojia
bongotech255 - Google ambao ni wamiliki wa app nyingi tu...
bongotech255 - Home | Facebook

Google ambao ni wamiliki wa app nyingi tu moja wapo Google maps, wameamua kuleta feature mpya ya kuweza kuwasaidia watu kuhusu tahadhari wakiwa barabarani.

Ikitokea mtu anapita kwenye eneo au barabara ambayo sio salama kwake basi google watamtumia ujumbe kama tahadhari ya Eneo alilopo inabidi hawe makini. Pia itakupa taarifa kuhusu barabara unayopita kama ni salama au lah ila mara nyingi inafanya kazi kwenye zile barabara ambazo unatumia mara nyingi kila siku kwenye shughuli zako za kimaisha. Itaweza kukuambia barabara inayopita endesha polepole au Kasi kama Kuna ujenzi mbele au lah. Itaweza kukutarifu eneo unalopita kama Kuna vibaka , matapeli kuwa makini na mali zako nk Unaionaje hii feature kwenye google maps !!! #google #googlemaps #bongotech255 #fahamuzaidi
Amazing Apps ambazo hujawai kutumia !!

Umeshawahi kujaribu izi Apps kwenye simu yako !!!!

Mwaka 2023 mwezi wa sita Leo nakuletea app Bora za kuwa nazo kwenye simu yako watanzania wengi hawazijui !!

Tm Whatsapp
Ukisikia mchanganyiko wa Whatsapp mods kuanzia Yowhatsapp, Plus & Gb Whatsapp ni Tm Whatsapp ni app Bora sana kuwa nayo kwenye simu kwani imepakuliwa na zaidi ya watu million 10 ikiwa na maajabu mengi

โ€ข utaweza ku freeze | pause | fake last seen
โ€ข Ina vpn proxy kuifungua Whatsapp zilizo fungwa
โ€ข unatuma message nyingi kwa watu wakati mmoja.
โ€ข sleep mode(utazuia intaneti kwenye Whatsapp)
โ€ข pia anti revoke unazuia ujumbe kufutwa kwenye Whatsapp yako nk

OTO music
Je unapenda kusikiliza kitu ikiwa na sauti ya kuvutia zaidi, basi tumia Oto music ikiwa wewe mpenzi wa kusikiliza Quran, nyimbo , injiri au kitu chochote kile kwa sauti yenye kupendeza tumia Otto
โ€ข muundo wake ni mzuri
โ€ข ni rafiki kila mtu anatumia
โ€ข ni offline hivyo huitaji bando
โ€ข unaweza soma lyrics ya kitu pia hata ku editi wewe mwenyewe nk.

Brave Private web browser
Ukiwa na hii app huko salama mtandaoni kwa asilimia 70% kwani ni ngumu kuathiliwa na virusi kwenye simu yako. Ni app nzuri sana ikiwa unapenda kupakua vitu mtandaoni.
โ€ข iko faster kutafuta kitu ni zaidi ya Chrome , Mozilla
โ€ข ulinzi wake ni mkubwa sana utakua salama ukitumia ivyo zile link au website hatarishi utazuiwa kuingia.
โ€ข private browsing hakuna mtu atakayeweza kupata access ya vitu ulivyotafuta nk

goClean : Pop up ad dector
Ikiwa unahitaji kutafuta app ambayo Ina spy vitu vyako kwenye simu Basi Tumia hii ni nzuri sana kwani utajua kama Kuna app inafuatilia mambo yako bila wewe kujua kuanzia Ile spy camera pamoja na kuzuia matangazo.

1Tap cleaner (clear cache)
Je una wasiwasi na simu yako kuishiwa na nafasi basi 1Tap cleaner ni app nzuri kuwa nayo kwenye simu yako kwani inakusaidia kuongeza nafasi kupitia ku clear app zote ulizotumia ili kuipa nguvu zaidi simu kuondoa tatizo la kujaa kwa haraka zaidi.
clear apps
clear all cache file
uninstall apps nk

Ziko telegram search #bongotech255 au gusa link ๐Ÿ‘‡
https://t.me/bongoTechs255

#bongotech255 #fahamuzaidi #Fahamu #Maujanja #tanzania #apps
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Fanya hivi kutumia namba zaidi ya Moja kwenye Whatsapp !! #bongotech255
Subscribe for more videos

Teknolojia ni Yetu sote ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
#whatsapp #whatsappmultiac
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
BADILI Picha kuwa Maneno kupitia Kompyuta!! #bongotech255
Subscribe for mor
Baada ya watumiaji wengi wa simu za iphone 15 kuweza kulalamika juu ya simu zao kupata sana joto kupita maelezo siku za nyuma apple wamerudi tena.

Hatimaye kampuni ya apple imeachia toleo jipya la iOS 17.0.3 kwa watumiaji wa iphone 15 kuweza kuondoa changamoto mbalimbali zinazowakabili Kwenye simu zao.

iOS 17.0.3 sio TU kwa watumiaji pekee wa iphone 15 pia wengine wanaweza Kufanya update kuweza kuondoa changamoto ya bugs, system overload na kupeleka simu kupata sana joto.

Kama simu Yako inapokea iOS 17 basi fanya update ๐Ÿ˜ upate feni ya kupooza maana zilizua na joto sio poa.

#ios17features #ios17 #simumpya #apple #appletanzania #bongotech255 #fahamuzaidi #iphone15series
Kama ulikua unasuburi kwa hamu juu ya ujio mpya wa toleo jingine la Game ya spider man basi weka on Notification kwani mwezi huu October ni moto.

Kampuni ya insomanic imetoa tarehe ramsi ya kuachiwa game mpya ya Spider man 2. Tarehe 20 /10 /2023 ila itatoka kwa watumiaji wa playstation kwanza.

Storyteller kwa ufupi ๐Ÿ‘‡
Wahusika wakuu Kwenye spider man ni peter parker na Miles Morales ambao utakutana nao Kwenye rangi mbili spider mweusi na mwekundu.

Spider mweusi anakua na uwezo wa kutoa mabawa sio poa. Kuna adui mmoja ni Venom anapiga na mwenye nguvu sana.

pia wahalifu wako wengi wa kila namna wanasumbua Kwenye jiji la new york city kila mmoja kwa upande wake anahitaji kuonekana shujaa kwa kupambana nao.

Kuna jamaa anaitwa kraven the hunter anavaa chuma vizito๐Ÿ˜ƒ anapiga huyo kuna wakati spider ๐Ÿ•ท๏ธ ataomba poa akanywe maji.

Pia Utakutana na maroboti Ina nguvu balaa , show sio ya kitoto kwa Sasa itaanza kupatikana kwa watumiaji wa playstation 5 TU.

Umeshawahi kucheza game ya spider man unazionaje?

#spiderman #spiderman2game #playstation5 #playstation #sonygames #ps5 #spiderman2 #technews #fahamuzaidi #bongotech255
๐— ๐—ท๐—ถ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—˜๐˜…๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐—น ๐—™๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฎ

Inawezekana ukawa unasema kompyuta unayotumia Ina SSD ndani kumbe kiwaulisia SSD iliyopo ndani ni fake ๐Ÿ˜ฒ Haina nguvu yoyote.

Kuna SSD zinauzwa ambazo ni External kwa nje sehemu ya kupitishwq data zimetengenezwa kwa mfumo wa Usb Type C au port ya kawaida ni mjihadhari baadhi ni fake.

Kwani zinakua zimeunganishwa memory card ambazo ni (micro SD cards) kwa ndani utazikuta ila kwa nje unaweza sema ni SSD kumbe memory card imeundwa kwa mfumo wa SSD ambazo spidi yake Kwenye kusafirisha data ni 2.0.

Ssd ambazo zimetengenezwa kama ilivyo M2 nvme ambazo ni External jihadhari wakati unanunua unaweza wekewa memory card ndani unaponunua kitu mtandaoni au kwq mtu jitahidi kukichunguza kabla ujaondoka nacho.

#ssd #ssdstorage #externalhdd #externalssd #pcaccessories #fahamuzaidi #tanzania #bongotech255