Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kudownload GTA San Andreas kwenye simu || How to download GTA San Andreas on Android
play and and download GTA san Andreas on smartphone with highly graphics

cheza Sasa game ya GTA San Andreas kwenye simu yako kwenye guality iliyobora zaidi ๐Ÿ™ƒ

download link on comment section ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

#gta #swahili #bongotech #sanandreas #gameandroid
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Fahamu website Kumi hatarishi zilizopo kwenye dark web
Leo nimekuletea muendelezo wa Dark web ambapo nimekutajia website Kumi zilizo hatari kwenye tovuti ya Giza ni hatari ๐Ÿ˜ญ sana.

ukitaka kujua jinsi ya kuingia kwenye dark web kupitia simu au kompyuta yako tizama hapa ๐Ÿ‘‡

https://youtu.be/EBiCKFqOQLo

usisahau ku subscribe likes comment & share for more videos โœ…

Teknolojia ni Yetu sote โœ๏ธ

#swahili #bongo #darkweb #darkwebstories #bongomovie #tech

join our telegram ๐Ÿ‘‡

https://t.me/bongoTechs255
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Rudisha ujumbe (sms) uliyofuta kwa BAHATI MBAYA kwenye simu !!
fahamu njia rahisi ya kuweza kurudisha ujumbe au call logs zako zote ulizopiwa au kupiga kwenye simu yako kwa njia rahisi sana.

njia hii inafanya kazi hata kama umepata Simu mpya utaweza kurudisha sms au call log zako pia ikiwa umeibiwa au kupoteza simu yako

usisahau ku subscribe likes & comment kwa maujanjq zaidi

subscribe kwa video nyingi zaidi ๐Ÿ‘

teknolojia ni Yetu sote

#swahili #bongo #maujanja #simu #swahilireaction #bongomovie #bongotech
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tanzania : kuja magari yanayo paa Angani
Teknolojia Inazidi kushika Kasi bhana ulishawahi kuwaza kuhusu kupanda gari ambalo linalo paa ๐Ÿ˜ ?

Muda sio mrefu utaanza kukutana mtaani na magari yanayopaa mpaka ๐Ÿ˜€kufikia 2030 inshallah basi ndege zitakua kha bodaboda

Inaitwa flying car au roadable aircraft ni aina ya usafiri ambao unaweza kutumika kama gari binafsi pia inaweza kutumika kama ndege angani .

unaionaje hii Teknolojia ikija Tanzania ๐Ÿ˜€ itaweza kutatua kero ya usafiri au lah tuachie maoni yako ?

#magari #tanzania #bongotech #swahili #flying #cars #tech
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tumia App hii kupata Pesa kwenye simu yako
ulikua na shida ya kupata Pesa kwa kutumia simu yako okay Leo nimekuletea makala nzuri ya kupata pesa kwenye simu yako kwa kuweza kuiweka hii app kwenye simu yako Sasa

kazi yetu ni kusambaza mchongo sio Uongo โœŠ

teknolojia ni Yetu sote

usisahau ku subscribe kwa kupata video mbalimbali zaidi ๐Ÿ”—

link hipo kwenye comment hapo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

#hela #patapesaonline #swahili #bongotech255 #tech
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kufuatilia mawasiliano ya mtu yeyote 2022 || how to track any phone
hivi unajua Kuna njia rahisi ya kuweza kumfuatilia mtu mawasiliano yake kupitia simu yako nazani ulikua hujui ila Leo ngoja nikujuze โœŠ

utaweza kuona mambo mbalimbali kuhusu simu yake ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
โ€ข sms zake anazotuma au kutumiwa
โ€ข location yake alipo huyi mtu ๐Ÿ˜
โ€ขcall logs zake utaweza kusikiliza mawasiliano yake
โ€ข message zake za mitandao ya kijamii na nk

Kumbuka :
Tunatoa hii video kwa ajili ya elimu tu hivyo hatuhusiki na uvunjivu wa Shera yoyote ikitokea umeitumia ndivyo sivyo ๐Ÿ‘

Jiunge nasi telegram ๐Ÿ‘‡

https://t.me/bongoTechs255

TikTok ๐Ÿ‘‡
tiktok.com/@bongotech255

disclaimer

this video for education purpose only we are not involved in any illegally activities โœŠ we here to help people about technology not cyber crime ๐Ÿ”—

teknolojia ni Yetu sote โœŠ

#swahili #maujanja #simu #bongo #bongote ...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kudownload GTA vice city kwenye simu || Download GTA vice city on Android highly graphics
Sasa unaweza kucheza game ya GTA vice city kwenye simu yako kwa njia rahisi Sana kwa mb 200 tu Tena kwenye Ubora wa Hali ya juu huku ukicheza mission za aina mbalimbali.

ikiwa ulikua unaangaika jinsi ya kudownload GAME ya GTA basi makala hii ni yako Sasa download kupitia simu yako na ucheze Sasa

link ya kudownload hipo kwenye chaneli yetu ya Telegram Gusa ukadownload Sasa

ยฉยฎโ„ข = Download link ๐Ÿ‘‡โœ“โˆ†=ยฉยฎ

join telegram chaneli to download Game
search ๐Ÿ‘‰ BongoTech255๐ŸŒ or link ๐Ÿ‘‡

https://t.me/bongoTechs255

subscribe like comment & share for more videos

Teknolojia ni Yetu sote โœŠ

#swahili #bongo #gta #androidgames #bongotech255 #millardayo #bongotrending
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JINSI SIMU INAVYOWEZA KUOKOA MAISHA YAKO
hivi unajua Kuna wakati simu inaweza kuokoa maisha yako pale unapopatwa na shida au changamoto fulani na ukashindwa kuzungumza.

basi tumia simu yako kukupa msaada wa harakaa sana โœŠ.

#simu #swahili #bongo #bongotech
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kudownload Movies Mpya kupitia simu 2022
fahamu njia rahisi ya kuweza kudownload movies Mpya za series , action , thriller na nk kupitia simu yako kwa Ubora wa Hali ya juu utaweza kutizama kwenye simu , Tv pamoja na Kompyuta

tizama sasa usisahau ku subscribe like comment na share kwa maujanja zaidi

Teknolojia ni Yetu sote โœŠ.!!!!!

PLEASE SUBSCRIBE LIKES & COMMENT โœ…

#swahili #bongomovie #simu #pakua #bongotech255 #swahilireaction
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Mambo ya kushangaza kuhusu Google Chrome mwaka 2022
Kuna mambo mengi ya kushangaza yanapatikana ndani ya Google chrome ila watu hawayajui Leo nakuletea majaabu ya mambo matatu yanapatikana ndani ya Google chrome

Please subscribe like comment na share for more videos

Join our telegram channel
https://t.me/bongoTechs255

#bongo #swahili #googlechrome