Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Rudisha ujumbe (sms) uliyofuta kwa BAHATI MBAYA kwenye simu !!
fahamu njia rahisi ya kuweza kurudisha ujumbe au call logs zako zote ulizopiwa au kupiga kwenye simu yako kwa njia rahisi sana.

njia hii inafanya kazi hata kama umepata Simu mpya utaweza kurudisha sms au call log zako pia ikiwa umeibiwa au kupoteza simu yako

usisahau ku subscribe likes & comment kwa maujanjq zaidi

subscribe kwa video nyingi zaidi 👍

teknolojia ni Yetu sote

#swahili #bongo #maujanja #simu #swahilireaction #bongomovie #bongotech
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kudownload Movies Mpya kupitia simu 2022
fahamu njia rahisi ya kuweza kudownload movies Mpya za series , action , thriller na nk kupitia simu yako kwa Ubora wa Hali ya juu utaweza kutizama kwenye simu , Tv pamoja na Kompyuta

tizama sasa usisahau ku subscribe like comment na share kwa maujanja zaidi

Teknolojia ni Yetu sote .!!!!!

PLEASE SUBSCRIBE LIKES & COMMENT

#swahili #bongomovie #simu #pakua #bongotech255 #swahilireaction