Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tanzania : kuja magari yanayo paa Angani
Teknolojia Inazidi kushika Kasi bhana ulishawahi kuwaza kuhusu kupanda gari ambalo linalo paa 😁 ?

Muda sio mrefu utaanza kukutana mtaani na magari yanayopaa mpaka πŸ˜€kufikia 2030 inshallah basi ndege zitakua kha bodaboda

Inaitwa flying car au roadable aircraft ni aina ya usafiri ambao unaweza kutumika kama gari binafsi pia inaweza kutumika kama ndege angani .

unaionaje hii Teknolojia ikija Tanzania πŸ˜€ itaweza kutatua kero ya usafiri au lah tuachie maoni yako ?

#magari #tanzania #bongotech #swahili #flying #cars #tech
πŸ†• Bugatti Tourbillon, mrithi mpya wa Chiron, inakuja na nguvu ya 1,800-hp V16-PHEV!

πŸ”˜ Gari hili la kifahari lina injini ya 8.3-lita V16 na mfumo wa hybrid unaotoa 800 hp. Bei ya kuanzia Bil 10 TZS.

πŸ”˜ Itapatikana 2026, zitakuwa gari 250 tu! πŸš—πŸ’¨ #Bugatti #Tourbillon #Magari