Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
TAZAMA HOLLYWOOD WAKIANDAA SPIDERMAN NA VENOM (PART 3)
#Spiderman #Venom
Katika hii episode tunakwenda kuangazia Behind the scene za filamu mbili za Marvel zilizotoka mwaka 2021..SPIDER-MAN: NO WAY HOME na Venom: Let There Be Carnage.
0:00 | Introduction
1:06 | SPIDER-MAN: NO WAY HOME VFX breakdown in Swahili
5:00 | Venom: Let There Be Carnage VFX breakdown in Swahili
Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James

Kama ulikua unasuburi kwa hamu juu ya ujio mpya wa toleo jingine la Game ya spider man basi weka on Notification kwani mwezi huu October ni moto.
Kampuni ya insomanic imetoa tarehe ramsi ya kuachiwa game mpya ya Spider man 2. Tarehe 20 /10 /2023 ila itatoka kwa watumiaji wa playstation kwanza.
Storyteller kwa ufupi 👇
Wahusika wakuu Kwenye spider man ni peter parker na Miles Morales ambao utakutana nao Kwenye rangi mbili spider mweusi na mwekundu.
Spider mweusi anakua na uwezo wa kutoa mabawa sio poa. Kuna adui mmoja ni Venom anapiga na mwenye nguvu sana.
pia wahalifu wako wengi wa kila namna wanasumbua Kwenye jiji la new york city kila mmoja kwa upande wake anahitaji kuonekana shujaa kwa kupambana nao.
Kuna jamaa anaitwa kraven the hunter anavaa chuma vizito😃 anapiga huyo kuna wakati spider 🕷️ ataomba poa akanywe maji.
Pia Utakutana na maroboti Ina nguvu balaa , show sio ya kitoto kwa Sasa itaanza kupatikana kwa watumiaji wa playstation 5 TU.
Umeshawahi kucheza game ya spider man unazionaje?
#spiderman #spiderman2game #playstation5 #playstation #sonygames #ps5 #spiderman2 #technews #fahamuzaidi #bongotech255