Baada ya watumiaji wengi wa simu za iphone 15 kuweza kulalamika juu ya simu zao kupata sana joto kupita maelezo siku za nyuma apple wamerudi tena.
Hatimaye kampuni ya apple imeachia toleo jipya la iOS 17.0.3 kwa watumiaji wa iphone 15 kuweza kuondoa changamoto mbalimbali zinazowakabili Kwenye simu zao.
iOS 17.0.3 sio TU kwa watumiaji pekee wa iphone 15 pia wengine wanaweza Kufanya update kuweza kuondoa changamoto ya bugs, system overload na kupeleka simu kupata sana joto.
Kama simu Yako inapokea iOS 17 basi fanya update 😁 upate feni ya kupooza maana zilizua na joto sio poa.
#ios17features #ios17 #simumpya #apple #appletanzania #bongotech255 #fahamuzaidi #iphone15series