Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Kampuni ya Google Leo imetambulisha simu zao mpya aina ya Google pixel 8 series zimekuja na Teknolojia ya AKILI bandia ndani yake inayomsaidia mtumiaji kutumia simu kwa amani.

Google mwaka huu wanaendelea kutisha kwani wametoa simu zenye muonekano wa kipekee pamoja na feature mbalimbali nzuri za kupendeza ndani yake.

Ngoja tuanze na 8 pixel specs:
👉 Display ya Oled + 120Hz ikiwa na 6.2inches
👉 Processor chipset ya Google Tensor G3
👉 Ram 8Gb + storage 128Gb mpaka 256Gb
👉 Main Camera 50mp + 12mp (ultra wide) + video 4k resolution
👉 Selfie Camera 10.5Mp + Auto panaroma
👉 Android 14 version + 7 year support update
👉 Battery Lipo 4575mah + 27W + 18wireless reverse charging

Series mpya ya Google pixel 8 ziko za aina mbili Google pixel 8 na 8 pro. Kwenye Pixel 8 imekuja zikiwa na rangi zifuatazo 👇
- Peony Rose
- Grey
- Obsidian Black 🖤

Wakati Google pixel 8 pro zimekuja zikiwa na rangi zifuatazo 👇
- Sky blue
- Porcelain
- obsidian black

Gharama zake 8 pixel ni 1.75milion
Wakati Google pixel 8 pro 2.5milion zote ni bei za kuanzia.

#google #googlepixel #googlepixel8 #googlepixel8pro #fahamuzaidi #simumpya
Baada ya watumiaji wengi wa simu za iphone 15 kuweza kulalamika juu ya simu zao kupata sana joto kupita maelezo siku za nyuma apple wamerudi tena.

Hatimaye kampuni ya apple imeachia toleo jipya la iOS 17.0.3 kwa watumiaji wa iphone 15 kuweza kuondoa changamoto mbalimbali zinazowakabili Kwenye simu zao.

iOS 17.0.3 sio TU kwa watumiaji pekee wa iphone 15 pia wengine wanaweza Kufanya update kuweza kuondoa changamoto ya bugs, system overload na kupeleka simu kupata sana joto.

Kama simu Yako inapokea iOS 17 basi fanya update 😁 upate feni ya kupooza maana zilizua na joto sio poa.

#ios17features #ios17 #simumpya #apple #appletanzania #bongotech255 #fahamuzaidi #iphone15series
Unachotakiwa ni kujisajili Bure kama unahitaji kucheza hii game kwa Kutana na gamers wote wakali trh 15 na 16 Mlimani City.

Tembelea page ya @InfinixMobileTZ kuna link kwenye page Yao Au link hii 👇

docs.google.com/forms/d/e/1F…

#kubwayamoto #infinixmobiletz #simumpya