This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tumia apps mbili Kwa wakati mmoja kwenye simu Yako
HAJIMURON255๐ (Instagram)
fahamu njia rahisi ya kuweza kutumia apps mbili Kwa wakati mmoja kwenye simu Kwa njia rahisi sana utaweza kutumia apps hizo Kwenye simu Yako
pia usisahau kupakua app inayoitwa split screen shortcut Kwenye simu Yako kama aina uwezo huo hapo juu
usisahau kutu follow kwenye page @bongotech255 Kwa maujanja mbalimbali kuhusu teknolojia Kwa lugha ya kiswahili ๐๐
subscribe kwenye chaneli yetu Kwa maujanja mengi ya Siri kwenye teknolojia
link hipo kwenye bio yetu au search YouTube #bongotech255 Sasa
#bongotech255 #fahamu #fahamuzaidi #split #screen #smartphone #tumia #apps #mbili #kwenye #simu #yako #maujanja #harmonize #ayotv #millardayoupdates #millardayosports #bongoupdatetrends #bongomitupio #bongo5updates #bongo5 #wasafitv #cloudstv #udaku #umbea #umbeaunalipa #misemo

Badil simu Yako kuwa kwenye mfumo wa kompyuta 2021
Kama ulikua Unapenda kumiliki kompyuta na Hauna sio mbaya ukaifanya simu Yako kuwa kompyuta kabisa ๐ na kuendelezea ku enjoy au nini !!
Tizama sasa njia ya kubadili simu kuwa kompyuta ni rahisi sana ๐
Usisahau kutu follow Kwa maujanja mbalimbali zaidi @bongotech255
#smartphone #android #launcher #windows #windows10 #maujanja #fahamu #fahamuzaidi #badilimtazamo #harmonize #kondegang #teknolojia #techy #tech #novalauncher #windowlaunch #bongotech255 #bongotrendings #bongo5updates #bongo5 #udakutz #udakumagazine #umbeausioumiza #umbeawadunia

umesahau password kwenye akaunti yako
HAJIMURON255๐ (Instagram)
fahamu njia rahisi ya kuweza kujua password yako Kwa urahisi Sana hata kama umesahau au inakata kwenye mtandao wowote hule wa kijamii #facebook #instagram #twitter #youtube #email
usisahau kutu follow @bongotech255
#fahamuzaidi #fahamu #bongotech255 #techy #harmonize #igtv #bongo #bongรณ #daressalaam #mtwara #maujanja #jifunzemapishi #fahamumovies #elimu #teknolojia #teknoloji #udakutz #umbea #udaku #kondegang #wasafimedia #wasafi #samiasuluhu #tanzania๐น๐ฟ
@samia_suluhu_hassan @cloudstv @efmtanzania @wasafitv @diamondplatnumzfamily @diamondplatnumz @teknokona @techy_tricks

mfahamu mtu aliyechezea simu yako bila wewe kujua
Kama ulikua unapata shida kumjua Nina anayechezea simu yako wakati wewe umeweka chaji | mahali Fulani basi Leo hii ๐๐ utamkamata kizembe Sana tizama video hii
Kwa maujanja mbalimbali usisahau kutu follow @bongotech255
#bongotech255 #fahamu #fahamuzaidi #maujanja #watu #touch #smartphone #harmonize #kondegang #kondegang4everybody #wasafitv #wasafitv #cloudsdigitalupdates #efm #daresalaam #yanga #simba #reels #insta

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
fahamu maajabu haya kwenye simu yako
#bongotech255
#bongo #swahiliflix #swahiliinspiration #swahiliquotes #fahamu #fahamuzaidi #washikajizangu #umbea #umbeawadunia #pambanahaliyako #teknolojia #tech #elimubilamipaka #shure #bongofive #watapatatabusana๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ #harmonize #kondegang4everybody #samia #bbcswahili #tehama Fahamu maajabu ya beta program kwenye simu
Unajua kuna kitu watu wengi hawakijui kuhusu beta program kwenye simu zetu yani " testing the program before realasing to the public"
Fanya majaribo ya app mbalimbali Kwenye simu yako kabla haijaachiwa public ๐
Sikiliza makala hii kisha tuachie maoni yako
๐Utaweza kuijua
๐Utaweza kujua jinsi ya kujiunga
๐Utaweza kujua jinsi ya kufix tatizo la beta program is full
Ulikua unaijua hii beta program au ndo unasikia sasa ?
#bongotech255 #fahamu #fahamuzaid ...

bongotech255 - Umewahi kujiuliza wapi utapata spea org za...
bongotech255
Umewahi kujiuliza wapi utapata spea org za laptop na kwa garama nafuu
Njoo @wikeltechnologies_tz ujipatie kwa bei poa kabisa Pia tunatuma mizigo mikoa yote kwa uaminifu mkubwa Tuna bidhaa zifuatazo ssd hdd ram vioo vya laptop flash keyboard mouse battery Na nyingine nyingi Tupo ilala machinga complex. Gorofa la upande wa kariakoo, gorofa ya kwanza room number E2-43 Ukifika tupigie ๐ namba zetu ๐mikoani tunatuma +255692630904 | +255765171270 @hyatz_computers #keyboard #tech #techupdate #technews #fahamuzaidi #bongotech255 #wikel #pcaccessories #pcrepair #laptoprepair

bongotech255 - Jipatie Mouse nzuri za Gaming kwa ajili ya...
bongotech255 - Home | Facebook
Jipatie Mouse nzuri za Gaming kwa ajili ya laptop au desktop yako kwa bei poa sana
Unaweza kutumia hata kawaida tu karibu @hyatzcomputers ujipatie kwa bei poa sana Warranty miezi SITA ikifa rudisha Mikoani mnatumiwa kwa uwaminifu mkubwa Watafute sasa @wikeltechnologies_tz @zirene_laptop_accessories_tz kwq Mahitaji Mbalimbali ๐ฅ๐ฅ Wapigie ๐๐ +255692630904 | +255765171270 #mouse #gamingmouse #mousepad #instatechnology #bongotech255 #fahamuzaidi
bongotech255 - Home | Facebook
Jipatie Mouse nzuri za Gaming kwa ajili ya laptop au desktop yako kwa bei poa sana
Unaweza kutumia hata kawaida tu karibu @hyatzcomputers ujipatie kwa bei poa sana Warranty miezi SITA ikifa rudisha Mikoani mnatumiwa kwa uwaminifu mkubwa Watafute sasa @wikeltechnologies_tz @zirene_laptop_accessories_tz kwq Mahitaji Mbalimbali ๐ฅ๐ฅ Wapigie ๐๐ +255692630904 | +255765171270 #mouse #gamingmouse #mousepad #instatechnology #bongotech255 #fahamuzaidi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Hivi unajua kwanini kompyuta yako inakua nzito (slow) wakati unatumia | kuwasha nk
Karibu Kwa @hyatzcomputers atakuondolea matatizo ya laptop yako na kufanya ufurahie Tena kifaa chako
Follow @wikeltechnologies_tz @zirene_laptop_accessories_tz kwa maujanja na mahitaji mbalimbali ya laptop ๐ป
#pcrepair #bongotech255 #fahamuzaidi #kompyuta #maujanja #pcrepairservice #tanzania | bongotech255 | SHAED ยท Trampoline | Facebook
bongotech255 - Home | Facebook
37 views, 1 likes, 0 comments, 0 shares, Facebook Reels from bongotech255: Hivi unajua kwanini kompyuta yako inakua nzito (slow) wakati unatumia | kuwasha nk
Karibu Kwa @hyatzcomputers atakuondolea...

38 views, 2 likes, 0 comments, 0 shares, Facebook Reels from bongotech255: Hivi unajua kwanini kompyuta yako inakua nzito (slow) wakati unatumia | kuwasha nk

75 views, 2 likes, 0 comments, 0 shares, Facebook Reels from bongotech255: Hivi unajua kwanini kompyuta yako inakua nzito (slow) wakati unatumia | kuwasha nk

bongotech255 - Google ambao ni wamiliki wa app nyingi tu...
bongotech255 - Home | Facebook
Google ambao ni wamiliki wa app nyingi tu moja wapo Google maps, wameamua kuleta feature mpya ya kuweza kuwasaidia watu kuhusu tahadhari wakiwa barabarani.
Ikitokea mtu anapita kwenye eneo au barabara ambayo sio salama kwake basi google watamtumia ujumbe kama tahadhari ya Eneo alilopo inabidi hawe makini. Pia itakupa taarifa kuhusu barabara unayopita kama ni salama au lah ila mara nyingi inafanya kazi kwenye zile barabara ambazo unatumia mara nyingi kila siku kwenye shughuli zako za kimaisha. Itaweza kukuambia barabara inayopita endesha polepole au Kasi kama Kuna ujenzi mbele au lah. Itaweza kukutarifu eneo unalopita kama Kuna vibaka , matapeli kuwa makini na mali zako nk Unaionaje hii feature kwenye google maps !!! #google #googlemaps #bongotech255 #fahamuzaidi

Computer shortcut ๐ Ebu Tuambie shortcut Gani Umeilewa kwa haraka Zaidi tuachie maoni yako?
#bongotech255 #pc #pcshortcuts #windows #fahamuzaidi #bongo #swahili #swahilination #teknolojia #w3schools | bongotech255 | bongotech255 ยท Original audio | Facebook
bongotech255 - Home | Facebook
Computer shortcut Ebu Tuambie shortcut Gani Umeilewa kwa haraka Zaidi tuachie maoni yako?
#bongotech255 #pc #pcshortcuts #windows #fahamuzaidi #bongo #swahili #swahilination #teknolojia #w3schools
Window+x then double tap U= shutdown

Sasa utakua na uwezo wa kuhamisha picha kwa urahisi sana kupitia simu yako toka sehemu moja kwenda nyingine kwa urahisi sana
Pia uwezo wa kuhamisha maneno toka sehemu kwenda nyingine bila ku copy unazionaje hizi feature tuachie maoni yako?
#bongotech255 #android14 #teknoloji #fahamuzaidi #android #googlepixel | bongotech255 | | Facebook

#bongotech255 #android14 #teknoloji #fahamuzaidi #android #googlepixel

Amazing Apps ambazo hujawai kutumia !!
Umeshawahi kujaribu izi Apps kwenye simu yako !!!!
Mwaka 2023 mwezi wa sita Leo nakuletea app Bora za kuwa nazo kwenye simu yako watanzania wengi hawazijui !!
Tm Whatsapp
Ukisikia mchanganyiko wa Whatsapp mods kuanzia Yowhatsapp, Plus & Gb Whatsapp ni Tm Whatsapp ni app Bora sana kuwa nayo kwenye simu kwani imepakuliwa na zaidi ya watu million 10 ikiwa na maajabu mengi
โข utaweza ku freeze | pause | fake last seen
โข Ina vpn proxy kuifungua Whatsapp zilizo fungwa
โข unatuma message nyingi kwa watu wakati mmoja.
โข sleep mode(utazuia intaneti kwenye Whatsapp)
โข pia anti revoke unazuia ujumbe kufutwa kwenye Whatsapp yako nk
OTO music
Je unapenda kusikiliza kitu ikiwa na sauti ya kuvutia zaidi, basi tumia Oto music ikiwa wewe mpenzi wa kusikiliza Quran, nyimbo , injiri au kitu chochote kile kwa sauti yenye kupendeza tumia Otto
โข muundo wake ni mzuri
โข ni rafiki kila mtu anatumia
โข ni offline hivyo huitaji bando
โข unaweza soma lyrics ya kitu pia hata ku editi wewe mwenyewe nk.
Brave Private web browser
Ukiwa na hii app huko salama mtandaoni kwa asilimia 70% kwani ni ngumu kuathiliwa na virusi kwenye simu yako. Ni app nzuri sana ikiwa unapenda kupakua vitu mtandaoni.
โข iko faster kutafuta kitu ni zaidi ya Chrome , Mozilla
โข ulinzi wake ni mkubwa sana utakua salama ukitumia ivyo zile link au website hatarishi utazuiwa kuingia.
โข private browsing hakuna mtu atakayeweza kupata access ya vitu ulivyotafuta nk
goClean : Pop up ad dector
Ikiwa unahitaji kutafuta app ambayo Ina spy vitu vyako kwenye simu Basi Tumia hii ni nzuri sana kwani utajua kama Kuna app inafuatilia mambo yako bila wewe kujua kuanzia Ile spy camera pamoja na kuzuia matangazo.
1Tap cleaner (clear cache)
Je una wasiwasi na simu yako kuishiwa na nafasi basi 1Tap cleaner ni app nzuri kuwa nayo kwenye simu yako kwani inakusaidia kuongeza nafasi kupitia ku clear app zote ulizotumia ili kuipa nguvu zaidi simu kuondoa tatizo la kujaa kwa haraka zaidi.
clear apps
clear all cache file
uninstall apps nk
Ziko telegram search #bongotech255 au gusa link ๐
https://t.me/bongoTechs255
#bongotech255 #fahamuzaidi #Fahamu #Maujanja #tanzania #apps

Telegram
BongoTech255๐ฎ๐ป
Fahamu masuala mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha nyepesi kabisa ya kiswahili ๐
Tembelea page zetu ujifunze mengi zaidi ๐
https://bio.site/Bongotech255
Si Unajua Teknolojia ni Yetu sote โ๏ธ

Kampuni ya Google Leo imetambulisha simu zao mpya aina ya Google pixel 8 series zimekuja na Teknolojia ya AKILI bandia ndani yake inayomsaidia mtumiaji kutumia simu kwa amani.
Google mwaka huu wanaendelea kutisha kwani wametoa simu zenye muonekano wa kipekee pamoja na feature mbalimbali nzuri za kupendeza ndani yake.
Ngoja tuanze na 8 pixel specs:
๐ Display ya Oled + 120Hz ikiwa na 6.2inches
๐ Processor chipset ya Google Tensor G3
๐ Ram 8Gb + storage 128Gb mpaka 256Gb
๐ Main Camera 50mp + 12mp (ultra wide) + video 4k resolution
๐ Selfie Camera 10.5Mp + Auto panaroma
๐ Android 14 version + 7 year support update
๐ Battery Lipo 4575mah + 27W + 18wireless reverse charging
Series mpya ya Google pixel 8 ziko za aina mbili Google pixel 8 na 8 pro. Kwenye Pixel 8 imekuja zikiwa na rangi zifuatazo ๐
- Peony Rose
- Grey
- Obsidian Black ๐ค
Wakati Google pixel 8 pro zimekuja zikiwa na rangi zifuatazo ๐
- Sky blue
- Porcelain
- obsidian black
Gharama zake 8 pixel ni 1.75milion
Wakati Google pixel 8 pro 2.5milion zote ni bei za kuanzia.
#google #googlepixel #googlepixel8 #googlepixel8pro #fahamuzaidi #simumpya

Baada ya watumiaji wengi wa simu za iphone 15 kuweza kulalamika juu ya simu zao kupata sana joto kupita maelezo siku za nyuma apple wamerudi tena.
Hatimaye kampuni ya apple imeachia toleo jipya la iOS 17.0.3 kwa watumiaji wa iphone 15 kuweza kuondoa changamoto mbalimbali zinazowakabili Kwenye simu zao.
iOS 17.0.3 sio TU kwa watumiaji pekee wa iphone 15 pia wengine wanaweza Kufanya update kuweza kuondoa changamoto ya bugs, system overload na kupeleka simu kupata sana joto.
Kama simu Yako inapokea iOS 17 basi fanya update ๐ upate feni ya kupooza maana zilizua na joto sio poa.
#ios17features #ios17 #simumpya #apple #appletanzania #bongotech255 #fahamuzaidi #iphone15series

Kama ulikua unasuburi kwa hamu juu ya ujio mpya wa toleo jingine la Game ya spider man basi weka on Notification kwani mwezi huu October ni moto.
Kampuni ya insomanic imetoa tarehe ramsi ya kuachiwa game mpya ya Spider man 2. Tarehe 20 /10 /2023 ila itatoka kwa watumiaji wa playstation kwanza.
Storyteller kwa ufupi ๐
Wahusika wakuu Kwenye spider man ni peter parker na Miles Morales ambao utakutana nao Kwenye rangi mbili spider mweusi na mwekundu.
Spider mweusi anakua na uwezo wa kutoa mabawa sio poa. Kuna adui mmoja ni Venom anapiga na mwenye nguvu sana.
pia wahalifu wako wengi wa kila namna wanasumbua Kwenye jiji la new york city kila mmoja kwa upande wake anahitaji kuonekana shujaa kwa kupambana nao.
Kuna jamaa anaitwa kraven the hunter anavaa chuma vizito๐ anapiga huyo kuna wakati spider ๐ท๏ธ ataomba poa akanywe maji.
Pia Utakutana na maroboti Ina nguvu balaa , show sio ya kitoto kwa Sasa itaanza kupatikana kwa watumiaji wa playstation 5 TU.
Umeshawahi kucheza game ya spider man unazionaje?
#spiderman #spiderman2game #playstation5 #playstation #sonygames #ps5 #spiderman2 #technews #fahamuzaidi #bongotech255

๐ ๐ท๐ถ๐ต๐ฎ๐ฑ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐๐ป๐ฎ ๐๐
๐๐ฒ๐ฟ๐ป๐ฎ๐น ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐ฎ
Inawezekana ukawa unasema kompyuta unayotumia Ina SSD ndani kumbe kiwaulisia SSD iliyopo ndani ni fake ๐ฒ Haina nguvu yoyote.
Kuna SSD zinauzwa ambazo ni External kwa nje sehemu ya kupitishwq data zimetengenezwa kwa mfumo wa Usb Type C au port ya kawaida ni mjihadhari baadhi ni fake.
Kwani zinakua zimeunganishwa memory card ambazo ni (micro SD cards) kwa ndani utazikuta ila kwa nje unaweza sema ni SSD kumbe memory card imeundwa kwa mfumo wa SSD ambazo spidi yake Kwenye kusafirisha data ni 2.0.
Ssd ambazo zimetengenezwa kama ilivyo M2 nvme ambazo ni External jihadhari wakati unanunua unaweza wekewa memory card ndani unaponunua kitu mtandaoni au kwq mtu jitahidi kukichunguza kabla ujaondoka nacho.
#ssd #ssdstorage #externalhdd #externalssd #pcaccessories #fahamuzaidi #tanzania #bongotech255