Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tumia Akili bandia kwenye Whatsapp yako how to use Chat Gpt AI on Whatsapp 2023
Hivi unajua unaweza kutumia akili bandia kwenye Whatsapp yako kwa kuweza kuuliza maswali mbalimbali na ukapata majibu

#artificialintelligence #whatsappfeature2023 #bongotech255 #teknolojia
bongotech255 - Twitter kuna Nini Tena ??

Hello wana...

bongotech255 - Home | Facebook

Twitter kuna Nini Tena ??

Hello wana teknolojia ya #bongotech255 mubalikiwe sana kwa kuendelea kutufuatilia kupitia mitandao Yetu mbalimbali ya kijamii. Sasa tunapatikana Twitter karibuni sana kule kutakua na thread za kikubwa zaidi karibuni sana tuweze kujifunza teknolijia kwa pamoja Tunatumia jina la #bongotech255 link iko kwenye insta story Yetu gusa sasa tukajifunze vitu vya kikubwaπŸ˜„ zaidi Naimani 😊tunajitahidi kuwajuza Yale tunayoyajua au Wana familia mnasemaje !! #bongotech255 #twitterquotes #twitter #swahilitech #bongo #tanzania #teknolojia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Urejelezaji mwezini? #kurunzi #Teknolojia
Je kuna uwezekano wa kurejeleza vifusi kama vyuma chakavu mwezini? Huenda ikawezekana siku za usoni! #dwbusiness
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Teknolojia ya virtual reality yaanza kufundishwa katika shule za msingi Kenya
Teknolojia ya Virtual Reality inajulikana kujikita zaidi kwenye michezo ya video lakini kampuni moja nchini Kenya inatumia teknolojia hii kufundisha watoto wa shule katika maeneo ya kipato cha chini. Katika darasa moja jijini Nairobi, wanafunzi wamekuwa wakitumia teknolojia ya Virtual reality kujifunza zaidi kuhusu uchafuzi wa plastiki.
#VOASwahili #teknolojia #virtualreality #michezo #video #kenya #watoto #mashuleni

Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
πŸ†• Jeff Bezos ameuza takriban hisa milioni 12 za Amazon wiki hii kwa takriban dola bilioni 2 ambazo ni kama Trilioni 5 za Kitanzania au Bilioni 324 za Kenya, hii ikiwa ni mauzo yake ya kwanza ya hisa za Amazon tangu mwaka 2021.

πŸ”˜ Mauzo haya ni sehemu ya mpango mkubwa, uliofunuliwa katika hati ya kila mwaka ya 10-K ya Amazon, ambayo inamruhusu Bezos kuuza hadi hisa milioni 50 ifikapo Januari 2025.

πŸ”˜ Hatua hii inafuata baa ya uamuzi wa Bezos wa kufanya Miami kuwa makazi yake rasmi, mabadiliko ambayo yanaweza kumpunguzia karibu dola milioni 600 katika gharama za kodi ikiwa atauza idadi kubwa ya hisa chini ya mpango huo. Kwa sababu ya kutokuwepo kwa kodi ya faida ya mtaji huko Florida.

______________
#Amazon #Teknolojia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

MAAJABU YA iOS 18 !! UTALOCK APPLICATION KWA FACEID NA KUIFICHA ISIONEKANE KABISA PRIVACY HATARII!!!
#simukitaa #sanukakitaani #bongo #maboss #tech #TEKNOLOJIA
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

SIMU ILIVYO MLETA ELIUD SAMWELI DAR NA KUBADILISHA MAISHA YAKE UTACHEKA πŸ˜€πŸ˜€ ILA NDO UKWELI HUO ..
#Simukitaa #Sanukakitaani #BONGO #Eliudsamweli #Chekatu #bongo #ijuesim #bongo #tech #teknolojia #maboss
πŸ‘1
πŸ†• Marekani imepiga marufuku bidhaa za Kaspersky Lab nchini Marekani kutokana na hatari za usalama wa kitaifa.

πŸ”˜ Sheria hii inaanza Julai 20 kwa wateja wapya na Septemba 29 kwa waliopo. #Teknolojia
πŸ†• Apple na Meta ya kuweka ushirikiano wa AI.

πŸ”˜ Apple inalenga kuongeza vipengele vya AI kwenye bidhaa zake na kuweka Meta AI kwenye vifaa vya Apple kama vile iPhone, iPad na Mac.

#Teknolojia #Apple #Meta #AI
πŸ†• X inaboresha ushirikishwaji kwa watumiaji kwa kuingiza chatbot ya Grok AI, kutoa muhtasari wa akaunti na posts.

πŸ”˜ Hii ni sehemu ya juhudi za Elon Musk za kuweka AI ya Grok ndani ya mifumo ya X/Twitter. #Teknolojia #AI #Grok
πŸ†• Apple imepewa hatimiliki kwa iPhone/iPad ambazo zinatumia kioo kinachokunjika.

πŸ”˜ Hatimiliki hiyo inalenga kioo chembamba kinachokunjika na kuhakikisha uimara wakati wa kuanguka.

#Apple #Teknolojia
Tatizo kubwa la IT limeathiri mabenki na mashirika ya ndege, media, mahospitali, mawasiliano na mifumo ya kiusalama kutokana na matatizo ya huduma za Microsoft kushindwa kufanya kazi duniani kote.

Kompyuta zote zinaonyesha BSoD'd (Blue Screen of Death) #Teknolojia #Usalama
Umewahi kujiuliza kwa nini app ya kupima vipimo (Measure app) ni sahihi au sio sahihi? πŸ“πŸ€” #Teknolojia #MaswaliYaKawaida