Teknolojia
130 subscribers
3.84K photos
4.8K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
teknokona - Instagram Bridge
Wale wa kishua enzi hizo watafahamu hichi ni nini..... au una mjua wa kishua aliyekuwa ana hichi kitu? ebu mtag...



Wale wa kishua enzi hizo watafahamu hichi ni nini..... au una mjua wa kishua aliyekuwa ana hichi kitu? ebu mtag umkumbushe. #Teknokona #TBT
KONA YA TEKNOLOJIA | TEKNOLOJIA.CO.TZ

🌟 Teknokona! tunakutakieni waislamu wote Eid Mubarak πŸŒ™ Baraka tele ziwe kwako leo. Twende pamoja na habari za teknolojia zenye kusisimua! πŸ”₯ kwa kutembelea www.teknolojia.co.tz. #EidAlFitr #Teknokona
KONA YA TEKNOLOJIA | TEKNOLOJIA.CO.TZ

Je, umechoshwa na picha zenye ubora hafifu au video zisizo dhahiri unapozituma kwenye status yako ya WhatsApp? Siri ya kushirikisha(kushare) Picha na Video za HD kwenye Status ya WhatsApp hii hapa➑️ https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kushare-picha-na-video-za-hd-kwenye-staus-ya-whatsapp/
#maujanja #teknokona #HDstatus.