Teknolojia
132 subscribers
3.84K photos
4.9K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

CHINA NA TEKNOLOJIA ZAO MPYA ZA KIJESHI
#china #jeshi
China iko njiani kuwa taifa lenye nguvu kubwa kiteknolojia...leo kupitia episode hii tunakwenda kutazamaia TEKNOLOJIA MPYA ZA KIJESHI NA SILAHA KALI ZA CHINA..China vs Marekani

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
BALAA..!! MAREKANI YAPITWA NA CHINA NA URUSI
Newzfid

#marekani #urusi #china
Kwa miezi kadhaa iliyopita, ‘makombora ya hypersonic’ yamekuwa vichwa vya habari, huku nchi kama China na urusi zikimwagiwa sifa kutokana na maendeleo yake katika makomboroa hayo ya kisasa dhidi ya marekani.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James