Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
BALAA..!! MAREKANI YAPITWA NA CHINA NA URUSI
Newzfid

#marekani #urusi #china
Kwa miezi kadhaa iliyopita, ‘makombora ya hypersonic’ yamekuwa vichwa vya habari, huku nchi kama China na urusi zikimwagiwa sifa kutokana na maendeleo yake katika makomboroa hayo ya kisasa dhidi ya marekani.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James