Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
Vivoy91c hii ni simu mzuri kutoka vivo inakuja ikiwa na sifa zifuatazo #Tsh 260,000...

Vivoy91c hii ni simu mzuri kutoka vivo inakuja ikiwa na sifa zifuatazo #Tsh 260,000
🌻🌻🌻🌻
Simu hii imepewa nguvu katika Processor MT6762R ikisadiwa na RAM 2GB ambapo utaweza kutumia simu yako kwa ufanisi bila kuganda ganda
🌻🌻🌻🌻
Simu hii inakuja na ujazo wa kutosha wa kuifadhi data zako kwani simu hii imepewa uwezo wa ROM 32GB
🌻🌻🌻🌻
Simu hii imepewa nguvu kubwa ya Battery 4030mAh hivyo swala la kudumu charge simu hii limezingatiwa
🌻🌻🌻🌻
Vivo y91c inakuja na mfumo wa Operating System Funtouch OS 4.5 (based on Android 8.1)
🌻🌻🌻🌻
Vivo inakuja na kioo cha ukubwa wa Screen 6.22-inch
Chenye uwezo wa kuonyesha Resolution
1520Γ—720 (HD+) β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️
Camera Front 5MP Camera za vivo ni camera zenye quality kubwa kabisa ukilinganisha na megapixel za camera kutoka katika simu za makampuni nyengine
🌻🌻🌻🌻
13MP hii ni camera ya nyuma ambayo itakupa uwezo wa kuchukua matukio kwa ulahisi zaidi maana tutambue simu hizi hadi china, india na Indonesia kote zinatumika. πŸ“·
🌻🌻🌻🌻
OTG Supported hivyo ukiwa na flash yako unauwezo wa kuitumia kupia simu hii ya #vivo bila tatizo
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Jipatie simu hii popote ulipo kama mkoa tunatuma kwa njia ya basi na ndani ya dar es salaam tunakuletea hadi ulipo bure kabisa.... @chamomobile Tuamini tukuaminishe zaidi #hatuumizani
#vivoy19 #vivoy15 #vivyoy12 #vivoy11 #vivoy17 #vivotanzania #android
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
#CAMON15 #TSH 390,000 #hatuumizani @chamomobile...

https://scontent-lht6-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-15/e35/94219336_2603169439952388_1465952102431382666_n.jpg?_nc_ht=scontent-lht6-1.cdninstagram.com&_nc_cat=100&_nc_ohc=6k1lLR97iikAX-HN5f7&oh=5d0ef18c16fffc5eb0033715ca14aaa6&oe=5ECBF52E
https://scontent-lhr8-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-15/e35/94399881_130459795249744_4388371842826610944_n.jpg?_nc_ht=scontent-lhr8-1.cdninstagram.com&_nc_cat=104&_nc_ohc=6Z8cxAaTUKoAX9rNgYg&oh=fdc9666b212d9b80531983fe2c6f7104&oe=5ECCF2F8

#CAMON15 #TSH 390,000 #hatuumizani @chamomobile
Camon 15 simu hii inakuja na kioo cha inch 6.55 kilicho tengenezwa kwa teknolojia ya IPS LCD HD+ Dot-in display chenye uwezo wa resolution ya hadi pixel 720 kwa 1600. Tofauti na Camon 15 Pro, simu hii yenyewe inakuja na kamera ya mbele ambayo inakuja juu ya kioo.
Kamera hiyo ya mbela inakuja na uwezo wa Megapixel 16 huku ikiwa na teknolojia ya AI ambayo inafanya uweze kupiga picha vizuri sana hasa wakati wa usiku. Kamera hiyo inakuja na uwezo wa kuchukua video za hadi
720p@30fps.
Kwa upande wa nyuma, Camon 15 inakuja na kamera nne, kamera kuu inakuja na Megapixel 48 na kamera nyingine mbili zinakuja na Megapixel 5 na Megapixel 2 huku kamera ya mwisho inawa ni QVGA . Kamera zote zinakuja na teknolojia ya Ai ambayo inawezesha kamera hizo kupiga picha vizuri sana wakati wa usiku. Sifa nyingine za Camon 15
Sifa za Tecno Camon 15
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ukubwa wa Kioo – Inch 6.55 chenye teknolojia yaIPS LCD capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1600 pixels.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mfumo wa Uendeshaji – Android 10.0
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Processor – Octa-core (4Γ—2.3 GHz Cortex-A53 & 4Γ—1.8 GHz Cortex-A53).
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Aina ya Processor (Chipset) – Mediatek MT6765 Helio P35 (12nm).
Uwezo wa GPU – PowerVR GE8320.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ukubwa wa Ndani – GB 64 ikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card ya hadi GB 256.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ukubwa wa RAM – GB 4
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 16 iliyopo juu ya kioo.
Uwezo wa Kamera za Nyuma – Zipo kamera nne, kamera moja inakuja na Megapixel 48, Megapixel 5, Megapixel 2 na kamera ya mwisho inakuja na QVGA kamera..
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Li-po 5000 mAh.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Rangi – Inakuja kwa rangi tatu za Shoal Gold, Fascinating Purple pamoja na Jade
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ulinzi – Inayo Fingerprint kwa nyuma.
πŸ“žπŸ“žπŸ“ž
Tupigie kupitia namba yetu 0672988464
😍😍😍😍😍😍
#camon12series #camon15 #camon15pro #hatuumizani #beipoa #dsm #android
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
chamomobile - Instagram Bridge
β–Ά @chamomobile pekee ndani #tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tunatoa huduma yenye uwaminifu πŸ’ͺ Karibuni sana tuagize simu yako...

@chamomobile pekee ndani #tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tunatoa huduma yenye uwaminifu πŸ’ͺ Karibuni sana tuagize simu yako tukufikishie sasa πŸ”₯πŸ”₯πŸš–
#chamomobile Tunawatika mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan
RAMADHAN KAREEM πŸ•Œβ˜ͺ️ #Infinixnote7lite #infinixhot9 #infinixs5pro #tecnocamon15 #camon15 #camon15pro #samsung #android #oppo #xiaomi #vivo #vivotanzania #infinixnote7 #ramadhankareem #ramadan #ramadanmubarak
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge

#Galaxya2core #Tsh 190,000
Sifa za Samsung Galaxy A2 Core
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ukubwa wa Kioo – Inch 5.0 chenye teknolojia ya HD capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 540 x 960 pixels, na uwiano wa 116:9 ratio (~220 ppi density).
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mfumo wa Uendeshaji – Android 9.0 (Pie Go)
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Processor – Quad-core 1.6 GHz Cortex-A53.
Aina ya Processor (Chipset) – Exynos 7870 Quad Chipset.
Uwezo wa GPU – Mali-T830.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ukubwa wa Ndani – GB 16 na uwezo wa kuongezewa na memory card ya hadi GB 256.
Ukubwa wa RAM – RAM ya GB 1
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 5
Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Megapixel 5 yenye HDR, panorama na LED flash.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Battery – Battery Inayotoka ya Li-Ion 2600 mAh battery.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Viunganishi – Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi Direct, hotspot, Bluetooth 4.2, A2DP pamoja na GPS ya A-GPS, GLONASS, BDS. micro USB 2.0, USB On-The-Go.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mengineyo – Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by), Inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Aina za Sensor – Inakuja na sensor za Accelerometer na proximity.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
πŸ“žπŸ“žkwa mawasiliano zaidi tupigieπŸ“žπŸ“ž
+255672988464
@chamomobile
#GalaxyA30a #galaxya01 #galaxya2core #samaumg #android
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
Vivoy91c hii ni simu mzuri kutoka vivo inakuja ikiwa na sifa zifuatazo #Tsh 270,000...

https://scontent-amt2-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-15/e35/96417848_281978736168458_3625734612248971091_n.jpg?_nc_ht=scontent-amt2-1.cdninstagram.com&_nc_cat=102&_nc_ohc=DCyuelWRrOgAX9g10Zc&oh=b7e419899e7be78f2afc304130f13188&oe=5EDECF20
https://scontent-ams4-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-15/e35/96763111_565658177678235_3540359492904356713_n.jpg?_nc_ht=scontent-ams4-1.cdninstagram.com&_nc_cat=103&_nc_ohc=BXsfTDgjFskAX9MceaZ&oh=7816b73a14811a08cb6b067e530d83dc&oe=5EDD7390

Vivoy91c hii ni simu mzuri kutoka vivo inakuja ikiwa na sifa zifuatazo #Tsh 270,000
🌻🌻🌻🌻
Simu hii imepewa nguvu katika Processor MT6762R ikisadiwa na RAM 2GB ambapo utaweza kutumia simu yako kwa ufanisi bila kuganda ganda
🌻🌻🌻🌻
Simu hii inakuja na ujazo wa kutosha wa kuifadhi data zako kwani simu hii imepewa uwezo wa ROM 32GB
🌻🌻🌻🌻
Simu hii imepewa nguvu kubwa ya Battery 4030mAh hivyo swala la kudumu charge simu hii limezingatiwa
🌻🌻🌻🌻
Vivo y91c inakuja na mfumo wa Operating System Funtouch OS 4.5 (based on Android 8.1)
🌻🌻🌻🌻
Vivo inakuja na kioo cha ukubwa wa Screen 6.22-inch
Chenye uwezo wa kuonyesha Resolution
1520Γ—720 (HD+) β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️
Camera Front 5MP Camera za vivo ni camera zenye quality kubwa kabisa ukilinganisha na megapixel za camera kutoka katika simu za makampuni nyengine
🌻🌻🌻🌻
13MP hii ni camera ya nyuma ambayo itakupa uwezo wa kuchukua matukio kwa ulahisi zaidi maana tutambue simu hizi hadi china, india na Indonesia kote zinatumika. πŸ“·
🌻🌻🌻🌻
OTG Supported hivyo ukiwa na flash yako unauwezo wa kuitumia kupia simu hii ya #vivo bila tatizo
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Jipatie simu hii popote ulipo kama mkoa tunatuma kwa njia ya basi na ndani ya dar es salaam tunakuletea hadi ulipo bure kabisa.... @chamomobile Tuamini tukuaminishe zaidi #hatuumizani
#vivoy19 #vivoy15 #vivyoy12 #vivoy11 #vivoy17 #vivotanzania #android
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
#CAMON15 #TSH 385,000 #hatuumizani @chamomobile...

#CAMON15 #TSH 385,000 #hatuumizani @chamomobile
Camon 15 simu hii inakuja na kioo cha inch 6.55 kilicho tengenezwa kwa teknolojia ya IPS LCD HD+ Dot-in display chenye uwezo wa resolution ya hadi pixel 720 kwa 1600. Tofauti na Camon 15 Pro, simu hii yenyewe inakuja na kamera ya mbele ambayo inakuja juu ya kioo.
Kamera hiyo ya mbela inakuja na uwezo wa Megapixel 16 huku ikiwa na teknolojia ya AI ambayo inafanya uweze kupiga picha vizuri sana hasa wakati wa usiku. Kamera hiyo inakuja na uwezo wa kuchukua video za hadi
720p@30fps.
Kwa upande wa nyuma, Camon 15 inakuja na kamera nne, kamera kuu inakuja na Megapixel 48 na kamera nyingine mbili zinakuja na Megapixel 5 na Megapixel 2 huku kamera ya mwisho inawa ni QVGA . Kamera zote zinakuja na teknolojia ya Ai ambayo inawezesha kamera hizo kupiga picha vizuri sana wakati wa usiku. Sifa nyingine za Camon 15
Sifa za Tecno Camon 15
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ukubwa wa Kioo – Inch 6.55 chenye teknolojia yaIPS LCD capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1600 pixels.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mfumo wa Uendeshaji – Android 10.0
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Processor – Octa-core (4Γ—2.3 GHz Cortex-A53 & 4Γ—1.8 GHz Cortex-A53).
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Aina ya Processor (Chipset) – Mediatek MT6765 Helio P35 (12nm).
Uwezo wa GPU – PowerVR GE8320.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ukubwa wa Ndani – GB 64 ikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card ya hadi GB 256.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ukubwa wa RAM – GB 4
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 16 iliyopo juu ya kioo.
Uwezo wa Kamera za Nyuma – Zipo kamera nne, kamera moja inakuja na Megapixel 48, Megapixel 5, Megapixel 2 na kamera ya mwisho inakuja na QVGA kamera..
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Li-po 5000 mAh.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Rangi – Inakuja kwa rangi tatu za Shoal Gold, Fascinating Purple pamoja na Jade
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ulinzi – Inayo Fingerprint kwa nyuma.
πŸ“žπŸ“žπŸ“ž
Tupigie kupitia namba yetu 0672988464
😍😍😍😍😍😍
#camon12series #camon15 #camon15pro #hatuumizani #beipoa #dsm #android
#CAMON15 #TSH 390,000 #hatuumizani @chamomobile
#Camon15 #UltraClearDayandNight #tecnotanzania
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
Uzito wa Y15 uko hivi: kwa bei ya Tsh 450,000...

https://www.instagram.com/p/CARPPEIgC96/media?size=l

Uzito wa Y15 uko hivi: kwa bei ya Tsh 450,000
64GB ROM+4GB Ram πŸš€
13MP+8MP+2MP Triple camera 🀳🏾
5000 mAh Battery ⚑
OS Android 9.0 (Pie); Funtouch 9 Chipset
Octa-core 2.0 GHz Cortex-A54
πŸ“žπŸ“ž
Tupigie 0672988464
🌹🌹
#vivoy15 #vivoy11 #vivoy19 #vivoy12 #chamomobile
#watapatatabusana #tumewasha #android
βž– Sent by @TheFeedReaderBot βž–
teknokona - Instagram Bridge
Muendelezo wa maandamano nchini Marekani dhidi ya matukio ya kibaguzi yamelazimisha makampuni ya #Sony na #Google...

Muendelezo wa maandamano nchini Marekani dhidi ya matukio ya kibaguzi yamelazimisha makampuni ya #Sony na #Google kuhairisha shughuli zao za utambulisho wa PlayStation 5 kwa Sony, na toleo lijalo la #Android kwa Google.

Fahamu zaidi kwa kubofya link kwenye bio @teknokona

https://teknolojia.co.tz/sony-na-google-wahairisha-matukio-yao-ya-kutambulisha-playstation-5-na-android-mpya/
teknokona - Instagram Bridge
Watumiaji kadhaa wa simu zinazotumia #Android wameripoti kuhusu picha inayoharibu simu. Yaani picha hii inaweza...

Watumiaji kadhaa wa simu zinazotumia #Android wameripoti kuhusu picha inayoharibu simu. Yaani picha hii inaweza ‘kuzingua’ ufanyaji kazi wa simu yako.
Picha hii inayoonesha ziwa, anga ya jioni na pwani inasababisha simu kushindwa kufanya kazi pale ikitumika kama wallpaper - picha kuu ya eneo la apps/nyumbani.

Bofya link kwenye bio.

https://teknolojia.co.tz/picha-inayoharibu-simu-za-android-wallpaper/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Simu Yako hiko slow fanya hivi kuongeza Kasi Kwa haraka πŸ‘‡

Kama ulikua unapatwa na shida ya jinsi Gani ya kuongeza Kasi kwenye simu Yako basi jifunze Leo njia rahisi ya kufanya Ili kuongeza Kasi Kwa haraka 😊

Usisahau kutu follow Sasa @bongotech255

Follow @bongotech255

#bongo #bongomovie #bongotech255 #maujanja #fahamuzaidi #fahamu #ongeza #kasi #kwenye #simu #speed #accessories #information #faster #android #smartphone #bongΓ³ #bongotrendings #bongoupdatetrends #udakutz #teknolojia #techy
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Badil simu Yako kuwa kwenye mfumo wa kompyuta 2021

Kama ulikua Unapenda kumiliki kompyuta na Hauna sio mbaya ukaifanya simu Yako kuwa kompyuta kabisa 😊 na kuendelezea ku enjoy au nini !!

Tizama sasa njia ya kubadili simu kuwa kompyuta ni rahisi sana πŸ™ˆ

Usisahau kutu follow Kwa maujanja mbalimbali zaidi @bongotech255

#smartphone #android #launcher #windows #windows10 #maujanja #fahamu #fahamuzaidi #badilimtazamo #harmonize #kondegang #teknolojia #techy #tech #novalauncher #windowlaunch #bongotech255 #bongotrendings #bongo5updates #bongo5 #udakutz #udakumagazine #umbeausioumiza #umbeawadunia