Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
chamomobile - Instagram Bridge
β–Ά @chamomobile pekee ndani #tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tunatoa huduma yenye uwaminifu πŸ’ͺ Karibuni sana tuagize simu yako...



@chamomobile pekee ndani #tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tunatoa huduma yenye uwaminifu πŸ’ͺ Karibuni sana tuagize simu yako tukufikishie sasa πŸ”₯πŸ”₯πŸš–
#chamomobile Tunawatika mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan
RAMADHAN KAREEM πŸ•Œβ˜ͺ️ #Infinixnote7lite #infinixhot9 #infinixs5pro #tecnocamon15 #camon15 #camon15pro #samsung #android #oppo #xiaomi #vivo #vivotanzania #infinixnote7 #ramadhankareem #ramadan #ramadanmubarak
chamomobile - Instagram Bridge
β–Ά Jiandae na Infinix NOTE 7 Hapa Nchini Tanzania (Bigi Makini)...

https://www.instagram.com/p/B_qPz0PARks/media?size=l

Jiandae na Infinix NOTE 7 Hapa Nchini Tanzania (Bigi Makini)
Kampuni pendwa ya simu Tanzania, Infinix Mobility iko mbioni kuleta simu yenye hadhi ya juu Infinix NOTE 7 na kupewa jina la BIGI MAKINI kutokana na kioo chake kuwa na size kubwa 6.95 inch na uwezo mkubwa wa camera 48MP na processor ya G70 kutoka Mediatek.
Processor yenye speed ya G70 inauwezo mkubwa wenye kuwezesha matumizi mbali mbali kwa wakati mmoja bila kuchoka, NOTE 7 inatumia OS mpya kutoka Google, Android 10. Simu hii haitazinduliwa rasmi kama utaratibu wao ulivyozoeleka lakini kupitia mitandao yao ya kijamii @infinixmobiletz wameeleza sifa na umaradufu wa simu hii. Yawezekana kuwa ndiyo simu bora zaidi ya Infinix kutoka mwaka huu.
β€œVile vile tunawashukuru wa Tanzania kuipokea vyema Infinix NOTE 7 Lite, iliyoingia sokoni katika ya mwezi huu wa April. Infinix NOTE 7 ni simu inayoweza kumsaidia mfanyakazi katika shughuli zake za kila siku kwani inaweza kutunza kumbukumbu kupitia 64GB na RAM ya 4GB , pia kuna sifa nyingine kama Document Scanning ambazo huitaji kupakua app ya ziada. Tumeunganisha Teknolojia ya kisasa zaidi ili kuwanufaisha wateja wetu. Pamoja na sifa zote za simu hii, tumeweka bei ya kawaida kwa mtanzania mwenye kipato cha kati” Aisha Karupa, Afisa Mahusiano.

Endelea kutembelea page yetu @chamomobile ili kupata taarifa zaidi #bigimakini #note7 #infinix #Infinixnote7lite #infinixnote7
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
chamomobile - Instagram Bridge
β–Ά BEI YA INFINIX NOTE...



BEI YA INFINIX NOTE
Infinix note 7 lite 4GB RAM 64GB ROM TSH 384,000
Infinix note 7 4GB RAM 64 GB ROM TSH 440,000

INFINIX NOTE 7 6GB RAM 128GB TSH 550,000

WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA
0672988464
#hatuumizani
#chamomobile
#Infinixnote7lite
#infinixnote7
chamomobile - Instagram Bridge
#Infinix #Smart4 Tsh 230,000 #chamomobile ...

#Infinix #Smart4 Tsh 230,000 #chamomobile
SIFA
Kioo cha 6.6
πŸ”₯
Battery 4000mAh
πŸ”₯
4G support
πŸ”₯
16GB+ 1GB RAM
πŸ“ž
0672988464
🌻 AGIZA TUKUFIKISHIE BIDHAA YAKO KWA UWAMINIFU MKUBWA KARIBUNI β™₯️🌹 KUMBUKA TUNALETA BIDHAA NDANI YA MKOA WA DAR BURE NA MIKOANI TUNATUMA
#infinixsmart4 #smart4 #infinix #infinixhot8 #infinixhot9 #infinixs5pro #infinixnote7
chamomobile - Instagram Bridge
Tsh 435,000 #infinixnote7...




Tsh 435,000 #infinixnote7
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ nfinix NOTE 7 ni simu yenye sifa lukuki zenye kuvutia kuanzia umbo lake kubwa lenye upana wa kioo cha nchi 6.9 na megapixel 48 kamera pamoja na kasi ya processor aina ya MediaTek Helio G70.
Processor ya G70 inakasi kubwa yenye kuwezesha matumizi mbalimbali ya kiofisi na yasiyo yaki ofisi kama vile games zinazohitaji speed kubwa bila kuchoka na miongoni mwa sifa nyengine za Infinix NOTE 7 ni uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu pasipo uhitaji wa kuichaji kwa muda mwingi kutokana na uwezo mkubwa wa battery yenye mAh 5000 na teknolojia ya fast charge.
Sifa yingine zenye kuifanya Infinix NOTE 7 kuwa simu yako bora kwa mwaka huu wa 2020 ni ukubwa wa memory ya GB 64 ROM + 4GB RAM.
KARIBU CHAMOMOBILE πŸ”₯
TUPIGIE KUPITIA NAMBA
πŸ“ž 0672988464
#staysafe #stayhome #chamomobile #tutafika #hatuumizani #covid_19 😷😷 ni hatari #not7lite #Infinixnote7lite #infinixg
chamomobile - Instagram Bridge
Tsh 435,000 #infinixnote7...




Tsh 435,000 #infinixnote7
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ nfinix NOTE 7 ni simu yenye sifa lukuki zenye kuvutia kuanzia umbo lake kubwa lenye upana wa kioo cha nchi 6.9 na megapixel 48 kamera pamoja na kasi ya processor aina ya MediaTek Helio G70.
Processor ya G70 inakasi kubwa yenye kuwezesha matumizi mbalimbali ya kiofisi na yasiyo yaki ofisi kama vile games zinazohitaji speed kubwa bila kuchoka na miongoni mwa sifa nyengine za Infinix NOTE 7 ni uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu pasipo uhitaji wa kuichaji kwa muda mwingi kutokana na uwezo mkubwa wa battery yenye mAh 5000 na teknolojia ya fast charge.
Sifa yingine zenye kuifanya Infinix NOTE 7 kuwa simu yako bora kwa mwaka huu wa 2020 ni ukubwa wa memory ya GB 64 ROM + 4GB RAM.
KARIBU CHAMOMOBILE πŸ”₯
TUPIGIE KUPITIA NAMBA
πŸ“ž 0672988464
#staysafe #stayhome #chamomobile #tutafika #hatuumizani #covid_19 😷😷 ni hatari #not7lite #Infinixnote7lite #infinixg
chamomobile - Instagram Bridge
Tsh 435,000 #infinixnote7...



Tsh 435,000 #infinixnote7
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ nfinix NOTE 7 ni simu yenye sifa lukuki zenye kuvutia kuanzia umbo lake kubwa lenye upana wa kioo cha nchi 6.9 na megapixel 48 kamera pamoja na kasi ya processor aina ya MediaTek Helio G70Processor ya G70 inakasi kubwa yenye kuwezesha matumizi mbalimbali ya kiofisi na yasiyo yaki ofisi kama vile games zinazohitaji speed kubwa bila kuchoka na miongoni mwa sifa nyengine za Infinix NOTE 7 ni uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu pasipo uhitaji wa kuichaji kwa muda mwingi kutokana na uwezo mkubwa wa battery yenye mAh 5000 na teknolojia ya fast chargeSifa yingine zenye kuifanya Infinix NOTE 7 kuwa simu yako bora kwa mwaka huu wa 2020 ni ukubwa wa memory ya GB 64 ROM + 4GB RAMKARIBU CHAMOMOBILE πŸ”₯
TUPIGIE KUPITIA NAMBA
πŸ“ž 0672988464
#staysafe #stayhome #chamomobile #tutafika #hatuumizani #covid_19 😷😷 ni hatari #not7lite #Infinixnote7lite #infinixg"