Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
Bei tsh 290,000...

https://www.instagram.com/p/B-8xkMkA6zM/media?size=l

Bei tsh 290,000
Sifa za Infinix Hot 8
Ukubwa wa Kioo – Inch 6.52 chenye teknolojia ya IPS LCD HD+ infinity display, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1520 pixels.
🔥🔥🔥🔥
Mfumo wa Uendeshaji – Android 9.0 (Pie)
🔥🔥🔥🔥
Aina ya Processor (Chipset) – Mediatek MT6762 Helio P22 (12 nm).
🔥🔥🔥🔥
Uwezo wa Processor (CPU) – Octa-core CPU (4×2.0 GHz Cortex-A53 and 4×1.5 GHz Cortex-A53).
🔥🔥🔥🔥
Uwezo wa GPU – PowerVR GE8320
🔥🔥🔥🔥
Ukubwa wa Ndani – GB 32
Ukubwa wa RAM – GB 2
🔥🔥🔥🔥
Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 8, yenye LED Flash.
🔥🔥🔥🔥
Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Ziko tatu moja ikiwa na Megapixel 13 na nyingine ikiwa na Megapixel 2 na nyingine pia ikiwa na Megapixel 2, zote zikiwa na uwezo wa phase detection autofocus, LED flash.
🔥🔥🔥🔥
Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Li-Ion 5000 mAh Battery.
🔥🔥🔥🔥
Viunganishi – Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, WiFi Direct, hotspot, Bluetooth 5.0, A2DP, LE pamoja na GPS ya A-GPS, GLONASS, 3.1, microUSB 2.0, USB On-The-Go.
🔥🔥🔥🔥
Rangi – Inakuja kwa rangi tatu za Midnight Black, Cosmic Purple na Quetzal Cyan.
🔥🔥🔥🔥
Mengineyo – Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM2, dual stand-by), Inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
🔥🔥🔥🔥
Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
🔥🔥🔥🔥
Aina za Sensor – Fingerprint scanner; Face recognition; Gyroscope; Proximity; e-Compass; Light; G-sensor.
🔥🔥🔥🔥
Ulinzi – Inayo Fingerprint (Kwa Nyuma), Inayo ulinzi wa Face Unlock.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Tupigie 0672988464
#infinixhot8 #chamomobile #
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
Haya sasa bidhaa mpya kutoka @chamomobile ...

https://www.instagram.com/p/B_arGTrgwdY/media?size=l

Haya sasa bidhaa mpya kutoka @chamomobile
Sasa kuna matoleo mawili
32GB ROM ambayo ina 3GB RAM inapatikana kwa #TSH 325,000
Na toleo la.....
64GB lenye 4GB RAM Inapatikana kwa #TSH 350,000 🔥
Kuhus sifa kamali ya simu hii endelea kutembelea page yetu #chamomobile na utufollow 🌹🌹🌹
#infinixhot9 #infinixhot8 #infinixs5
chamomobile - Instagram Bridge
#Infinix #Smart4 Tsh 230,000 #chamomobile ...

#Infinix #Smart4 Tsh 230,000 #chamomobile
SIFA
Kioo cha 6.6
🔥
Battery 4000mAh
🔥
4G support
🔥
16GB+ 1GB RAM
📞
0672988464
🌻 AGIZA TUKUFIKISHIE BIDHAA YAKO KWA UWAMINIFU MKUBWA KARIBUNI ♥️🌹 KUMBUKA TUNALETA BIDHAA NDANI YA MKOA WA DAR BURE NA MIKOANI TUNATUMA
#infinixsmart4 #smart4 #infinix #infinixhot8 #infinixhot9 #infinixs5pro #infinixnote7