Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
teknokona - Instagram Bridge
Muendelezo wa maandamano nchini Marekani dhidi ya matukio ya kibaguzi yamelazimisha makampuni ya #Sony na #Google...



Muendelezo wa maandamano nchini Marekani dhidi ya matukio ya kibaguzi yamelazimisha makampuni ya #Sony na #Google kuhairisha shughuli zao za utambulisho wa PlayStation 5 kwa Sony, na toleo lijalo la #Android kwa Google.

Fahamu zaidi kwa kubofya link kwenye bio @teknokona

https://teknolojia.co.tz/sony-na-google-wahairisha-matukio-yao-ya-kutambulisha-playstation-5-na-android-mpya/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

BULLET TRAIN - Official Trailer Review : Tegemea Mapanga Tu ( inSwahili )
#Sony #BulletTrain #Snashtz
BULLET TRAIN - Official Trailer Review : Tegemea Mapanga Tu ( inSwahili )

Video Source @Sony Pictures Entertainment
🆕 Sony imezindua crypto-exchange yake ambayo inaitwa S.BLOX

🔘 S.BLOX itashirikiana na biashara mbalimbali za Sony Group. Sony Bank inazindua app ya web3, Sony Bank Connect, kwa ajili ya zawadi za NFT na kupanga kutoa stablecoins kwenye Polygon blockchain🔥📈

#Sony #Blockchain