Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kurudisha picha au video ulizozifuta kwenye simu | how to recovery deleted photo and videos
#bongotech #maujanja #apps #recovery #photo #deleted #simu #teknolojia

rudisha vitu ulivyovifuta Kwa bahati mbaya kwenye simu yako Kwa njia rahisi sana utaweza kurudisha picha zako zote ambazo umepoteza kwenye kifaa chako

download hapa πŸ‘‡
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.hd.restoreimage.photorecovery

dony forget to subscribe please support our channel

subscribe subscribe 😊
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

jinsi ya kuondoa tatizo la Instagram couldn't refresh feed Kwa njia rahisi @Bongotech255
fahamu njia rahisi ya kuweza kuondoa tatizo la Instagram couldn't refreshing feed kwenye akaunti yako

kwani tatizo hili usababishwq na mambo kadhaa

1️⃣ Intaneti kuwa slow
2️⃣ server kuwa down
3️⃣ Instagram kutokuwa updated
4️⃣ Instagram wamekuzuia kutokana vitu mbalimbali na nk.

usisahau ku subscribe like na kukomenti Kwa video zaidi 🌏

#techy #instagram #fix #maujanja #bongotech #swahili
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kudownload GTA San Andreas kwenye simu || How to download GTA San Andreas on Android
play and and download GTA san Andreas on smartphone with highly graphics

cheza Sasa game ya GTA San Andreas kwenye simu yako kwenye guality iliyobora zaidi πŸ™ƒ

download link on comment section πŸ‘‡πŸ‘‡

#gta #swahili #bongotech #sanandreas #gameandroid
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Rudisha ujumbe (sms) uliyofuta kwa BAHATI MBAYA kwenye simu !!
fahamu njia rahisi ya kuweza kurudisha ujumbe au call logs zako zote ulizopiwa au kupiga kwenye simu yako kwa njia rahisi sana.

njia hii inafanya kazi hata kama umepata Simu mpya utaweza kurudisha sms au call log zako pia ikiwa umeibiwa au kupoteza simu yako

usisahau ku subscribe likes & comment kwa maujanjq zaidi

subscribe kwa video nyingi zaidi πŸ‘

teknolojia ni Yetu sote

#swahili #bongo #maujanja #simu #swahilireaction #bongomovie #bongotech
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tanzania : kuja magari yanayo paa Angani
Teknolojia Inazidi kushika Kasi bhana ulishawahi kuwaza kuhusu kupanda gari ambalo linalo paa 😁 ?

Muda sio mrefu utaanza kukutana mtaani na magari yanayopaa mpaka πŸ˜€kufikia 2030 inshallah basi ndege zitakua kha bodaboda

Inaitwa flying car au roadable aircraft ni aina ya usafiri ambao unaweza kutumika kama gari binafsi pia inaweza kutumika kama ndege angani .

unaionaje hii Teknolojia ikija Tanzania πŸ˜€ itaweza kutatua kero ya usafiri au lah tuachie maoni yako ?

#magari #tanzania #bongotech #swahili #flying #cars #tech
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JINSI SIMU INAVYOWEZA KUOKOA MAISHA YAKO
hivi unajua Kuna wakati simu inaweza kuokoa maisha yako pale unapopatwa na shida au changamoto fulani na ukashindwa kuzungumza.

basi tumia simu yako kukupa msaada wa harakaa sana ✊.

#simu #swahili #bongo #bongotech
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Fahamu vifurushi visivyo rasmi vya mitandao mbalimbali Tanzania #bongotech
Ulikua unaangaika sana na bando kwenye simu Yako ? Au unajiuliza wapi utapata vifurushi πŸ˜‚ vya kijanja kwenye simu Yako Leo umekuja sehemu salama ✊.

Hi ni njia ya vifurushi ambayo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambayo vinatoa kiasi kikubwa Cha intaneti, izi ni baadhi ya vifurushi nitawatajia Leo !!!

Tigo , voda , Airtel πŸ™‚

subscribe like comment & share for more videos

telegram chaneli πŸ‘‡
https://t.me/bongoTechs255

Jinsi ya kurudisha message uliyofuta kwa bahati mbaya
https://youtu.be/O2OMd3E4QpQ

Jinsi ya kumfuatilia mtu mawasiliano yake
https://youtu.be/nQ15WYG7v64

Social media link πŸ‘‡
1.TikTok
https//www.tiktok.com/@bongotech255
2. Facebook https://Facebook.com/bongotech255
3. Instagram
https://instagram.com/bongotech255
4. YouTube
https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S ...