Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.03K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
AirPods case toleo jipya kutumia USB-C
Katika moja ya pigo ambalo Apple imekumbana nalo ni kuhakiksha vimemeshi vya sinu janja/vifaa vya kidijiti vitumie USB-C (Type-C) na ni kufuatia agizo la Jumuiya ya Umoja wa Ulaya katika kuhakikisha watu wake wanatumia chaji ya aina moja. Apple polepole wanaonekana kuendelea kuitikia agizo la Umoja wa Ulaya hivyo kufanya mabadiliko kwenye vifaa vyake vya...
The post AirPods case toleo jipya kutumia USB-C appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Jinsi ya Kusajili Biashara Kupitia Google My Business (2022)
Kwa mfanya biashara yoyote ni muhimu kuwepo kwenye mitandao ya kijamii, lakini mbali ya mitandao ya kijamii zipo sehemu nyingine mbalimbali ambazo ni muhimu sana biashara yako kuonekana. Google My Business ni moja ya sehemu ambayo kila mfanya biashara anatakiwa kuweka biashara yake, hii ni muhimu sana hasa kama bishara yako inayo eneo maalum la […]
Facebook Na Vipengele Vipya, Feeds Na Home!
Facebook ni moja kati ya mitandao ya kijamii maarufu sana na mkongwe, licha ya kuwa hivyo bado ni moja kati ya mtandao wa kijamii unaoleta ushindani wa juu kwa mitandao mingine sasa wamekuja na ‘Feeds’ Na ‘Home’. Facebook kwa sasa imefanya masasisho katika mtandao huo hasa katika App yake kwa kuongeza kipengele kipya cha ‘Feeds’…kwa...
The post Facebook Na Vipengele Vipya, Feeds Na Home! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Netflix yapoteza karibu wateja milioni moja katika robo ya pili ya mwaka
Netflix imekuwa ikipitia kipindi kigumu sana pengine tangu kuanziishwa kwake ni wakati huu ambao imekuwa ikiendelea kupoteza wateja wake. Na katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka huu Netflix imepoteza karibu wateja milioni 1. Kwenye ulimwengu wa sasa si lazima tena kushusha filamu/tamthilia na kusubiri mpaka mchakato huo ukamilike ndio uweze kuingalia kupitia kifaa...
The post Netflix yapoteza karibu wateja milioni moja katika robo ya pili ya mwaka appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Uwezo wa kununua kitu kupitia Instagram kirahisi kabisa
Instagram ni moja ya mtandao wa kujamii unaotumiwa na watu wengi duniani na hata kuwa sehemu ya chanzo cha mapato. Hii inatokana na kwamba watu wengi wanatumia Instagram kwa mambo mengi tuu ikiwemo kufanya biashara kidijitali. Unaweza usikubali kuwa una uraibu wa kutumia Instagram lakini hilo linawezekana kabisa. Ni wazi kuwa  Na kwa mujibu wmatumizi...
The post Uwezo wa kununua kitu kupitia Instagram kirahisi kabisa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Oppo Watch 3 kutoka mwezi Agosti mwaka huu
Kwenye suala zima la ushindani wa biashara ya saa janja makampuni mengi yamekuwa yakifanya maboresho kila toleo moja baada ya jingine na siku si nyingi tutaweza kufahamu undani wa Oppo Watch 3. Mbali na simu janja Oppo imeweka nguvu nyingi tuu kwenye saa janja ambazo zimekuwa zikitoka toleo moja hadi jingine mwaka hadi mwaka. Oppo...
The post Oppo Watch 3 kutoka mwezi Agosti mwaka huu appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Jinsi ya Kuweka Password Kwenye USB Flash Drive Yoyote
Ni kweli kwamba hivi sasa karibia kila kitu kina kuja na uwezo au sehemu ya password, lakini kuna baadhi ya vifaa ambavyo sio vya kisasa na havina sehemu maalum ambayo unaweza kuzima na kuwasha password kwa urahisi. Kuliona hili leo Tanzania Tech tunakuletea njia rahisi ambayo unaweza kuweka password kwenye USB Flash Drive yoyote kwa […]
Waiting for instantView...
Samsung waweka kando kidogo ujio wa Galaxy S22 FE
Mwaka 2022, Samsung ilitazamiwa kuzindua mwendelezo wa toleo la simu janja kutoka kwenye familia ya “S” kwa maana ya Galaxy S22 FE lakini suala hilo limewekwa kando na maana yake simu hiyo haitatoka tena mwaka huu. Katika miaka ya karibuni makampuni mengi ambayo yanafanya shuguhli za kutengenza na kuuza simu janja ama vifaa mbalimbali vya...
The post Samsung waweka kando kidogo ujio wa Galaxy S22 FE appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Waiting for instantView...
SpaceX yavunja rekodi iliyoiweka yenyewe
Kwenye ulimwengu wa sasa unazungumzia masuala ya anga la mbali hakika huwezi kuacha kuitaja SpaceX ambayo imekuwa ikifanya mambo mengi kuliko hata ambavyo ilidhaniwa wakati inaanza.Katika kipindi kifupi SpaceX imeweza kuvunja rekodi yake mwenyewe. Ni miezi saba tu imepita tangu tuanze mwaka 2022 lakini tayari SpaceX imeshavunja rekodi iliyoiweka hadi kufikia mwisho wa mwaka jana....
The post SpaceX yavunja rekodi iliyoiweka yenyewe appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
bongotech255 - Umewahi kujiuliza wapi utapata spea org za...
bongotech255

Umewahi kujiuliza wapi utapata spea org za laptop na kwa garama nafuu

Njoo @wikeltechnologies_tz ujipatie kwa bei poa kabisa Pia tunatuma mizigo mikoa yote kwa uaminifu mkubwa Tuna bidhaa zifuatazo ssd hdd ram vioo vya laptop flash keyboard mouse battery Na nyingine nyingi Tupo ilala machinga complex. Gorofa la upande wa kariakoo, gorofa ya kwanza room number E2-43 Ukifika tupigie 👇 namba zetu 👇mikoani tunatuma +255692630904 | +255765171270 @hyatz_computers #keyboard #tech #techupdate #technews #fahamuzaidi #bongotech255 #wikel #pcaccessories #pcrepair #laptoprepair
bongotech255 - Unajua maajabu ya Google lens kwenye simu...
bongotech255

Unajua maajabu ya Google lens kwenye simu zetu? Google lens inaweza kukugeuza mchawi wa teknolojia kwenye simu , utaweza kurahisha mambo mengi kupitia simu yako!!

Inatumia teknolojia ya Artificial intelligence kuweza kutambua ujumbe na vitu Kwa mfumo wa picha pamoja na live view kupitia camera yako, Kisha inakusaidia kujifunza jinsi ya kuingiliana navyo katika Kila aina ya njia yenye kuvutia. 1️⃣ Copy text from real worlds Google lens Moja kati ya mambo yake ya kushangaza ni uwezo wa kuchukua ujumbe kutoka kwenye karatasi, kitabu,shati, ubao, mabango au kitu Chochote kilichoandika au kubandikwa mahali Fulani na kukiweka kwenye simu yako Kwa mfumo wa ujumbe (text) badala ya kuandika kitu Toka mahali Fulani kukiweka kwenye simu we una copy tu 😄. 2️⃣ Send text from real world to your laptop au desktop Kuna baadhi ya watu hawatumi tu s...