Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.04K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Magemu Yaliyoongoza Kwa Mauzo Katika Mwezi Juni! #2022
Orodha ya magemu ambayo yamefanya vizuri sana katika vifaa vya simu kwa mwezi juni ya mwaka 2022 imetoka na leo tutagusia katika yale yaliyofanya vizuri Zaidi. Hapa kuna magemu kama vile Pokemon Go, Candy Crush, Genshin Impact na mengine mengi ambayo ndani yake yana huduma za kulipia. Huduma hizo ni kama vile ununuzi wa maisha,...The post Magemu Yaliyoongoza Kwa Mauzo Katika Mwezi Juni! #2022 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Meseji Na Kupiga Simu Vyaja Ndani Ya Snapchat Ya Komyuta, Lakini Ni Kwa Wateja Wa Snapchat Plus!
Snapchat ni moja kati ya mtandao wa kijamii wenye jina kubwa sana na unajihusisha na maswala ya video, picha, kupiga na kupokea simu n.k Hapo awali vipengele ambavyo vilikua vinapatikana katika App yake ya simu, vilikua havipatikani katika ile ya mtandaoni (kuingia kupitia kompyuta). Kutumia huduma ya Snapchat Plus haya yote yanaenda kubadilika kabisa. Kwa...
The post Meseji Na Kupiga Simu Vyaja Ndani Ya Snapchat Ya Komyuta, Lakini Ni Kwa Wateja Wa Snapchat Plus! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Njia Rahisi ya Kupata Jina la Biashara na Mitandao ya Kijamii
Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotaka kufungua biashara yako kwa mara ya kwanza basi ni wazi kuwa jina ni kitu cha msingi sana cha kwanza kufikiria. Na kwa sababu wewe ni msomaji wa tovuti ya Tanzania Tech basi leo nimekuletea njia rahisi sana ya kupata jina lako la biashara pamoja na akaunti zake za […]
Playstation Kuinunua Kampuni Nyingine, Repeat.gg!
Repeat.gg ni mtandao maarufu sana ambao unaendesha mashindano ya kimtandao mbali mbali kwa kutumia magemu kadha wa kadha. Pengine ni moja kati ya mtandao mkubwa kabisa, kumbuka Playstation ilisema bado itanunua makampuni mengi sana na hata sisi TeknoKona tuliandika kuhusu habari hiyo na unununzi wake wa makampuni mengine, soma >>HAPA
👍1
NETFLIX: Lipia Zaidi Endapo Kama Uta’Share Neno Siri (Password)!
Mapato mengi kutoka katika kampuni ya Netflix yanapotea sababu wateja wake wengi huwa wanapeana neno siri (password) ili kufurahia huduma hiyo. Yaani hapa ilikua anaweza kulipia mtu mmoja na kisha kuwa watu wengine neno siri ambalo litawawezesha kuingia katika akaunti hiyo kwa kutumia kifaa kingine na kisha kuweza kutumia huduma hiyo. Hii  ni moja ya...
The post NETFLIX: Lipia Zaidi Endapo Kama Uta’Share Neno Siri (Password)! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Jinsi ya Kujiweka kwenye Google Search Kama Mtu Maarufu
Katika ulimwengu huu wa sasa ni wazi kuwa mambo mengi sana yanaenda kidigital, siku hizi imekuwa ni muhimu sana kwa mtu yoyote kuweza kuwa na wasifu mzuri mtandaoni kwani hii inaweza kusaidia wewe kufanikiwa kwenye mambo mbalimbali ya muhimu. Kuliona hili leo nimekuletea njia mpya na rahisi ambayo unaweza kutumia kuweza kuweka jina lako kwenye […]
Instagram Na Uwezo Wa Kujua Biashara Zilizopo Karibu Kwa Urahisi Kupitia Ramani!
Instagram ina maboresho kadha wa kadha, mara kwa mara kumekua na maboresho au vipengele vipya ambayo wanakuja navyo. Sasa ni zamu ya biashara za karibu, inaelekea awali watumiaji wa mtandao huo walikua wanatapa shida kutambua biashara ambazo zipo karibu yao kwa namna moja au nyingine. Toleo hili jipya ni kwamba litakua linafanya kazi kwa kuweza...
The post Instagram Na Uwezo Wa Kujua Biashara Zilizopo Karibu Kwa Urahisi Kupitia Ramani! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Jinsi ya Kuzuia Apps Ku-update Zenyewe Kupitia Play Store
Kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android basi ni lazima unajua kuwa, kuna wakati apps ambazo ume install kwenye simu yako zinaji update zenyewe bila hata wewe kuruhusu. Mara nyingi hii ni tatizo hasa kwa watu ambao unakuta wana MB chache kwenye simu na wanataka kufanya vitu mbalimbali tofauti na ku-update apps hizo. Sasa […]
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Secret APN that converts 4G to 5G on any network | Increase 4G Speed
APN that can increase your 4G speed, in some cases even convert it to 5G. Works on any network.

There has been a new APN Code going around in the internet that supposedly can turn any 4G network and convert it to 5G, or in the worst case, make your 4G connection faster

if you are experiencing a slow connection on your 4G network, then give this a try and see if it works for you.

to setup this new apn, go to settings, connections (or More), Mobile Network, Acsess Point Names and create a new APN

Name: 4.4.8.8 5G
APN: 4.4.8.8 5G NOT 4G
Proxy: not required
Port: not required
Username: not required
Password: Not Required
Server: www.google.com
MMSC: Not Required
MMS proxy: Not Required
MMS port: Not Required
APN Protocal: IPV4/IPV6
APN Roaming Protocal: IPV4/IPV6
APN Type: default
Bearer: Select All options, e ...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa

Namna ambayo utaweza Kutengeneza Cartoon Ya Sura Yako Kupitia Simu #simukitaa #sanukakitaani
Ukuaji Wa Mapato Ya Snapchat Umebadilika!
Snapchat ni mtandao maarufu sana wa kijamii, licha ya kampuni kuwa inafanya vizuri na kufahmika sana bado inaonekana kuna shida kidogo katika mapato. Ni sawa mapato yanapatikana na yanaongezeka tuu, ila sio kwa ile kasi ambayo ilikua inatarajiwa. Hii inamaana kwamba kama hali itaendelea hivi hivi ni ishara mbaya kwa kampuni. Kama ikiendelea hivi pengine...
The post Ukuaji Wa Mapato Ya Snapchat Umebadilika! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Razr Mpya Na Simu Nyingine Yenye 200MP Kutambulishwa Na Motorola Agosti Hii!
Motorola itatambulisha vifaa hivi katika mkutano ambao umedhaminiwa kuwa ni utambulisho wa vifaa vyake ambao utakua ni mwezi agosti mwaka huu. Pengine katika utambulisho huo ndio utaona simu ya kwanza kabisa yenye 200MP katika kamera yake. Kwa majina vifaa hivyo ni  Razr nyingine ikiwa ni muendelezo wa ile ya kwanza, huku kifaa kingine kikiwa ni...
The post Razr Mpya Na Simu Nyingine Yenye 200MP Kutambulishwa Na Motorola Agosti Hii! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
WhatsApp Na Uwezo Wa Kuficha Kama Uko Online!
WhatsApp ndio mtandao wa kijamii wa kutuma na kupokea meseji za papo kwa papo ambao ndio maarufu zaidi na hiki ni kingine kipya kutoka kwao. Vyanzo mbali mbali vinasema kuwa kipengele kinachokuja katika mtandao huo ni uwezo wa kuweza kuficha watu kuona kama uko ‘Online”muda huo. Kwa mfano hivi hujawahi kukutana na ile hali mtu...
The post WhatsApp Na Uwezo Wa Kuficha Kama Uko Online! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Chat kwa Namna ya Kipekee kwa Kutumia Njia Hizi (Android)
Ni wazi kuwa siku hizi watu wengi zaidi wamekuwa wakipendelea kuwasiliana kwa kuchat zaidi kuliko kupiga simu, hii imefanya app kama WhatsApp,Telegram na nyingine kama hizi kuwa na umaarufu mkubwa. Hii ni moja ya sababu ambayo imesababisha leo nikuletee app hizi nzuri ambazo unaweza kuzitumia kurahisisha zaidi mawasiliano yako hasa ya kuchati. Kumbuka app hizi […]
Mauzo ya simu janja za Samsung zinazokunjika kwa mwaka 2021
Umaarufu wa rununu ambazo zinaweza kukunjika na kukunjuka zimerudi kwa kasi katika miaka ya karibuni na hii ikiwa imechagizwa na ukuaji mkubwa wa teknolojia hivyo kusababisha makampuni kama Samsung kuuza simu nyingi zilizo katika muundo wa kukunjika/kukunjuka. Mwaka 2021, umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Samsung hususani suala zima la mauzo ya simu janja ambazo ni...
The post Mauzo ya simu janja za Samsung zinazokunjika kwa mwaka 2021 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.