This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa
Namna ambayo utaset Mesage ziwe zinafutika kwa muda fulani baada ya kusomwa #Simukitaa #sanukakitaani

Vitu vya kuzingatia kabla haujanunua Simu, Inaendelea kwenye Yutube channel ya Simukitaa #simukitaa #sanukakitaani

Kampuni ya Xiaomi yaja na matoleo mapya ya simu!!
Kampuni ya Xiaomi wiki iliyopita ilitangaza simu zao mpya, aina ya Xiaomi 12S, Walitangaza matoleo matatu ya simu hizo, zikiwa ni Xiaomi 12S, Xiaomi 12S Pro pamoja na Xiaomi 12S Ultra. Malengo hasa katika matoleo hayo ni kuboresha kamera za simu zao, wakitumia msemo wa Capture The Moment, huku wakiweka wazi azimio lao la kutengeneza...The post Kampuni ya Xiaomi yaja na matoleo mapya ya simu!! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.