Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority на Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

“Tutumie Mawasiliano Kujiletea Maendeleo”
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Tatizo Gani linakusumbua sana Instagram na unahitaji msaada Toka kwetu ?

Una tatizo lolote kuhusu akaunti yako ya Instagram au unataka kufanya promotion umeshindwa Karibu tukusaidie 🙏

Pia masuala mbalimbali yanayohusu teknolojia Kwa lugha ya kiswahili Karibu ujifunze nasi 😊
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ziara ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mivumoni iliyopo Madale jijini Dar es Salaam kutembelea Makumbusho ya Mawasiliano iliyopo makao makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), leo Tarehe 20 Agosti, 2021.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

“Tutumie Mawasiliano Kujiletea Maendeleo “
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

fahamu maajabu ya program hizi kwenye simu Yako

unajua program kwenye simu au kompyuta ni msaada mkubwa sana kwenye masuala ya teknolojia imepelekea mpaka kukua Kwa teknolojia Kwa mifumo tofauti tofauti ulimwenguni.

fahamu njia rahisi ya kuweza kupunguza kuweza kuinstall program nyingi kwenye kifaa chako badala yake utaweza kutumia tovuti mbalimbali kufanya hizo Kazi kwenye simu | kompyuta Yako Sasa.

⬇️ edit Pdf Yako Kwa kutumia pdf escape
moja Kati ya tovuti nzuri kuwa nayo kwenye simu ni hii ya kuweza ku editi pdf kwenye simu au kompyuta Yako we fanya kuingia we ingia google search andika pdf escape utaweza ku editi na pdf Yako yoyote Kwa free.

⬇️ Unapenda kutengeneza logo
kama ulikua Unapenda sana kujifunza jinsi ya kutengeneza logo za biashara , prototype au logo Yako Kwa matumizi binafsi basi fanya hivi tafuta tovuti...

View original post
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tumia apps mbili Kwa wakati mmoja kwenye simu Yako
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

fahamu njia rahisi ya kuweza kutumia apps mbili Kwa wakati mmoja kwenye simu Kwa njia rahisi sana utaweza kutumia apps hizo Kwenye simu Yako

pia usisahau kupakua app inayoitwa split screen shortcut Kwenye simu Yako kama aina uwezo huo hapo juu

usisahau kutu follow kwenye page @bongotech255 Kwa maujanja mbalimbali kuhusu teknolojia Kwa lugha ya kiswahili 🌎🌎

subscribe kwenye chaneli yetu Kwa maujanja mengi ya Siri kwenye teknolojia

link hipo kwenye bio yetu au search YouTube #bongotech255 Sasa

#bongotech255 #fahamu #fahamuzaidi #split #screen #smartphone #tumia #apps #mbili #kwenye #simu #yako #maujanja #harmonize #ayotv #millardayoupdates #millardayosports #bongoupdatetrends #bongomitupio #bongo5updates #bongo5 #wasafitv #cloudstv #udaku #umbea #umbeaunalipa #misemo
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

unataka Kununua laptop soma hapa

najua umekutana ushauri wa aina tofauti tofauti unapotaka Kununua laptop lakini kiuwalisia Kila mtu huwa ana pendekezo lake wakati anataka kumiliki laptop Kwa ajili ya kufanya shughuli mbalimbali kama vile za kibiashara au matumizi binafsi.

ni muhimu kufahamu mambo yafuatayo

1️⃣ Ram
kama unataka Kununua laptop hakikisha Ina ram yenye uwezo kuanzia Gb 8 na kuendelea , kwani ram ni muhimu sana kwenye kompyuta au laptop Yako ni kama processor vile, hivyo angalia Ram yenye uwezo mzuri na mkubwa Kwa ajili ya laptop Yako.

2️⃣ Processor
ni muhimu laptop Yako hiwe na processor kuanzia Intel core i5 ,core I 7 au amd rynzen 5 7 au zaidi maan processor ndio ubongo wa kifaa chako hivyo usiende Kununua laptop yenye processor ndogo Kama Intel Celeron au pentium huwa Zina uwezo mdogo sana 😁 usije kujuta...

View original post