Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
TURBO VPN - VPN PROXY SERVER & SECURE V3.5.4.2 [PREMIUM].apk
13.5 MB
TURBO VPN - VPN PROXY SERVER & SECURE V3.5.4.2 [PREMIUM].apk

https://play.google.com/store/apps/details?id=free.vpn.unblock.proxy.turbovpn&hl=en

Mod info :
โ—‰ Premium Activated
โ—‰ Fixed disconnect problem
โ—‰ Working all premium servers
โ—‰ IPsec connection mode working
โ—‰ Removed useless drawer items
โ—‰ Removed unnecessary files
โ—‰ Removed crashlytics, analytics
โ—‰ Dex files fully encrypted
โ—‰ Ultra zip-aligned

Released By ANiK555

SUPPORTS FOR ARMEABI-V7A ONLY.

๐ŸŒ @MODZILLA
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Kanuni ya Mawasiliano ya Kieletroniki na Posta (Usajili wa laini ya simu), 2018 kanuni ya 13 (a) inatuelekeza watumiaji wa laini za simu kuripoti upotevu au wizi wa laini ya simu kwa Jeshi la Polisi na kupewa ripoti ya upotevu ya Polisi (Police Loss Report), na Kanuni ya 13 (b) inaeleza kuwa mtumiaji anatakiwa kuwasilisha ripoti ya upotevu ya Polisi kwa mtoa huduma wake wakati wa kuwasilisha maombi ya kurejeshewa laini ya simu.
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐—™๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ง๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐˜๐—ฟ๐˜† ๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—ถ๐—ป ๐—น๐—ฎ๐˜๐—ฒ๐—ฟ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—œ๐—ป๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ด๐—ฟ๐—ฎ๐—บ ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Je! Unakutana na kosa la "Try again later " kwenye Instagram? ikiwa imekutokea hii unawezq kujiulixa umefanya Nini na Nini umekosea haswa mpaka ikawa hivyo.

ujumbe wa neno la โ€œTry again later. We restrict certain activity to protect our community. Tell us if we think we made a mistake" huwa unawakuta waty weng sana kwenye Instagram akaunti zao hata mimi miaka ya nyuma nilikua mmoja wa anga wa Tatizo hili๐Ÿ˜ฃ.

matatizo haya hutokea Sana Kwa wale wapenzi wa kuweza kutumia akaunti zao kuweza ku like kwenye page za watu sana , kukomentini sana ujumbe unaojirudia rudia kwenye Kila post za watu pia hata wale wa kutumia third apps kuweza kuongeza like , followers kwenye akaunti zao.

Sasa Instagram Wana sera zao hivyo ๐Ÿ™ˆ...

View original post
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

Badil simu Yako kuwa kwenye mfumo wa kompyuta 2021

Kama ulikua Unapenda kumiliki kompyuta na Hauna sio mbaya ukaifanya simu Yako kuwa kompyuta kabisa ๐Ÿ˜Š na kuendelezea ku enjoy au nini !!

Tizama sasa njia ya kubadili simu kuwa kompyuta ni rahisi sana ๐Ÿ™ˆ

Usisahau kutu follow Kwa maujanja mbalimbali zaidi @bongotech255

#smartphone #android #launcher #windows #windows10 #maujanja #fahamu #fahamuzaidi #badilimtazamo #harmonize #kondegang #teknolojia #techy #tech #novalauncher #windowlaunch #bongotech255 #bongotrendings #bongo5updates #bongo5 #udakutz #udakumagazine #umbeausioumiza #umbeawadunia
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Janjaruka! Usikubali Kutapeliwa!
Ni namba 100 PEKEE
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Usikose kufuatilia kipindi maalumu cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) mubashara kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Siku ya Ijumaa kuanzia saa Saba kamili Mchana.
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐—ณ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ฆ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐˜† ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ

tunajua Kuna wakati simu yuko hiko kama mwanadamu Muda wowote inaweza hikapatwa na tatizo lolote, moja la tatizo linalowaumiza watu Sana tatizo la Kushindwa kudownload kitu play store.

unakuta unaingia play store unakutana na shida kama hizi kwenye simu Yako ๐Ÿ‘‡
โ€ข Huwezi kudownload app yoyote kwenye Soko la play store

โ€ขuna Download kitu kinafika asilimia 90 inajikata

โ€ข play store Yako inashindwa ku load au kufunguka

โ€ข download pending kwenye play store
โ€ข Google play store app zime crashes baada ya kufungua na nk.

Sasa fanya hivi Ili kutatua tatizo lako kwenye play store Kwa njia rahisi sana ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

โฌ‡๏ธ hakikisha Mobile data network Yako hiko vizuri kama unaona upati ujumbe wowote wa social media baada...

View original post
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilikutana na Wanazuoni kutoka Vyuo Vikuu mbalimbali kujadili jitihada za kukuza Bunifu za TEHAMA Nchini, Jana Tarehe 25 Agosti, 2021 katika Makao Makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - Kukuza Bunifu za TEHAMA Nchini. | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Yaliyojiri kwenye Mkutano baina ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Wanazuoni kutoka Vyuo Vikuu mbalimbali Nchini kwa lengo la kujadili jitihada...