Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

jinsi ya kuondoa tatizo la Instagram couldn't refresh feed Kwa njia rahisi @Bongotech255
fahamu njia rahisi ya kuweza kuondoa tatizo la Instagram couldn't refreshing feed kwenye akaunti yako

kwani tatizo hili usababishwq na mambo kadhaa

1️⃣ Intaneti kuwa slow
2️⃣ server kuwa down
3️⃣ Instagram kutokuwa updated
4️⃣ Instagram wamekuzuia kutokana vitu mbalimbali na nk.

usisahau ku subscribe like na kukomenti Kwa video zaidi 🌏

#techy #instagram #fix #maujanja #bongotech #swahili
Instagram sasa imeweka kikomo cha idadi ya hashtags zinazoweza kuongezwa kwenye chapisho.

Mabadiliko haya yatafawafanya watumiaji kuongeza hashtag tano tu kwenye chapisho moja.

#Hashtag #Instagram
Threads, aplikesheni ya Instagram imeongeza uwezo wa kuhifadhi posts.

Watumiaji wataweza kuhifadhi post yoyote ndani mtandao huo kwa kubofya kitufe chenye nukta tatu juu kulia na kuletewa chaguo la kuhifadhi post husika.

#Threads #Instagram
Instagram imeongeza (fonts) mpya na kufikia jumla ya font 14 huku ikiboresha kipengele cha (text editor) kupitia Instagram Stories.

Pamoja na maboresho ya fonts pia imeongeza effects mbambali za kuhuisha fonts hizo.

#Instagram #InstagramStories
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Instagram imeongeza muonekano wa Vinyl ndani ya Instagram Stories katika sehemu ya nyimbo

Watumiaji wa Instagram wanaweza kuchagua kuonyesha wimbo walioweka kwa aina mbalimbali ikiwemo kadi, mashairi na vinyl hii mpya.

#Instagram #InstagramStories #Vinyl