Uwezo wa kununua kitu kupitia Instagram kirahisi kabisa
Instagram ni moja ya mtandao wa kujamii unaotumiwa na watu wengi duniani na hata kuwa sehemu ya chanzo cha mapato. Hii inatokana na kwamba watu wengi wanatumia Instagram kwa mambo mengi tuu ikiwemo kufanya biashara kidijitali. Unaweza usikubali kuwa una uraibu wa kutumia Instagram lakini hilo linawezekana kabisa. Ni wazi kuwa Na kwa mujibu wmatumizi...
The post Uwezo wa kununua kitu kupitia Instagram kirahisi kabisa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

Oppo Watch 3 kutoka mwezi Agosti mwaka huu
Kwenye suala zima la ushindani wa biashara ya saa janja makampuni mengi yamekuwa yakifanya maboresho kila toleo moja baada ya jingine na siku si nyingi tutaweza kufahamu undani wa Oppo Watch 3. Mbali na simu janja Oppo imeweka nguvu nyingi tuu kwenye saa janja ambazo zimekuwa zikitoka toleo moja hadi jingine mwaka hadi mwaka. Oppo...
The post Oppo Watch 3 kutoka mwezi Agosti mwaka huu appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

Jinsi ya Kuweka Password Kwenye USB Flash Drive Yoyote
Ni kweli kwamba hivi sasa karibia kila kitu kina kuja na uwezo au sehemu ya password, lakini kuna baadhi ya vifaa ambavyo sio vya kisasa na havina sehemu maalum ambayo unaweza kuzima na kuwasha password kwa urahisi. Kuliona hili leo Tanzania Tech tunakuletea njia rahisi ambayo unaweza kuweka password kwenye USB Flash Drive yoyote kwa […]

Samsung waweka kando kidogo ujio wa Galaxy S22 FE
https://teknolojia.co.tz/samsung-waweka-kando-kidogo-ujio-wa-galaxy-s22-fe/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=samsung-waweka-kando-kidogo-ujio-wa-galaxy-s22-fe

TeknoKona Teknolojia Tanzania
Samsung waweka kando kidogo ujio wa Galaxy S22 FE
Mwaka 2022, Samsung ilitazamiwa kuzindua mwendelezo wa toleo la simu janja kutoka kwenye familia ya "S" kwa maana ya Galaxy S22 FE lakini suala hilo limewekwa
Samsung waweka kando kidogo ujio wa Galaxy S22 FE
Mwaka 2022, Samsung ilitazamiwa kuzindua mwendelezo wa toleo la simu janja kutoka kwenye familia ya “S” kwa maana ya Galaxy S22 FE lakini suala hilo limewekwa kando na maana yake simu hiyo haitatoka tena mwaka huu. Katika miaka ya karibuni makampuni mengi ambayo yanafanya shuguhli za kutengenza na kuuza simu janja ama vifaa mbalimbali vya...
The post Samsung waweka kando kidogo ujio wa Galaxy S22 FE appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

SpaceX yavunja rekodi iliyoiweka yenyewe
https://teknolojia.co.tz/spacex-yavunja-rekodi-iliyoiweka-yenyewe/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=spacex-yavunja-rekodi-iliyoiweka-yenyewe
https://teknolojia.co.tz/spacex-yavunja-rekodi-iliyoiweka-yenyewe/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=spacex-yavunja-rekodi-iliyoiweka-yenyewe
TeknoKona Teknolojia Tanzania
SpaceX yavunja rekodi iliyoiweka yenyewe
Kwenye ulimwengu wa sasa unazungumzia masuala ya anga la mbali hakika huwezi kuacha kuitaja SpaceX ambayo imekuwa ikifanya mambo mengi kuliko hata ambavyo ilidh
SpaceX yavunja rekodi iliyoiweka yenyewe
Kwenye ulimwengu wa sasa unazungumzia masuala ya anga la mbali hakika huwezi kuacha kuitaja SpaceX ambayo imekuwa ikifanya mambo mengi kuliko hata ambavyo ilidhaniwa wakati inaanza.Katika kipindi kifupi SpaceX imeweza kuvunja rekodi yake mwenyewe. Ni miezi saba tu imepita tangu tuanze mwaka 2022 lakini tayari SpaceX imeshavunja rekodi iliyoiweka hadi kufikia mwisho wa mwaka jana....
The post SpaceX yavunja rekodi iliyoiweka yenyewe appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

bongotech255 - Umewahi kujiuliza wapi utapata spea org za...
bongotech255
Umewahi kujiuliza wapi utapata spea org za laptop na kwa garama nafuu
Njoo @wikeltechnologies_tz ujipatie kwa bei poa kabisa Pia tunatuma mizigo mikoa yote kwa uaminifu mkubwa Tuna bidhaa zifuatazo ssd hdd ram vioo vya laptop flash keyboard mouse battery Na nyingine nyingi Tupo ilala machinga complex. Gorofa la upande wa kariakoo, gorofa ya kwanza room number E2-43 Ukifika tupigie 👇 namba zetu 👇mikoani tunatuma +255692630904 | +255765171270 @hyatz_computers #keyboard #tech #techupdate #technews #fahamuzaidi #bongotech255 #wikel #pcaccessories #pcrepair #laptoprepair

bongotech255 - Unajua maajabu ya Google lens kwenye simu...
bongotech255
Unajua maajabu ya Google lens kwenye simu zetu? Google lens inaweza kukugeuza mchawi wa teknolojia kwenye simu , utaweza kurahisha mambo mengi kupitia simu yako!!
Inatumia teknolojia ya Artificial intelligence kuweza kutambua ujumbe na vitu Kwa mfumo wa picha pamoja na live view kupitia camera yako, Kisha inakusaidia kujifunza jinsi ya kuingiliana navyo katika Kila aina ya njia yenye kuvutia. 1️⃣ Copy text from real worlds Google lens Moja kati ya mambo yake ya kushangaza ni uwezo wa kuchukua ujumbe kutoka kwenye karatasi, kitabu,shati, ubao, mabango au kitu Chochote kilichoandika au kubandikwa mahali Fulani na kukiweka kwenye simu yako Kwa mfumo wa ujumbe (text) badala ya kuandika kitu Toka mahali Fulani kukiweka kwenye simu we una copy tu 😄. 2️⃣ Send text from real world to your laptop au desktop Kuna baadhi ya watu hawatumi tu s...

Mikutano Ya Google Meet Sasa Inaweza Kuruka Mubashara (Live) Kupitia Youtube!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Mikutano Ya Google Meet Sasa Inaweza Kuruka Mubashara (Live) Kupitia Youtube!
Kichafanyika hapa ni kwamba wanaondesha mkutano huo kupitia Google Meet ndio watakao amua mkutano huo uruke kupitia katika ukurasa fulani wa Youtube.