Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

Linda taarifa zako ulizohifadhi kwenye kompyuta kwa kuhakikisha mtu yeyote hawezi kuzipata bila ruhusa yako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://zcu.io/Antq
TeknoKona (Facebook)

Kwa kuangalia muvi/tamthilia inayohusu taaluma yako utajifunza mambo mbalimbali yanayoweza kukusaidi katika kazi zako. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu https://zcu.io/jMLf
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kudownload Movies Mpya kupitia simu 2022
fahamu njia rahisi ya kuweza kudownload movies Mpya za series , action , thriller na nk kupitia simu yako kwa Ubora wa Hali ya juu utaweza kutizama kwenye simu , Tv pamoja na Kompyuta

tizama sasa usisahau ku subscribe like comment na share kwa maujanja zaidi

Teknolojia ni Yetu sote .!!!!!

PLEASE SUBSCRIBE LIKES & COMMENT

#swahili #bongomovie #simu #pakua #bongotech255 #swahilireaction
TeknoKona (Facebook)

Hivi karibuni nchi ya Marekani imekuwa ikiwekea vikwazo kampuni za kiteknolojia za China zinazofanya kazi huko ikiwemo kampuni ya Unicom. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/qnPs
TeknoKona (Facebook)

Ufuaji wa umeme wa Jua umekuwa kipaumbele kwa baadhi ya matifa, Nchi ya Emirates (UAE) inaongoza kwa kuwa na mradi mkubwa kuliko yote duniani wa nishati ya Jua. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/d3aR
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) ameendelea na ziara ya kikazi ya uelewa katika Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Tarehe 30 Januari, 2022. Katika ziara hiyo amepokea ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayohusu utendaji kazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania. @nape_nnauye @wizarahmth
TeknoKona (Facebook)

Ni mara ngapi unakumbuka kuhifadhi data zako za WhatsApp kwenye Google Drive?
TeknoKona (Facebook)

Google kuja na toleo jingine la "Pixel" ambayo inakunjika na kukunjuka.
TeknoKona (Facebook)

Unafamu nini kuhusu Microsoft Surface Duo?
TeknoKona (Facebook)

Mkurugenzi mtendaji wa Tesla na Space X, Elon Musk amemuahidi kumlipa kijana wa chuo kikuu kiasi cha dola 5000 kama ataifuta akaunti yake ya twitter inayofuatilia ndege yake.

https://zcu.io/2Jxz
TeknoKona (Facebook)

Kwenye ulingo wa mapambano dhidi ya volcano NASA pia wapo.