Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

Vifaa vya kielektroniki vinavyotumia umeme wa jua vinaweza kuwa msaada pale inapotokea shida ya umeme. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaid https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Tumia mitandao ya kijamii kwa tija ili kujiepusha na msongo wa mawazo. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bofya link https://youtu.be/w8X1TsKatt8 iliyopo kwenye Bio kufuatilia mahojiano maalumu baina ya Mtangazaji Masoud Kipanya na Mkurugenzi wa Shule Direct Mrs. Faraja Nyalandu, kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
TeknoKona (Facebook)

Heri ya Siku ya kuzaliwa

Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tunakutakia afya njema

#KaziIendelee
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bofya link https://youtu.be/w8X1TsKatt8 iliyopo kwenye Bio kufuatilia mahojiano maalumu baina ya Mtangazaji Masoud Kipanya na Mkurugenzi wa Shule Direct Mrs. Faraja Nyalandu, kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Kwa bei zenu hizo za bando nan afatilie bora nisikilize evening glory kwa kimaro
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ziara ya mafunzo kwa wanafunzi kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) kutembelea Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Tarehe 27 Januari, 2022.
TeknoKona (Facebook)

Unafahamu mambo ya kuzingatia unapoandaa Tangazo la Facebook? Soma makala hii uweze kufahamu mambo yote muhimi ya kuzingati katika uandaaji wa tangazo la Facebook.

https://zcu.io/HqHf
TeknoKona (Facebook)

Unazifahamu Apps zilizopakuliwa zaidi mwaka 2020? Soma makala hii uweze kuzifahamu.

https://zcu.io/6d3T
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) amefanya Ziara ya Uelewa katika Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Tarehe 28 Januari, 2022.

Katika Siku ya kwanza ya Ziara hiyo, ametembelea Makumbusho ya Mawasiliano ya TCRA na kujionea uhifadhi uliobeba historia pana ya ukuaji wa Sekta ya Mawasiliano tangu kale hadi sasa. @nape_nnauye @wizarahmth
TeknoKona (Facebook)

Google imenunua hisa za kampuni ya simu ya Airtel ya India zenye dhamani ya dola bilioni 1. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/Fzvn
TeknoKona (Facebook)

Ndege zinazotarajiwa kutengenezwa na kampuni ya Boom zitakuwa na spidi ya mach 1.7, itakayoiwezesha kusafiri umbali mrefu kwa muda mchache kuliko kawaida. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/uPjB
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) amefanya Ziara ya Uelewa katika Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Tarehe 28 Januari, 2022.

Katika Siku ya kwanza ya Ziara hiyo, ametembelea Makumbusho ya Mawasiliano ya TCRA na kujionea uhifadhi uliobeba historia pana ya ukuaji wa Sekta ya Mawasiliano tangu kale hadi sasa.

@nape_nnauye … See more

Mmeinishitua nimevoona (Mb) nikajua zimeongezwa, kumbe mpaah
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

TAJIRI NAMBA 1 WA DUNIA NI 'MWEHU' AU GENIUS? πŸ˜€πŸ˜€
#ElonMusk #Tajiri
Bilionea wa sasa anayeongoza kwa utajiri duniani ni raia wa marekani mzaliwa wa Afrika ya Kusini,Elon musk. Musk anasalia kuwa mmoja wa watu mashuhuri na matajiri wenye utata, na wasioeleweka. Hiyo ni kwa sababu, licha ya kuwa mtu tajiri zaidi duniani na genius nyuma ya Tesla, SpaceX na kampuni zingine kubwa, anakataa kufuata mkumbo

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James