Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

Teknokona tunaungana na Watanzania wote kusherekea siku ya leo tunapoadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa nchi yetu.

Heri ya Miaka 60 ya Uhuru!

#Tanzaniaimara #kaziiendelee #independenceday #miaka60yauhuru
TeknoKona (Facebook)

Heri ya Siku ya kuzaliwa

Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tunakutakia afya njema

#KaziIendelee