Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tumia App hii kupata Pesa kwenye simu yako
ulikua na shida ya kupata Pesa kwa kutumia simu yako okay Leo nimekuletea makala nzuri ya kupata pesa kwenye simu yako kwa kuweza kuiweka hii app kwenye simu yako Sasa

kazi yetu ni kusambaza mchongo sio Uongo

teknolojia ni Yetu sote

usisahau ku subscribe kwa kupata video mbalimbali zaidi 🔗

link hipo kwenye comment hapo 👇👇

#hela #patapesaonline #swahili #bongotech255 #tech
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari amezindua Semina kwa Watoa Huduma za Posta Nchini. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 17 Januari, 2022 ukiashiria kuanza kwa maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Posta Afrika (PAPU) yatakayofanyika tarehe 18 Januari, 2022 katika viwanja vya jengo la PAPU - ARUSHA.
TeknoKona (Facebook)

Kuna programu nyingi ndani ya simu janja zenye ruhusa ya kusikiliza sauti na maongezi kwenye mazingira uliyopo, Hakikisha unaizima na kuiweka mbali unapofanya maongezi nyeti. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Kupitia simu janja unaweza kupanga namba za watu wako wa karibu kupigiwa unapopata dharura. Tembelea tovuti yetu kwa maelezo zaidi https://teknolojia.co.tz/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MCHEKESHAJI WA THE MASK ALIPOTELEA WAPI?
#TheMask #comedy #jimcarrey
Katikati ya miaka ya 90, Jim Carrey aliigiza katika msururu wa filamu za kuchekesha/Comedy. Filamu zake maarufu kati ya hizo ni, The Mask ya mwaka 1994 na Mnamo 1995, alishiriki katika filamu nyingine maarufu, Dumb and Dumber.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MCHEKESHAJI WA THE MASK ALIPOTELEA WAPI?
#TheMask #Comedy #JimCarrey
Katikati ya miaka ya 90, Jim Carrey aliigiza katika msururu wa filamu za kuchekesha/Comedy. Filamu zake maarufu kati ya hizo ni, The Mask ya mwaka 1994 na Mnamo 1995, alishiriki katika filamu nyingine maarufu, Dumb and Dumber...

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Posta Afrika, tarehe 18 Januari, 2022.

Kauli Mbiu “Kuimarisha Ushirikiano na Wadau wa Sekta ya Posta”.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
App itakayokupa kipato na kukurahisishia maisha.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Badili battery ya Iphone yako mwenyewe. NI RAHISI SANA
Kama wewe ni mtu unayependa simu kama mimi basi utakua umeshawaza jinsi gani ya kubadili battery mwenyewe. Katika video hii ya leo nakwenda kukuonyesha jinsi ya kubadili battery ya Iphone 6s Plus mweyewe. Ni rahisi sana na ni raha sana pale unapofanikiwa na simu ikawaka.

Njoo tuzungumze kupitia mitandao ya kijamii

https://www.instagram.com/tech_africa/
https://twitter.com/techafrica1
https://www.facebook.com/tekfrika
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
JINSI YA KUNUNUA BIDHAA KUPITIA ALIEXPRESS/FAIDA (How To Buy On Aliexpress platform). #Aliexpress