This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
AliExpress Jinsi ya kununua vitu online shopping
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
App itakayokupa kipato na kukurahisishia maisha.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
JINSI YA KUFANYA BIASHARA MTANDAONI/ Kwa Kuagiza Bidhaa China [Alibaba & AliExpress] Mtaji Mdogo
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Posta Afrika, tarehe 18 Januari, 2022.
Kauli Mbiu “Kuimarisha Ushirikiano na Wadau wa Sekta ya Posta”.

TeknoKona (Facebook)
Kwa kusoma makala hii utaweza kufahamu hatua za kufuata unapotaka kubadili jina (Username) katika Mtandao wa kijamii wa TikTok.
https://zcu.io/Svj6

Laptop za Chromebook ni maalum kwaajili ya kuperuzi mtandaoni na huwa na ujazo mdogo wa nafasi lakini zinaweza kukaa na chaji muda mrefu zaidi. Soma makala hii uweze kufahamu zaidi.
https://zcu.io/3hRw
Laptop za Chromebook ni maalum kwaajili ya kuperuzi mtandaoni na huwa na ujazo mdogo wa nafasi lakini zinaweza kukaa na chaji muda mrefu zaidi. Soma makala hii uweze kufahamu zaidi.
https://zcu.io/3hRw
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Fahamu Matumizi ya Sehemu Hii (Android) #Maujanja 147
Kama kwa namna yoyote unataka kukuza maandishi yaliyopo kwa sehemu zote za simu yako yaani Apps na Settings za simu yako basi njia hii itakusaidia sana.
Njia hii ni bora zaidi kwa watu ambao hawaoni vizuri au watu wazima ambao wana matatizo ya kuona vizuri. Njia hii itakusaidia sana.
Fahamu Matumizi ya Sehemu Hii (Android) #Maujanja 147
Kama kwa namna yoyote unataka kukuza maandishi yaliyopo kwa sehemu zote za simu yako yaani Apps na Settings za simu yako basi njia hii itakusaidia sana.
Njia hii ni bora zaidi kwa watu ambao hawaoni vizuri au watu wazima ambao wana matatizo ya kuona vizuri. Njia hii itakusaidia sana.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Tech

COOL INVENTIONS THAT WILL HELP YOU OUT IN SNOWY WEATHER
https://www.youtube.com/watch?v=JXgj-0LjK8Y

YouTube
COOL INVENTIONS THAT WILL HELP YOU OUT IN SNOWY WEATHER
BRAIN TIME ► https://goo.gl/tTWgH2
1. HeatTrak
https://www.youtube.com/watch?v=F7vVrLyMolw
https://www.youtube.com/watch?v=sBmZ6wTzBUI
https://www.youtube.com/watch?v=0kMFTBDjNok
https://www.youtube.com/watch?v=upC_2oYHANw
https://www.youtube.…

Mitandao ya kijamii inauwezo wa kumdhuru mtoto kisaikolojia hivyo tunapaswa kuwalinda watoto wetu wasianze kuitumia mapema mpaka watakapotimiza umri halali wa kuitumia. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/

Tumia mitandao ya kijamii kupata taarifa za matukio mbalimbali duniani, ni njia nyepesi na ya haraka zaidi. Tembelea tovuti yetu kujifunza zaidi kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii https://teknolojia.co.tz/
Tumia mitandao ya kijamii kupata taarifa za matukio mbalimbali duniani, ni njia nyepesi na ya haraka zaidi. Tembelea tovuti yetu kujifunza zaidi kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii https://teknolojia.co.tz/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeshiriki katika maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Posta Afrika yaliyoanzia kwenye viunga vya ofisi za Posta Arusha na kufikia tamati katika viwanja vya ofisi za Makao Makuu ya Posta Afrika - PAPU, 18 Januari, 2022.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Kundo Andrea Mathew. Ujumbe wa TCRA uliongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dkt. Jabiri Bakari. Maadhimisho ya mwaka 2022 yameongozwa na kauli mbiu isemayo “Kuimarisha Ushirikiano na Wadau wa Sekta ya Posta”

Njia Nyingine ya Kutumia Space Bar (Android) #MaujanjaDK1
https://www.youtube.com/watch?v=gP8G8AdbQJU

Kama kwa namna yoyote unataka kujua njia nyingine ya kutumia Space Bar basi hii ni njia rahisi ya kutumia space bar kwenye simu yako ya Android.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Njia Nyingine ya Kutumia Space Bar (Android) #MaujanjaDK1
Kama kwa namna yoyote unataka kujua njia nyingine ya kutumia Space Bar basi hii ni njia rahisi ya kutumia space bar kwenye simu yako ya Android.
Njia Nyingine ya Kutumia Space Bar (Android) #MaujanjaDK1
Kama kwa namna yoyote unataka kujua njia nyingine ya kutumia Space Bar basi hii ni njia rahisi ya kutumia space bar kwenye simu yako ya Android.
TeknoKona (Facebook)
Kupitia Vodacom Business wamiliki wa biashara ndogondogo wanaweza kupata huduma mbalimbali za kimtandao kwa gharama nafuu. Soma makala hii kufahamu zaidi
https://zcu.io/p0wg