Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.57K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inawakaribisha Watanzania wote kutembelea makumbusho ya mawasiliano iliyopo Makao Makuu ya TCRA Jijini Dar es...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tanzania : kuja magari yanayo paa Angani
Teknolojia Inazidi kushika Kasi bhana ulishawahi kuwaza kuhusu kupanda gari ambalo linalo paa 😁 ?

Muda sio mrefu utaanza kukutana mtaani na magari yanayopaa mpaka 😀kufikia 2030 inshallah basi ndege zitakua kha bodaboda

Inaitwa flying car au roadable aircraft ni aina ya usafiri ambao unaweza kutumika kama gari binafsi pia inaweza kutumika kama ndege angani .

unaionaje hii Teknolojia ikija Tanzania 😀 itaweza kutatua kero ya usafiri au lah tuachie maoni yako ?

#magari #tanzania #bongotech #swahili #flying #cars #tech
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Semina maalum kuhusu matumizi ya Anuani za Makazi na Postikodi Kwa Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu na Watendaji wa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ikiongozwa na Mgeni Rasmi Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mheshimiwa Rahma Kassim Ali. Ujumbe kutoka TCRA uliongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr. Jabiri K. Bakari. Semina ilifanyika tarehe 15.01.2022 katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Airport, Zanzibar.
TeknoKona (Facebook)

Kuna aina nyingi za simu janja unazoweza kutumia kama mbadala ukikosa simu za Samsung au iPhone. Soma makala hii uweze kuzifahamu.

https://zcu.io/Zuhw
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kuzifahamu App zinazotumia chaji nyingi na kutumia nafasi kubwa kwenye simu janja yako.

https://zcu.io/cTPz
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Semina maalum kuhusu matumizi ya Anuani za Makazi na Postikodi Kwa Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu na Watendaji wa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ikiongozwa na Mgeni Rasmi Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mheshimiwa Rahma Kassim Ali.

Ujumbe kutoka TCRA uliongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr. Jabiri K. Bakari.

Semina ilifanyika tarehe 15.01.2022 katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Airport, Zanzibar.
TeknoKona (Facebook)

Fahamu makosa yanayofanyika katika utengenezaji wa nywila kwenye simu janja kwa kusoma makala hii.

https://zcu.io/RZyX
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu jinsi ya kuifanya kompyuta yako ikuite jina lako kila unapoiwasha.

https://zcu.io/O77X
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tumia App hii kupata Pesa kwenye simu yako
ulikua na shida ya kupata Pesa kwa kutumia simu yako okay Leo nimekuletea makala nzuri ya kupata pesa kwenye simu yako kwa kuweza kuiweka hii app kwenye simu yako Sasa

kazi yetu ni kusambaza mchongo sio Uongo

teknolojia ni Yetu sote

usisahau ku subscribe kwa kupata video mbalimbali zaidi 🔗

link hipo kwenye comment hapo 👇👇

#hela #patapesaonline #swahili #bongotech255 #tech