Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Kabla ujanunua simu zingatia mambo Aya !!!
Watu wengi wamekua na tabia ya kutaka kumiliki simu ila changamoto wakifika dukani au kwa mtu wanashindwa kujua mambo Gani wazingatie wapate simu iliyobora kwao!!

Tizama iyo video utajifunza jambo

Teknolojia ni Yetu sote ✊

#swahilitech #simu #maujanja #bongotech255
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Hamisha file kutoka kwenye simu kwenda kwenye kompyuta bila USB | SOFTWARE
Sasa fahamu njia rahisi ya kuweza kuhamisha ma file yako yoyote Yale kutoka kwenye simu na kupeleka kwenye kompyuta au kutoka kwenye kompyuta kupeleka kwenye simu bila kutumia software au USB yoyote Ile.

Telegram group πŸ‘‡

BongoTech255πŸ–₯🌐
Karibu πŸ”₯πŸ”‹πŸŒ
https://t.me/bongoTechs255

Teknolojia ni Yetu sote πŸ˜‡

#swahilitech #bongo #fahamu #simu #kompyuta
bongotech255 - Wallpaper nzuri za kuweka kwenye simu yako...
bongotech255 - Home | Facebook

Wallpaper nzuri za kuweka kwenye simu yako na kuifanya kuwa ya kuvutia sana

Unaweza zipakua kwenye chaneli Yetu ya Telegram kwa jina la #bongotech255 Utazikuta full zikiwa na Ubora wa hali ya Juu πŸ™ƒ #wallpaper #hdwallpaper #smartphonewallpaper #bongowallpapers #wallpapertz #wallpapersticker #technologytrends #simu #bongotech255
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

FAHAMU SIMU ZILIZOWAHI KUTUMIWA NA MASTAA MBALIMBALI DUNIANI NA UWEZO WAKE WA KUFANYA KAZI
#iphone #tanzania #simu #daressalaamtanzania
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

MAPINDUZI YA CHARGE KATIKA SIMU ZA INFINIX NOTE 40PRO (All Round Fast Charge 2.0)
Ifahamu simu ya #infinixnote40pro

Fahamu teknolojia zote muhimu hii ikiwa ni pamoja na teknolojia ya kuchaji kwa uharaka (All Round Fast Charge 2.0).

#Simu #Smartphone #infinix
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

MAPINDUZI YA KUCHAJI KATIKA SIMU ZA INFINIX NOTE 40 PRO (All Round Fast Charge 2.0)
Ifahamu simu ya #infinixnote40pro

Fahamu teknolojia zote muhimu hii ikiwa ni pamoja na teknolojia ya kuchaji kwa uharaka (All Round Fast Charge 2.0).

#Simu #Smartphone #infinix #Uchambuzi #Review