Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿ“ƒ Je unataka kuangalia video za #YouTube wakati unatumia apps nyingine kwenye simu za Android? Leo fahamu kuhusu app ya...

Je unataka kuangalia video za #YouTube wakati unatumia apps nyingine kwenye simu za Android? Leo fahamu kuhusu app ya Tube Floatingโ 
Njia hii ni kutumia app inayokwenda kwa jina la Tube Floating. #Appsโ 
โ 
Soma na fahamu zaidi kwa kubofya link kwenye bio @teknokona
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

Fahamu apps zote hatarishi ambazo ziko kwenye Simu yako bila wewe kujua utaweza kujua app zote ambazo Si salama kwako daima ๐Ÿ‘‡

โ€ข app ambazo Zina ku spy mawasiliano yako
โ€ข nani anatumia wifi yako bila wewe kujua
โ€ข app zilizojifivha kwenye Simu yako na nk ๐Ÿ˜Š

We tixama video sasa usisahau kutu follow @bongotech255 kwa maujanja mbalimbali zaidi ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

#bongotech255 #spy #spyvsspy #apps #playstore #appstore
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tumia apps mbili Kwa wakati mmoja kwenye simu Yako
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

fahamu njia rahisi ya kuweza kutumia apps mbili Kwa wakati mmoja kwenye simu Kwa njia rahisi sana utaweza kutumia apps hizo Kwenye simu Yako

pia usisahau kupakua app inayoitwa split screen shortcut Kwenye simu Yako kama aina uwezo huo hapo juu

usisahau kutu follow kwenye page @bongotech255 Kwa maujanja mbalimbali kuhusu teknolojia Kwa lugha ya kiswahili ๐ŸŒŽ๐ŸŒŽ

subscribe kwenye chaneli yetu Kwa maujanja mengi ya Siri kwenye teknolojia

link hipo kwenye bio yetu au search YouTube #bongotech255 Sasa

#bongotech255 #fahamu #fahamuzaidi #split #screen #smartphone #tumia #apps #mbili #kwenye #simu #yako #maujanja #harmonize #ayotv #millardayoupdates #millardayosports #bongoupdatetrends #bongomitupio #bongo5updates #bongo5 #wasafitv #cloudstv #udaku #umbea #umbeaunalipa #misemo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

tumia simu Yako kujua tabia unazifanyaga usiku bila wewe kujua @Bongotech255
๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ๐—ท๐—ฒ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ๐—น๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—น๐—ฒ

kwa kutumia simu Yako fahamu tabia ambazo unazifanyaga usiku ila Bila wewe kujijua ๐Ÿ˜€ yani utajua kha ukilala usiku unatembea , unapiga kelele au unakoloma.

tumia simu Yako sasa ๐Ÿ˜Š.

#maujanja #simu #bongotech255 #apps
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kurudisha picha au video ulizozifuta kwenye simu | how to recovery deleted photo and videos
#bongotech #maujanja #apps #recovery #photo #deleted #simu #teknolojia

rudisha vitu ulivyovifuta Kwa bahati mbaya kwenye simu yako Kwa njia rahisi sana utaweza kurudisha picha zako zote ambazo umepoteza kwenye kifaa chako

download hapa ๐Ÿ‘‡
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.hd.restoreimage.photorecovery

dony forget to subscribe please support our channel

subscribe subscribe ๐Ÿ˜Š
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Fanya hivi kulinda Whatsapp yako @Bongotech255
YouTube link
๐Ÿ”ป usisahau ku subscribe kwenye chaneli yetu

https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

โ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธโ–ซ๏ธ

social media zetu ๐Ÿ‘‡ :
1. Tik tok ๐Ÿ”ป https://www.tiktok.com/@UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

2. Instagram๐Ÿ”ป https://instagram.com/bongotech255

3. YouTube๐Ÿ”ป https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

4. Facebook ๐Ÿ”ป https://Facebook.com/bongotech255

#bongo #whatsapp #tipsandtricks #bongotech255 #maujanja #apps
Amazing Apps ambazo hujawai kutumia !!

Umeshawahi kujaribu izi Apps kwenye simu yako !!!!

Mwaka 2023 mwezi wa sita Leo nakuletea app Bora za kuwa nazo kwenye simu yako watanzania wengi hawazijui !!

Tm Whatsapp
Ukisikia mchanganyiko wa Whatsapp mods kuanzia Yowhatsapp, Plus & Gb Whatsapp ni Tm Whatsapp ni app Bora sana kuwa nayo kwenye simu kwani imepakuliwa na zaidi ya watu million 10 ikiwa na maajabu mengi

โ€ข utaweza ku freeze | pause | fake last seen
โ€ข Ina vpn proxy kuifungua Whatsapp zilizo fungwa
โ€ข unatuma message nyingi kwa watu wakati mmoja.
โ€ข sleep mode(utazuia intaneti kwenye Whatsapp)
โ€ข pia anti revoke unazuia ujumbe kufutwa kwenye Whatsapp yako nk

OTO music
Je unapenda kusikiliza kitu ikiwa na sauti ya kuvutia zaidi, basi tumia Oto music ikiwa wewe mpenzi wa kusikiliza Quran, nyimbo , injiri au kitu chochote kile kwa sauti yenye kupendeza tumia Otto
โ€ข muundo wake ni mzuri
โ€ข ni rafiki kila mtu anatumia
โ€ข ni offline hivyo huitaji bando
โ€ข unaweza soma lyrics ya kitu pia hata ku editi wewe mwenyewe nk.

Brave Private web browser
Ukiwa na hii app huko salama mtandaoni kwa asilimia 70% kwani ni ngumu kuathiliwa na virusi kwenye simu yako. Ni app nzuri sana ikiwa unapenda kupakua vitu mtandaoni.
โ€ข iko faster kutafuta kitu ni zaidi ya Chrome , Mozilla
โ€ข ulinzi wake ni mkubwa sana utakua salama ukitumia ivyo zile link au website hatarishi utazuiwa kuingia.
โ€ข private browsing hakuna mtu atakayeweza kupata access ya vitu ulivyotafuta nk

goClean : Pop up ad dector
Ikiwa unahitaji kutafuta app ambayo Ina spy vitu vyako kwenye simu Basi Tumia hii ni nzuri sana kwani utajua kama Kuna app inafuatilia mambo yako bila wewe kujua kuanzia Ile spy camera pamoja na kuzuia matangazo.

1Tap cleaner (clear cache)
Je una wasiwasi na simu yako kuishiwa na nafasi basi 1Tap cleaner ni app nzuri kuwa nayo kwenye simu yako kwani inakusaidia kuongeza nafasi kupitia ku clear app zote ulizotumia ili kuipa nguvu zaidi simu kuondoa tatizo la kujaa kwa haraka zaidi.
clear apps
clear all cache file
uninstall apps nk

Ziko telegram search #bongotech255 au gusa link ๐Ÿ‘‡
https://t.me/bongoTechs255

#bongotech255 #fahamuzaidi #Fahamu #Maujanja #tanzania #apps