Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
teknokona - Instagram Bridge
Je kwa sababu yeyote unataka kuendelea kufanya kazi zako kwenye kompyuta na huku ukiangalia video flani, hasa ndefu,...



Je kwa sababu yeyote unataka kuendelea kufanya kazi zako kwenye kompyuta na huku ukiangalia video flani, hasa ndefu, kutoka YouTube? Basi kwa kuangalia video ya YouTube kupitia VLC kwenye kompyuta itakurahisishia jambo hilo. #VLC #YouTube

Tembelea Teknokona kwa kubofya link kwenye bio @teknokona .

https://teknolojia.co.tz/kuangalia-video-ya-youtube-kupitia-vlc-kwenye-kompyuta/
๐Ÿ“ƒ Je unataka kuangalia video za #YouTube wakati unatumia apps nyingine kwenye simu za Android? Leo fahamu kuhusu app ya...

Je unataka kuangalia video za #YouTube wakati unatumia apps nyingine kwenye simu za Android? Leo fahamu kuhusu app ya Tube Floatingโ 
Njia hii ni kutumia app inayokwenda kwa jina la Tube Floating. #Appsโ 
โ 
Soma na fahamu zaidi kwa kubofya link kwenye bio @teknokona
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐—™๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ป๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฑ๐—ผ๐˜„๐—ป๐—น๐—ผ๐—ฎ๐—ฑ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜๐—ถ๐—ธ ๐˜๐—ผ๐—ธ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Najua watu wengi wanatumia sana tik tok haswa katika masuala ya kuburudisha kuelimisha pia huwa watu wanavutiwa sana na video za dakika chache zenye kusisimua.

Tik tok wameweza kuwarahishia watumiaji wake kwa kusave video zake kwenye simu ila changamoto video hizo huja na nembo yao ๐Ÿ˜” kitu ambacho baadh ya watu hawapendi kukiona.

Sasa leo nimekuletea njia rahisi ya kuweza kudownload video za tik tok bila kuwa na nembo yake (watermark)

unachotakiwa ni kuingia play store na kupakua app inayoitwa tik tok video download kwenye simu yako baada ya hapo utaweza kupakua video kwenye tik tok bila kuwa na nembo yake.

Pia unaweza kutizama video yake kupitia kwenye bio kupitia page yetu @bongotech255 au search #youtube #bongotec... ...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

fahamu njia rahisi ya kujibu maswali ya hesabu kwenye simu

tumia njia rahisi ya kuweza kupata majibu ya maswali yako ya hesabu Kwa njia rahisi Sana tenaa hatua Kwa hatua maswali yoyote unayajua wewe utapatiwa majibu Kwa njia rahisi

we ingia kwenye bio yetu tumekuwekea link @bongotech255 pia we fanya kutu search bongotech255 kupitia #youtube sasa

usisahau kutu follow Kwa maujanja mbalimbali zaidi ๐Ÿท๏ธ

pleat subscribe likes na comment ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
@bongotech255
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Youtube "SERVER" Inaukubwa KIASI gani ?
#snashtz #youtube #server
Youtube "SERVER" Inaukubwa KIASI gani ?
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

How To Summarize Youtube Video Using ChatGPT
Unlock the power of ChatGPT with our comprehensive guide on how to summarize YouTube videos effortlessly. In this video, we delve into the intricacies of using ChatGPT to summarize content effectively, offering valuable insights and practical tips along the way. Whether you're a seasoned creator or just starting out, mastering this technique will revolutionize your content creation process. Watch now to discover the secrets of leveraging ChatGPT for YouTube video summarization!

How To Summarize Youtube Video Using ChatGPT

#ChatGPT
#YouTube
#ContentCreation
#VideoSummarization
#AI