Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.51K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Waiting for instantView...
Samsung waweka kando kidogo ujio wa Galaxy S22 FE
Mwaka 2022, Samsung ilitazamiwa kuzindua mwendelezo wa toleo la simu janja kutoka kwenye familia ya “S” kwa maana ya Galaxy S22 FE lakini suala hilo limewekwa kando na maana yake simu hiyo haitatoka tena mwaka huu. Katika miaka ya karibuni makampuni mengi ambayo yanafanya shuguhli za kutengenza na kuuza simu janja ama vifaa mbalimbali vya...
The post Samsung waweka kando kidogo ujio wa Galaxy S22 FE appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Waiting for instantView...
SpaceX yavunja rekodi iliyoiweka yenyewe
Kwenye ulimwengu wa sasa unazungumzia masuala ya anga la mbali hakika huwezi kuacha kuitaja SpaceX ambayo imekuwa ikifanya mambo mengi kuliko hata ambavyo ilidhaniwa wakati inaanza.Katika kipindi kifupi SpaceX imeweza kuvunja rekodi yake mwenyewe. Ni miezi saba tu imepita tangu tuanze mwaka 2022 lakini tayari SpaceX imeshavunja rekodi iliyoiweka hadi kufikia mwisho wa mwaka jana....
The post SpaceX yavunja rekodi iliyoiweka yenyewe appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
bongotech255 - Umewahi kujiuliza wapi utapata spea org za...
bongotech255

Umewahi kujiuliza wapi utapata spea org za laptop na kwa garama nafuu

Njoo @wikeltechnologies_tz ujipatie kwa bei poa kabisa Pia tunatuma mizigo mikoa yote kwa uaminifu mkubwa Tuna bidhaa zifuatazo ssd hdd ram vioo vya laptop flash keyboard mouse battery Na nyingine nyingi Tupo ilala machinga complex. Gorofa la upande wa kariakoo, gorofa ya kwanza room number E2-43 Ukifika tupigie 👇 namba zetu 👇mikoani tunatuma +255692630904 | +255765171270 @hyatz_computers #keyboard #tech #techupdate #technews #fahamuzaidi #bongotech255 #wikel #pcaccessories #pcrepair #laptoprepair
bongotech255 - Unajua maajabu ya Google lens kwenye simu...
bongotech255

Unajua maajabu ya Google lens kwenye simu zetu? Google lens inaweza kukugeuza mchawi wa teknolojia kwenye simu , utaweza kurahisha mambo mengi kupitia simu yako!!

Inatumia teknolojia ya Artificial intelligence kuweza kutambua ujumbe na vitu Kwa mfumo wa picha pamoja na live view kupitia camera yako, Kisha inakusaidia kujifunza jinsi ya kuingiliana navyo katika Kila aina ya njia yenye kuvutia. 1️⃣ Copy text from real worlds Google lens Moja kati ya mambo yake ya kushangaza ni uwezo wa kuchukua ujumbe kutoka kwenye karatasi, kitabu,shati, ubao, mabango au kitu Chochote kilichoandika au kubandikwa mahali Fulani na kukiweka kwenye simu yako Kwa mfumo wa ujumbe (text) badala ya kuandika kitu Toka mahali Fulani kukiweka kwenye simu we una copy tu 😄. 2️⃣ Send text from real world to your laptop au desktop Kuna baadhi ya watu hawatumi tu s...
Update je browser
InstantView from Source