Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

fahamu maujanja haya kwenye Whatsapp yako

unajua Whatsapp ni moja wa mtandao mkubwa ulimwenguni una watumiaji zaidi ya bilioni moja ๐Ÿค” , ila ina mambo mengi ya kushangaza ambayo watu wengi hawajui ngoja Leo nikujuze.

watu wengi wanalalamika Kila wakituma picha Whatsapp zinakuwa kwenye low quality ( ubora mdogo) ๐Ÿ‘บ najua inakera Sana ila usijali ๐Ÿ˜. ngoja Leo nikufundishe jambo hili kwenye Whatsapp yako.

ukitaka kutuma picha ziwe kwenye ubora mzuri wa Hali ya juu kabisa๐Ÿ”ฅ Kuna mambo kadhaa ya kufanya ๐Ÿ‘‡

1๏ธโƒฃ kwanza tumia njia hii
ingia setting kwenye Whatsapp yako Kisha >> storage & data >> photo upload quality chagua best quality ukimaliza restart simu yako.

2๏ธโƒฃ share photo
tumia njia ya kushare photo kama unataka ku upload high quality picha kwenye Whatsapp yako status au kumtumia mtu ingia kwenye google p...

View original post
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

mfahamu mtu aliyechezea simu yako bila wewe kujua

Kama ulikua unapata shida kumjua Nina anayechezea simu yako wakati wewe umeweka chaji | mahali Fulani basi Leo hii ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ utamkamata kizembe Sana tizama video hii

Kwa maujanja mbalimbali usisahau kutu follow @bongotech255

#bongotech255 #fahamu #fahamuzaidi #maujanja #watu #touch #smartphone #harmonize #kondegang #kondegang4everybody #wasafitv #wasafitv #cloudsdigitalupdates #efm #daresalaam #yanga #simba #reels #insta
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ujumbe kutoka kwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile kuhusu matumizi ya namba 100 kwenye mawasiliano baina ya Mteja wa huduma za Mawasiliano ya simu na Mtoa Huduma wake.

#shtukaa!ninamba100tuu!
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐…๐š๐ก๐š๐ฆ๐ฎ ๐ฆ๐š๐š๐ฃ๐š๐›๐ฎ ๐ฒ๐š ๐–๐ก๐š๐ญ๐ฌ๐š๐ฉ๐ฉ ๐›๐ฎ๐ฌ๐ข๐ง๐ž๐ฌ๐ฌ ๐Ÿ˜Š

Kama wewe ni mfanyabiashara Kuna mambo muhimu unatakiwa kuyajua kuhusu Whatsapp , Leo sizungumzi Whatsapp ya kawaida ๐Ÿค” hapana ni Whatsapp business tu.

Kama wewe unakawaida ya kutumia Whatsapp ya kawaida kuwasiliana na wateja basi sasa unatakiwa kutumia Whatsapp business bhana ni app Bora Sana kwako unajua kwanini ๐Ÿ‘‡

1๏ธโƒฃ Kuna kitu kinaitwa quick replies
Unajua kama wewe mfanyabiashara naelewa Kuna maswali ambayo wateja wanauliza Sana kwenye akaunti yako. Sasa Kwa kutumia quick reply itakusaidia Sana kuweza kuweka maswali ambayo mteja atauliza basi atajibiwa Kwa haraka.

2๏ธโƒฃ Whatsapp business profile
Sizungumzi ๐Ÿ˜ profile setting ya kawaida hapana kwenye Whatsapp business wameweza kukuwekea kipengele cha kuweza kuweka taarifa zako

hivyo itamsaidia mteja ku...

View original post
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

fahamu njia rahisi ya kujibu maswali ya hesabu kwenye simu

tumia njia rahisi ya kuweza kupata majibu ya maswali yako ya hesabu Kwa njia rahisi Sana tenaa hatua Kwa hatua maswali yoyote unayajua wewe utapatiwa majibu Kwa njia rahisi

we ingia kwenye bio yetu tumekuwekea link @bongotech255 pia we fanya kutu search bongotech255 kupitia #youtube sasa

usisahau kutu follow Kwa maujanja mbalimbali zaidi ๐Ÿท๏ธ

pleat subscribe likes na comment ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
@bongotech255