Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

fahamu maujanja kwenye instagram yako

Leo nakutelea maujanja ambayo utaweza kuokoa muda wako wewe mfanyabiashara au mtumiaji wa kawaida kwenye instagram.

1️⃣ Pangilia machapisho yako
tumia App ya business suite kwa kuweza kufanya kupangilia post zako na video kwa kuweza kuchagua muda na siku ya kujipost zenyewe 🔥, hakikisha umeandaa vizuri vitu vyako muhimu kama picha , video , caption ( maelezo) pamoja na hashtags.

2️⃣ Tengeneza frequently asked questions instagram wametuletea uwezo wa kutengeneza maswali ambayo yanaulizwa Sana na watu wakifuata kwenye dm ya akaunti yako ( direct message) .

maswali haya utokea kwa mtu ambaye mara ya kwanza ndo anakutumia ujumbe hivyo hataweza kuchagua hii inasaidia sana kwa wale waze wa kutuma ujumbe wa mambo , hii au hlw na nk.

Ingia setting kwenye instagram alafu >> business &g... ...
Telegram Group Video Call Testing | 1000+ Members — InFoTel - Telegram
https://youtu.be/Nr4zbFLbNPA 0:59
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

“Tutumie Mawasiliano Kujiletea Maendeleo “