Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
Kampuni ya Nokia Yazindua Simu Mpya ya Nokia 2.3 TSH 280,000...

https://scontent-cdg2-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-15/e35/92753167_1457073507817984_8146354948144033074_n.jpg?_nc_ht=scontent-cdg2-1.cdninstagram.com&_nc_cat=104&_nc_ohc=_LYlFPh78eQAX-Y_Zj2&oh=0428ea5388b0c1b1c6435284232ec504&oe=5EBC883A
https://scontent-cdg2-1.cdninstagram.com/v/t51.2885-15/e35/92693896_147064320178560_3477805258871479207_n.jpg?_nc_ht=scontent-cdg2-1.cdninstagram.com&_nc_cat=100&_nc_ohc=QUmPIurT4fUAX9NjvsO&oh=f2e72756b9bdcdb5a0ec9dc55dc2ee26&oe=5EBAB5CD

Kampuni ya Nokia Yazindua Simu Mpya ya Nokia 2.3 TSH 280,000
🌻🌻🌻
kampuni ya Nokia imetangaza simu yake mpya ya Nokia 2.3 toleo la maboresho kwa simu ya Nokia 2.2 iliyotoka mwezi wa sita mwaka jana 2019.
🌻🌻🌻
Simu hii mpya inakuja na maboresho machache ukilinganisha na toleo la awali la Nokia 2.2, Simu hii inakuja na kioo cha inch 6.2 kilicho tengenezwa kwa teknolojia ya IPS LCD chenye resolution ya pixel 720 kwa 1520.
🌻🌻🌻
Mbali na hayo, Nokia 2.3 inakuja ikiwa inaendeshwa na Processor ya Mediatek Helio A22, inayosaidiwa na RAM ya GB 2 pamoja na ukubwa wa ndani wa GB 32 huku ikiwa na uwezo wa kuongezewa ukubwa huo kwa kutumia memory card hadi ya GB 512.
🌻🌻🌻
Kwa upande wa kamera , Nokia 2.3 inakuja na kamera mbili kwa nyuma, Kamera kuu inakuja na Megapixel 13 huku nyingine ikiwa na megapixel 2. Kamera zote hizo kwa pamoja zinaweza kuchukua video ya hadi 1080p@30fps.
🌻🌻🌻
Kwa mbele Nokia 2.3 inakuja na kamera moja ya selfie yenye uwezo wa Megapixel 5, kamera hii inakuja na teknolojia ya kutambua uso ambayo ni sehemu ya ulinzi wa simu hii.
🌻🌻🌻
Nokia 2.3 inaendeshwa na mfumo wa Android 9 (Pie), mfumo ambao juu yake kuna mfumo wa muonekano wa Android One kutoka Google. 🌻🌻🌻. Battery...
Simu hii inapewa nguvu na battery isiyotoka ya Li-Ion (Lithium Ion) yenye uwezo wa 5000 mAh ambayo kwa mujibu wa Nokia inauwezo wa kudumu na chaji kwa siku mbili pale inapochajiwa na kujaa.
🌻🌻🌻 Bei ya Nokia 2.3
Simu hii ya nokia 2.3 inapatikana#chamomobile kwa Tsh 280,000
🔥🔥🔥
Simu hii ni simu ya bei nafuu kwaajili ya wapenzi wa simu za Nokia
😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘💞
#nokia #nokia2 #nokia23 #nokia2point3 #nokia2_3 #nokiamobile #smartphone #realme5s #vivou10 #redmi8 #redmi8a #redminote8pro #redminote8 #vivou20 #realme5pro #nokia6point2 #nokia62 #technews #techz #tech #android #android10 #androidone #redmiy3 #realmec2 #oppoa5 #oppoa52020