Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.58K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kuzuia baadhi ya App kutumia Internet katika simu
Karibuni tena katika video hii tutajifunza jinsi ya #kuzuia baadhi ya #App kutumia #Internet katika #simu.

Link ya video hii: https://youtu.be/j2--v-ycMuQ
---------------------------------------------------------
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5Dv9
Kuwasiliana nasi:
https://myurls.co/nk
Channel yetu mpya ya Photoshop Skills:
https://www.youtube.com/channel/UCA0A48f6WXwm-vlzATamLeA
-------------------------------------------------------
Pia unaweza kutazama:
- Zuia virusi kula mafaili yako bila ya Anti virus yoyote
https://www.youtube.com/watch?v=_y2p_5icmeU&t=1s
- Mchezee rafiki yako izime pc yake kila anapoiwasha
https://www.youtube.com/watch?v=lbUcfjx2R5k&t=1s
- Jinsi ya kuweka logo katika bidhaa yoyote
https://www.youtube.com/watch?v=EkTip2-y7AI
- Yote ...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JINSI YA KUGUNDUA KIPAJI CHAKO
Yawezekana wakati fulani katika maisha yako uliwahi kuuliza watu au hata kujiuliza mwenyewe,hivi wewe kipaji chako ni kipi hasa?.. Unataka kuwa nani? Kiongozi kama Samia Suluhu Hassan, Msanii kama Harmonize, rayvanny, Diamond au Mwanamichezo kama Kagere,John Bocco au Yondani? Video hii ina jibu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

fahamu ishara Tano za ugonjwa wa kupenda sana Simu @Bongotech255
unajua Kuna ishara ambazo ukiwa unazifanyaga sana Kwenye maisha yako wakati unatumia simu Jua ni mmoja wa watu wenye matatizo ya kupenda sana simu

#magonjwasugu #maujanja #fahamu #simu #bongo #swahili
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

“Kuwekeza katika maisha yetu ya baadaye kunamaanisha kuwekeza kwa watoto wetu”

#sikuyawatotoduniani
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tatua tatizo la #N/A katika VLOOKUP function | Edit & lock your columns and rows
Tatua tatizo la #N/A katika VLOOKUP function | Edit & lock your columns and rows

Link ya video hii: https://youtu.be/n27AuBqWPcE
---------------------------------------------------------
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5Dv9
Kuwasiliana nasi:
https://myurls.co/nk
Channel yetu mpya ya Photoshop Skills:
https://www.youtube.com/channel/UCA0A48f6WXwm-vlzATamLeA
-------------------------------------------------------
Pia unaweza kutazama:
- Zuia virusi kula mafaili yako bila ya Anti virus yoyote
https://www.youtube.com/watch?v=_y2p_5icmeU&t=1s
- Mchezee rafiki yako izime pc yake kila anapoiwasha
https://www.youtube.com/watch?v=lbUcfjx2R5k&t=1s
- Jinsi ya kuweka logo katika bidhaa yoyote
https://www.youtube.com/watch?v=EkTip2-y7AI
- ...
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Kwa kipindi cha miaka 60 ya Uhuru, vituo vya Televisheni Nchini vimeongezeka kutoka kituo kimoja (1) kilichokuwepo awali hadi kufikia vituo 51 hivi sasa.

#sikuyatvduniani2021
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

jinsi ya kuondoa tatizo la Instagram couldn't refresh feed Kwa njia rahisi @Bongotech255
fahamu njia rahisi ya kuweza kuondoa tatizo la Instagram couldn't refreshing feed kwenye akaunti yako

kwani tatizo hili usababishwq na mambo kadhaa

1️⃣ Intaneti kuwa slow
2️⃣ server kuwa down
3️⃣ Instagram kutokuwa updated
4️⃣ Instagram wamekuzuia kutokana vitu mbalimbali na nk.

usisahau ku subscribe like na kukomenti Kwa video zaidi 🌏

#techy #instagram #fix #maujanja #bongotech #swahili