Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.58K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JINSI YA KULALA NDANI YA DAKIKA 2 TU!
Mbinu ya kukufanya ulale ndani ya dakika 2 tu ni mbinu ya zamani iliyotumiwa na Jeshi la marekani kusaidia wanajeshi wao kulala vizuri. Kulingana na Medium.com, mbinu hii ilibuniwa na US Navy Pre-Flight school ili kuhakikisha marubani wanapata mapumziko sahihi.. Katika Vita vya Pili vya Dunia, marubani wengi wa Marekani walikuwa wakifanya makosa ya kizembe kutokana na kukosa usingizi wa kutosha.Mbinu hiyo mpya walioibuni, iliwasaidia wanajeshi kulala katika hali yoyote, katika mazingira yoyote, mchana au usiku.

FOLLOW US 📶
Instagram:https://www.instagram.com/newzfid/
Facebook: https://www.facebook.com/newzfidmagazine/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ujumbe wa Maafisa Waandamizi wa Shirika la Posta Burundi walipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) leo tarehe 17/11/2021 ili kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya mawasiliano hasa usimamizi wa sekta ya Posta. Ujumbe huo umejumuisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Posta Burundi Bi. Lea Ngabire, Mkurugenzi wa Masuala ya Barua Bw. Misirakuba Deo na Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Bw. Ndayishimiye Olivier.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - BAMBO LA MTAA! | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bambo la Mtaa Alhamisi hii, tarehe 18/11/2021💥💥💥

Ni kupitia chaneli ya Clouds Tv, kuanzia saa mbili na nusu usiku (2:30).
USIKOSE!
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Usikose kufuatilia mahojiano haya mubashara kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kupata uelewa zaidi kuhusu fursa za biashara mitandaoni.

Kumbuka ni Alhamisi hii tarehe 18/11/2021, kuanzia saa moja kamili jioni.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

CHRIS BROWN | HOUSE TOUR (In Swahili)
Kupitia episode hizi tutakuwa tunaangalia nyumba za kifahari.Leo tutafanya house tour ya Chris Brown, his car collection ,lifestyle and much more.
Special thanks to my East African fans from Tanzania, Kenya and Congo & to all those watching from United States.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - Fursa za Biashara Mtandaoni. | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Fungua link https://youtu.be/6jP1V3d3LsQ kutazama mahojiano baina ya Mtangazaji Gerald Hando na Mfanya biashara kwa njia ya mtandao Gillsant Mlaseko,...