Teknolojia
136 subscribers
3.86K photos
5.11K videos
94 files
13.5K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Badil simu Yako kuwa kwenye mfumo wa kompyuta 2021

Kama ulikua Unapenda kumiliki kompyuta na Hauna sio mbaya ukaifanya simu Yako kuwa kompyuta kabisa 😊 na kuendelezea ku enjoy au nini !!

Tizama sasa njia ya kubadili simu kuwa kompyuta ni rahisi sana 🙈

Usisahau kutu follow Kwa maujanja mbalimbali zaidi @bongotech255

#smartphone #android #launcher #windows #windows10 #maujanja #fahamu #fahamuzaidi #badilimtazamo #harmonize #kondegang #teknolojia #techy #tech #novalauncher #windowlaunch #bongotech255 #bongotrendings #bongo5updates #bongo5 #udakutz #udakumagazine #umbeausioumiza #umbeawadunia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

fahamu maajabu haya kwenye simu yako
#bongotech255
#bongo #swahiliflix #swahiliinspiration #swahiliquotes #fahamu #fahamuzaidi #washikajizangu #umbea #umbeawadunia #pambanahaliyako #teknolojia #tech #elimubilamipaka #shure #bongofive #watapatatabusana😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌 #harmonize #kondegang4everybody #samia #bbcswahili #tehama Fahamu maajabu ya beta program kwenye simu

Unajua kuna kitu watu wengi hawakijui kuhusu beta program kwenye simu zetu yani " testing the program before realasing to the public"

Fanya majaribo ya app mbalimbali Kwenye simu yako kabla haijaachiwa public 😊

Sikiliza makala hii kisha tuachie maoni yako

🔆Utaweza kuijua

🔆Utaweza kujua jinsi ya kujiunga

🔆Utaweza kujua jinsi ya kufix tatizo la beta program is full

Ulikua unaijua hii beta program au ndo unasikia sasa ?

#bongotech255 #fahamu #fahamuzaid ...