Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Samsung Galaxy S8 Unboxing | Fahamu sifa na Bei yake
Key Specifications:

DISPLAY
Size: 5.8 inches
Display Type: Super AMOLED
Resolutions: 1440 x 2960 pixels.

CAMERAS:
Single on rear with 12MP
Single selfie with 16MP

CAPACITY:
OS: Android 7 upgraded to 9.0
Chipset: Exynos 8855
CPU: Octa-core (2x2.05 GHz Cortex-A76 & 6x2.0 GHz Cortex-A55)

RAM: 2GB & Storage: 64GB/128GB

BATTERY

Type: Li-Po with 3000 mAh, Non removable battery.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tengeneza Highlights kwenye Instagrams || how to create highlights on Instagram @Bongotech255
fahamu njia rahisi ya kuweza kutengeneza Highlights nzuri na ya kupendeza kwenye Instagram akaunti Yako

weka akaunti Yako kwenye Hali ya kuvutia zaidi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

UTASHANGAZWA NA MATUMIZI YA HIVI VITU (PART 2)
Katika video hii fupi tunakwenda kuangalia baadhi ya vitu ambavyo makusudi yake yatakuacha mdomo wazi

0:00​ | Introduction
0:35​ | Mashimo kwenye kufuli
1:07​ | Tundu dogo karibu na kamera ya smartphone yako
1:43​ | Mifuko katika chupi za wanawake
2:27 | Kazi ya silica gel

FOLLOW US 📶
Instagram:https://www.instagram.com/newzfid/
Facebook: https://www.facebook.com/newzfidmagazine/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inashiriki kwenye Mkutano wa Tano wa Mwaka wa TEHAMA uliofunguliwa rasmi Tarehe 20/10/2021 hadi 22/10/2021 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa AICC, Jijini Arusha.

Tunawakaribisha Wakazi wa Jiji la Arusha kutembelea viwanjwa vya AICC na kufika kwenye Banda la TCRA ( Banda la Tatu kulia baada ya kuingia ndani ya geti) ili kupata huduma za papo kwa papo ikiwa ni pamoja na kupata Elimu, ushauri, majibu ya maswali uliyonayo kuhusu TCRA na mengine mengi. Kauli Mbiu: “Kujenga Taifa la Kidijitali” KARIBUNI SANA!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

jinsi ya kupata gb 5 za BURE kwenye simu Yako @Bongotech255
fahamu maujanja ya kuweza kupata gb 5 na mb 5 za BURE kwenye simu Yako kwa muda wa wiki mbili zenye kasi 😊.

usisahau ku subscribe likes & comment

🔻 usisahau ku subscribe kwenye chaneli yetu 👇

https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️

social media zetu 👇 :
1. Tik tok 🔻 https://www.tiktok.com/@UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

2. Instagram🔻 https://instagram.com/bongotech255

3. YouTube🔻 https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

4. Facebook 🔻 https://Facebook.com/bongotech255
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Ready or Not Movie trailer : Usiombe yakukute kama Camara ‎@Bongotech255
msichana mdogo Camara anaingia kwenye mtihani mzito kwenye maisha yake baada ya kwenda kuolewa na familia ya bhana mark O brien.

familia ya Mme wa Camara Wana Mila na desturi zao ambazo mtu anapoingia kwenye familia Yao huweza kuchagua mchezo baada ya hapo ukifanikiwa kushinda basi unakua mmoja wa Wana familia ila

Kuna kufa au kupona je Camara atafanikiwa ? 😲 tizama hiyo movie alafu usisahau kutuachia comment Yako tujifunze nasi

subscribe kwa video nyingi

YouTube link
🔻 usisahau ku subscribe kwenye chaneli yetu

https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️

social media zetu 👇 :
1. Tik tok 🔻 https://www.tiktok.com/@UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

2. Instagram🔻 https://instagram.com/bongotech255

3. YouTube🔻 https://youtube.com/channel ...