Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Usikose kufuatilia kipindi hiki leo ifikapo saa mbili kamili usiku (2:00) ili kufahamu mchango wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) katika kutekeleza Azma ya Serikali ya Kujenga na Kukuza Uchumi wa Kidijitali, nafasi ya TCRA katika kukuza Uvumbuzi wa TEHAMA na Mkakati mahususi wa kuhama kutoka utangazaji wa Redio kwa njia ya Analojia kwenda Dijitali.
USIKOSE.

(PART 3) UTASHANGAZWA NA MATUMIZI YA HIVI VITU — Newzfid
https://youtu.be/jF4wM38K_hs 3:56
https://youtu.be/jF4wM38K_hs 3:56
YouTube
(PART 3) UTASHANGAZWA NA MATUMIZI YA HIVI VITU
Katika video hii fupi tunakwenda kuangalia baadhi ya vitu ambavyo makusudi yake yatakuacha mdomo wazi (PART 3)
0:00 | Introduction
0:35 | Headrest za siti za magari (Rolls Royce, Toyota,BMW)
1:30 | Matundu 2 pembeni mwa Converse
2:08 | Silinda kwenye…

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

2:08 | Silinda kwenye waja wa charger ya Laptop
2:54 | Ringi za kwenye pini ya earphone
OTHE PARTS 📶
PART 1: https://youtu.be/D3x6TsOFh1c
PART 2: https://youtu.be/nxOBIb13SDc
(PART 3) UTASHANGAZWA NA MATUMIZI YA HIVI VITU
Katika video hii fupi tunakwenda kuangalia baadhi ya vitu ambavyo makusudi yake yatakuacha mdomo wazi (PART 3)
0:00 | Introduction
0:35 | Headrest za siti za magari (Rolls Royce, Toyota,BMW)
1:30 | Matundu 2 pembeni mwa Converse
2:08 | Silinda kwenye waja wa charger ya Laptop
2:54 | Ringi za kwenye pini ya earphone
OTHE PARTS 📶
PART 1: https://youtu.be/D3x6TsOFh1c
PART 2: https://youtu.be/nxOBIb13SDc
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) ametembelea banda la maonesho la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwenye Mkutano wa Tano wa Mwaka wa Wataalam wa TEHAMA uliofanyika jijini Arusha kuanzia Tarehe 20/10/2021 na kufikia tamati leo tarehe 22/10/2021.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - MKUTANO WA TANO WA MWAKA WA TEHAMA. | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) alipotembelea banda la maonesho la Mamlaka ya Mawasiliano...

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akizungumza kwenye Mkutano wa Tano wa TEHAMA Tanzania uliohitimishwa Tarehe 22/10/2021 Jijini Arusha katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) akizungumza kwenye Mkutano wa Tano wa TEHAMA Tanzania uliohitimishwa Tarehe 22/10/2021 Jijini Arusha katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekutana na Wawakilishi wa Umoja wa Watoa Huduma za Matangazo kwa njia ya Waya (Cable Operators - TACOL), Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) na Baraza la Mashauriano la Watumiaji la TCRA (TCRA -CCC) katika kikao cha majadiliano kuhusu wizi wa maudhui na ukiukwaji wa hakimiliki.
Kikao hicho kilifunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Dkt. Jabiri Bakari na kuhudhuriwa na Mkurugenzi wa Masuala ya Kisekta Dkt. Emmanuel Manasseh pamoja na Wadau wengine, leo tarehe 25/10/2021 katika Makao Makuu ya TCRA Jijini Dar es Salaam.

Tengeneza Android App Ndani ya DK 5 Bila Android Studio #Maujanja 146 — Tanzania Tech
https://youtu.be/tp4DpkZHvlc 4:56
https://youtu.be/tp4DpkZHvlc 4:56
YouTube
Tengeneza Android App Ndani ya DK 5 Bila Android Studio #Maujanja 146
Kama unataka kutengeneza Android App bila kutumia Android Studio basi njia hii itakusaidia kutengeneza Android App ndani ya DK 5 tu bila kuwa na haja ya kutumia kompyuta.
LINK MAALUM
1. Tembelea Tovuti Hapa Kutengeneza App Yako - https://url.tanzaniatech.one/Rz9…
LINK MAALUM
1. Tembelea Tovuti Hapa Kutengeneza App Yako - https://url.tanzaniatech.one/Rz9…
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Tengeneza Android App Ndani ya DK 5 Bila Android Studio #Maujanja 146
Kama unataka kutengeneza Android App bila kutumia Android Studio basi njia hii itakusaidia kutengeneza Android App ndani ya DK 5 tu bila kuwa na haja ya kutumia kompyuta.
LINK MAALUM
1. Tembelea Tovuti Hapa Kutengeneza App Yako - https://url.tanzaniatech.one/Rz9
2. Tengeneza Firebase JSON kwaajili ya Notification - https://url.tanzaniatech.one/Cy9
FOLLOW US
1. TikTok - https://www.tiktok.com/@tanzaniatech
2. Telegram - https://t.me/tanzaniatech
3. Facebook - https://facebook.com/tanzaniatech
4. Instagram - https://instagram.com/tanzaniatech_
5. Twitter - https://twitter.com/tanzaniatech
KAMA UNATAKA KUJIFUNZA ZAIDI HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE KUPATA MAUJANJA ZAIDI