Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Badil simu Yako kuwa kwenye mfumo wa kompyuta 2021

Kama ulikua Unapenda kumiliki kompyuta na Hauna sio mbaya ukaifanya simu Yako kuwa kompyuta kabisa 😊 na kuendelezea ku enjoy au nini !!

Tizama sasa njia ya kubadili simu kuwa kompyuta ni rahisi sana πŸ™ˆ

Usisahau kutu follow Kwa maujanja mbalimbali zaidi @bongotech255

#smartphone #android #launcher #windows #windows10 #maujanja #fahamu #fahamuzaidi #badilimtazamo #harmonize #kondegang #teknolojia #techy #tech #novalauncher #windowlaunch #bongotech255 #bongotrendings #bongo5updates #bongo5 #udakutz #udakumagazine #umbeausioumiza #umbeawadunia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

mfahamu mtu aliyechezea simu yako bila wewe kujua

Kama ulikua unapata shida kumjua Nina anayechezea simu yako wakati wewe umeweka chaji | mahali Fulani basi Leo hii 😁😁 utamkamata kizembe Sana tizama video hii

Kwa maujanja mbalimbali usisahau kutu follow @bongotech255

#bongotech255 #fahamu #fahamuzaidi #maujanja #watu #touch #smartphone #harmonize #kondegang #kondegang4everybody #wasafitv #wasafitv #cloudsdigitalupdates #efm #daresalaam #yanga #simba #reels #insta