Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
FAHAMU SIFA NA BEI YA #spark4air Tsh 225,000...

https://www.instagram.com/p/B_4GRNMgYgY/media?size=l

FAHAMU SIFA NA BEI YA #spark4air Tsh 225,000
TECNO wamendelea kutoa huduma bora barani Africa kwa kutoa simu zenye sifa ukilinganisha na bei yake leo nitakueleza uzuri na ubora wa simu hii ya tecno #spark4air toleo jipya kabisa kutoka TECNO
πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–
Display (Kioo)
Tukianza kwa kutazama kioo cha simu hii
SPARK 4 Air inatumia usanifu mpya kabisa wa Skrini ya Mkato wa Nukta ya 6.1" HD+, ambao huonyesha mwonekano kamili na mwonekano wa juu zaidi zinakupatia uzoefu bora wa kuona. unaweza kuvinjari maudhui zaidi, utazamaji wa sinema na kuboresha burudani unayopenda.
πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–
CAMERA
Ikiwa na Kamera mbili za Nyuma za 13MP na Kamera ya Mbele ya 5MP, SPARK 4 inafanya vizuri kwenye upigaji picha nzuri, Kwa usaidizi wa tochi zilizojificha kwenye skrini ya mkato wa nukta, wakati huu, utakuwa unang'aa zaidi hata wakati wa usiku
πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–
MEMORY
2GB RAM + 32GB ROM , Quad-Core Processor ,
TECNO SPARK 4air imepewa uwezo mkubwa zaidi wa kuifadhi data ndani ya 32GB. Pamoja na ufanisi bora wa kutunza kumbukumbu wakati wa matumizi ya simu yako kupitia 2GB RAM itakayo fanya simu yako kutumia kwa uwepesi zaidi.
πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–
SMART FINGERPRINT
Kipengele muhimu cha ulinzi cha fingerprint katika simu kinapatik a nyuma ya simu yako kitafanya simu yako kuwa salama zaidi. Na kizuri zaidi kupitia application ya #WhatsApp_Messenger sasa kunakipengele hiki hivyo ndani ya #spark4air itakuwa raha zaidi kwa kuweka ulizi katika simu yako.
πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–πŸš–
Kufungua kwa Uso 2.0 , Ufunguaji Salama Zaidi
Fungua simu yako kwa upesi kupitia "uchanganuzi wa uso". Rekodi maelezo yako ya uso, yatakuwa ndani ya SPARK 4 Air.
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ BATTERY
Kipengele hiki ndani ya simu hii ndio kipengele kikubwa zaidi na ndio kilicho ipo sifa ya bekee simu hii ya Tecno spark 4air yani unambiwa hii ni zaidi ya ile #ikijaaimejaa #hot8 #infinix kwani simu hii inakija na ujazo wa battery ya 6000mAh ambapo ndani ya simu hii kutakuwa na battery mbili moja ikiwa na uwezo wa kutoka na nyengine haitaweza kutoka namanisha πŸ˜…πŸ˜… internal na external
😍😍😍😍
NETWORK
4G, 3G, 2G Ndani ya spark 4 air halitakuwa tatizo jamani TECNO hakika wanajali soko lao

BEI
#Tsh 230,000 kutoka #chamomobile pekee
@chamomobile
teknokona - Instagram Bridge
Huduma ya utumaji pesa ndani ya app ya WhatsApp yaanza kupatikana nchini Brazili. WhatsApp Pay inawezesha utumaji pesa...



Huduma ya utumaji pesa ndani ya app ya WhatsApp yaanza kupatikana nchini Brazili. WhatsApp Pay inawezesha utumaji pesa kwa urahisi kwa ndugu na marafiki, na pia inawezesha watumiaji kulipia bidhaa au huduma kupitia app hiyo. #WhatsApp⁠
⁠
Link kwenye bio @teknokona
πŸ“ƒ Huduma ya utumaji pesa ndani ya app ya WhatsApp yaanza kupatikana nchini Brazili. WhatsApp Pay inawezesha utumaji pesa...

Huduma ya utumaji pesa ndani ya app ya WhatsApp yaanza kupatikana nchini Brazili. WhatsApp Pay inawezesha utumaji pesa kwa urahisi kwa ndugu na marafiki, na pia inawezesha watumiaji kulipia bidhaa au huduma kupitia app hiyo. #WhatsApp⁠
⁠
Link kwenye bio @teknokona
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Fanya hivi kulinda Whatsapp yako @Bongotech255
YouTube link
πŸ”» usisahau ku subscribe kwenye chaneli yetu

https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️

social media zetu πŸ‘‡ :
1. Tik tok πŸ”» https://www.tiktok.com/@UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

2. InstagramπŸ”» https://instagram.com/bongotech255

3. YouTubeπŸ”» https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

4. Facebook πŸ”» https://Facebook.com/bongotech255

#bongo #whatsapp #tipsandtricks #bongotech255 #maujanja #apps
TeknoKona (Facebook)

Vitu vimerudi kama zamani #WhatsApp #iOS
Jihadhari Sana huu Wizi kwenye Whatsapp Yako #cfm #whatsapp #socialmedia β€” Bongotech255
https://youtu.be/fHePZV8yN2k 1:50
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jihadhari Sana huu Wizi kwenye Whatsapp Yako #cfm #whatsapp #socialmedia
Tunapokuwa tunatumia mitandao yetu ya kijamii tujihadhari Sana maana Kuna uwalifu mpya unaendelea kupitia Whatsapp watu kuweza kuibiwa akaunti zao bila kujijua

Teknolojia ni Yetu sote ✊

Jiunge nasi telegram πŸ‘‡

https://t.me/bongoTechs255

Subscribe like comment for more video's
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Weka voice note kwenye Whatsapp status #bongotech255
Je umeshindwa kuweka voice note kwenye status ya Whatsapp yako fahamu njia rahisi ya kuweza kuweka voice kwenye status yako

subscribe for more videos πŸ‘‡πŸ‘‡ our new channel

https://youtube.com/@bongotech255_

Old got suspended πŸ˜”

#whatsappstatus #whatsappvoicenote
#whatsapp #whatsappfeature2023 #bongotech255
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @download_it_bot

Weka voice note kwenye Whatsapp status #bongotech255
Je umeshindwa kuweka voice note kwenye status ya Whatsapp yako fahamu njia rahisi ya kuweza kuweka voice kwenye status yako

subscribe for more videos πŸ‘‡πŸ‘‡ our new channel

https://youtube.com/@bongotech255_

Old got suspended πŸ˜”

#whatsappstatus #whatsappvoicenote
#whatsapp #whatsappfeature2023 #bongotech255
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Fanya hivi kutumia namba zaidi ya Moja kwenye Whatsapp !! #bongotech255
Subscribe for more videos

Teknolojia ni Yetu sote πŸ”₯πŸ”₯
#whatsapp #whatsappmultiac
WhatsApp Channels sasa zinaweza kuwa na admin wengi.
Wamiliki wa WhatsApp Channels wanaweza kuwaalika watu wengine kusimamia. Kipengele hiki kinawapa admins wapya uwezo wa kutuma masasisho na kutazama maelezo ya mmiliki/muanzilishi wa WhatsApp Channel.
#WhatsApp #WhatsAppChannels
WhatsApp sasa inawezesha Channels kuwa na udhibiti wa faragha zaidi.

Watumiaji waliojiunga na WhatsApp Channels taarifa zao zinaweza kutoonekana kwa wasimamizi wa channel husika.

#WhatsApp
πŸš€πŸ“± Meta imeleta mapinduzi katika #WhatsApp kwa toleo jipya la 2.24.14.13 kwenye Android!

🀳 Akili bandia ya Meta AI itakuwa na u wa kutengeneza picha za uhalisia kupitia selfie yako! 🎨

Style hii inafanana na Snapchat!
πŸ†• Meta na Universal Music Group wameingia mkataba mpya utakaowezesha watumiaji wa WhatsApp kutafuta na kuweka nyimbo kwenye Status zao, sawa na Instagram Stories!

🎢 Watumiaji sasa watapata njia mpya ya kuonyesha hisia zao kupitia muziki kwenye Status. #WhatsApp
πŸ‘1