Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tanzania : kuja magari yanayo paa Angani
Teknolojia Inazidi kushika Kasi bhana ulishawahi kuwaza kuhusu kupanda gari ambalo linalo paa 😁 ?

Muda sio mrefu utaanza kukutana mtaani na magari yanayopaa mpaka 😀kufikia 2030 inshallah basi ndege zitakua kha bodaboda

Inaitwa flying car au roadable aircraft ni aina ya usafiri ambao unaweza kutumika kama gari binafsi pia inaweza kutumika kama ndege angani .

unaionaje hii Teknolojia ikija Tanzania 😀 itaweza kutatua kero ya usafiri au lah tuachie maoni yako ?

#magari #tanzania #bongotech #swahili #flying #cars #tech
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

TRA Hawajaijua Hii GARI,Hakuna Wakuagiza ! Dodge Challenger Hellcat Redeye Review
#snashtz #cars #dodgechallenger
\TRA Hawajaijua Hii GARI,Hakuna Wakuagiza ! Dodge Challenger Hellcat Redeye Review
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

HUJUI TU ! Ila HYUNDAI wana GARI Kali Sana
#snashtz #hyundani #cars
HUJUI TU ! Ila HYUNDAI wana GARI Kali Sana
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

SAUTI Ya Kijapani Kwenye Gari za JAPAN ,Maana yake Hii Hapa "ETC"
#snashtz #cars #etc
Sauti Ya Kijapani Kwenye Gari za JAPAN ,Maana yake Hii Hapa "ETC"
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mazda CX5 2024 Review
#mazda #japan #cars
Mazda CX-5 ya mwaka 2024 ni moja kati ya SUVs za kisasa zinazopendwa kwa muonekano wake wa kuvutia na utendaji bora barabarani. Hii ni toleo la karibuni la mfululizo wa CX-5 unaopendwa kwa muundo wake wa nje unaovutia na upinzani wake katika soko la SUV.

Baadhi ya sifa za Mazda CX-5 ya mwaka 2024 ni pamoja na:

Muundo wa Kuvutia: CX-5 ina muundo wa nje wa kisasa unaovutia, ukichanganya elegance na athari za kisasa zinazowavutia watumiaji.

Utendaji wa Kuaminika: Kama ilivyo kawaida na Mazda, CX-5 ina utendaji bora barabarani. Hutoa uzoefu mzuri wa kuendesha na udhibiti mzuri, hata kwenye barabara zisizo na lami.

Teknolojia ya Ndani: Ndani, CX-5 inajivunia teknolojia ya hali ya juu ambayo inajumuisha skrini kubwa ya infotainment, mfumo wa sauti bora, na vifaa vya faraja kwa abiria wote.

Usalama: Mazda hutoa mfumo wa hali ...