Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

Nchi ya India imeagiza kuzuiwa kwa chaneli 35 za Youtube zinazomilikiwa na wapakistan. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/txjm
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

TEHAMA imeangaza nuru kwenye mifumo ya utoaji na upatikanaji wa Elimu; tuitumie kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadaye.

#2022yakidijitali
TeknoKona (Facebook)

Apple ni moja kati ya makampuni makubwa duniani kiteknolojia. Soma makala hii uweze kuyafahamu makampuni mengine makubwa.

https://zcu.io/pwOA
TeknoKona (Facebook)

WApenzi wa magemu ya Android sasa yameanza kwenda kwenye kompyuta za Windows.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) katika ziara kwa kampuni za Mawasiliano Tanzania; ziara aliyoifanya leo tarehe 24 Januari 2022. Katika ziara hiyo kwa kampuni za MIC Tanzania Ltd 'Tigo', Vodacom Tanzania na Airtel Tanzania, Waziri amesisitiza dhamira ya Serikali kujenga mazingira rafiki ya uwekezaji kwa kampuni hizo.

Waziri aliambatana na maafisa waandamizi kutoka Wizarani, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mfukโ€ฆ See more

Tcra Voda wanaiba sana kupitia huduma yao ya wakala songesha unakopa 10000 unajaziwa deni la 90000 waangalieni sana mawakala wanalizwa sana kama vipi wagigwe faini au waondoe huduma hiyo
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kudownload GTA vice city kwenye simu || Download GTA vice city on Android highly graphics
Sasa unaweza kucheza game ya GTA vice city kwenye simu yako kwa njia rahisi Sana kwa mb 200 tu Tena kwenye Ubora wa Hali ya juu huku ukicheza mission za aina mbalimbali.

ikiwa ulikua unaangaika jinsi ya kudownload GAME ya GTA basi makala hii ni yako Sasa download kupitia simu yako na ucheze Sasa

link ya kudownload hipo kwenye chaneli yetu ya Telegram Gusa ukadownload Sasa

ยฉยฎโ„ข = Download link ๐Ÿ‘‡โœ“โˆ†=ยฉยฎ

join telegram chaneli to download Game
search ๐Ÿ‘‰ BongoTech255๐ŸŒ or link ๐Ÿ‘‡

https://t.me/bongoTechs255

subscribe like comment & share for more videos

Teknolojia ni Yetu sote โœŠ

#swahili #bongo #gta #androidgames #bongotech255 #millardayo #bongotrending